Zitto na ndoto za kusadikika

Sasa nimeshagundua kwanini elimu Tz inadumaa. baadhi mnaongozwa na falsafa za kuabudu na kutengeneza miungu watu. Zito ni binadamu kama wengine anapokuwa na mitazamo hasi juu ya chama na jamii ni lazima tumkosoe, yeye si biblia wala quran kwamba kamwe hatobadilika.
Khs udini, ina maana serikali ya kikwete nayo ni ya kiislamu! hebu angalia idadi ya waislamu na wakristo kwenye serikali yake. sector zote muhimu amewapa waislamu au hilo hulioni? acha uendawazimu wa kuhusisha iman za dini na siasa. nyau we!
 
Back
Top Bottom