Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.

Follow the discussion:

Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi, 30%, anasema makampuni yote yameanza kulipa.
anasemakuna kampuni zimechimba madini zaidi ya miaka 7, walikuwa wanapewa miaka 5 ili kurudisha gharama zao, ila wengi ikifika mitano walikuwa wanasema hawapati faida hivyo kuomba kuongezewa siku.
 
Mtangazaji anasema pato wanalopata kama nchi haliendani na hali ya watz, yaani watz hawanufaiki na madini yao.
 
Zitto anaulizwa kuhusu mikataba, namna ya kuifanya iwanufaishe wananchi.

Anasema mikataba mingi inawafanya wawekezaji ndio wapate faida kuliko wananchi kwa nnchi za africa, anasema 2007, walipitia mikataba yote ya madini na mapendekezo yake ndio yalifanya kurekebisha sera ya madini n sheria ya madini.
 
Last edited by a moderator:
Zitto anaulizwa, je wamebadilisha mikataba ya madini ambayo haiwanufaishi watz?

Anasema wamebadiisha sheria ili angalau mikataba mipya iwe na manufaa kwa watz
 
Last edited by a moderator:
Jaman ni mjadala mzuri sana wanachambua suala la mikataba ya madini na gasi,tuwasikilize
 
Mkuu Mtego pamoja na Kamanda Mwita, endeleeni kutuhabarisha zaidi.

BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.
Follow the discussion.
Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi, 30%, anasema makampuni yote yameanza kulipa.
anasemakuna kampuni zimechimba madini zaidi ya miaka 7, walikuwa wanapewa miaka 5 ili kurudisha gharama zao, ila wengi ikifika mitano walikuwa wanasema hawapati faida hivyo kuomba kuongezewa siku.
 
Sasa ni Mchumi toka Nairobi, nae anakiri kuna shida kubwa katika hili, kwani mpangilio wa kuinua wachimbaji wadogowadogo ili wainuke na kuleta mitambo ni ngumu kutambuliwa na mabank!
 
mkenya anazungumzia kwamba hatuna elimu ila unajua kiingereza tu ambacho hakitusaidii kupata kazi za kitaalam ktk makampuni ya madini., hatuna teknolojia.
 
Pia huyu mchumi wa Kenya anasema Waafrika hatuna elimu inayotusaidia kuchimba madini na kuleta utajiri, bali tuna elimu ya kuajiriwa katika makampuni ya nje!
 
Mchimbaji kutoka Iringa, anaulizwa unanufaikaje na madini?

Anajibu, kuna mapungufu matatu wachimbaji wakubwa ndio wanaonufaika na haya madini na serikali inawalinda, kwa sisi wana apolo, tunachiba bila mkataba na bila mshahara.

Anasema wachimbaji wadogo ndio wanaotambua maeneo yenye madini, mfano waligundua madini kule mpwapwa....amekatizwa na mtangazaji...
 
muhongo anaulizwa.seikali wanadhibije ili kujua na kupata haki ambayo wanatahili kupata?
anasema serikali imejitah maana wanafatiliwa huk mgodini jinsi wanavyochimba, kuna wakala ambao wanafatilia kila kitu. toka wakala uanze, mapato yameongezeka. kwa sheria madini hayatoki nje bila kibali cha serikali, ndio maana juzi mmoja amekamatwa kipeleka madini nje. tunajitahidi ingawa wengine wanaiba.
wachimbaji wadogo ndio wanaiba zaidi maana hata kodi hawalipi na hawatunzi takwimu na hawafati sheria.
 
Back
Top Bottom