dkims
Senior Member
- Mar 25, 2010
- 148
- 24
To whoever it may concern.............
Youthness haiwezi kuwa kiunganishi cha vijana wote hapa nchini tuna itikadi tofauti na tumelelewa tofauti as well.
Remember hoja ya urais na ujana????????; Interests are the best friends but not their containers (human beings) na hili litatuumiza vijana in a near future coz we think wote tuko pamoja......we tend to forget our backgrounds na self ambitions
Hayo majibizano yanaweka taswira nzuri sana ya Taifa letu siku zijazo na especially kwenye serikali za mseto............kama nakumbuka vizuri muheshimiwa Zitto watu wamewahi kuhoji ukaribu wake na baadhi ya watu akasema ni personal social relations......ni haki kuwa na marafiki but I real got a shock na ile hali but ukweli ni kwamba siasa ni maisha na maisha ndo matokeo ya siasa yenyewe
Nawashauri sana na kuwasihi vijana wenzangu..........tusiwachukulie viongozi wetu vijana kama malaika.....hawa ni watu na wana utashi wao pia.......wao wako kwenye siasa na sisi tumo kwenye fields nyingine.....same way unavyoamua na kufanya maisha yako na wao pia wana yao except that wako priviledged than us, wanapata coverage ya media and ol that BUT nao ni VIjana kama sisi wana wanamaisha yao kama sisi na sio lazima wote waweze ku represent our feelings and expectations
LETS GET UP AND FACE THE REALITY........NO ONE IS RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE EXCEPT YOURSELF
Natumia simu sioni button ya like,, ila kula like * 10, hii point sanaaaaaaaaaaa