Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

Status
Not open for further replies.
Shida wengi wao waneingia bungeni kwa migongo ya hao mafusadi kama babaake ndio chama kinakuwa kama baba ba mama yao lakini kwa mtu kama Filikunjombe ashajua kuna maisha nje ya ccm hana wasiwasi
 
january ni mnafiku... he is gaining from a system. .......
Humu ndani JF, kuna watu wengi sn walikuwa wakimsupport huyu jamaa lkn mimi siku zote simwamini. Na sina sababu za kumwamini kwa 7bu yeye ni MTOTO WA MAKAMBA tangu lini makamba alikuwa makini, baba yake anatuhumiwa kukupotezea kura nyingi sana ccm, na hata wakati mwingine alienda mbali sana kiasi cha kutukana watu bila 7bu, mfano alimtukana MZEE SELELII eti kapoteza mvuto. NA KAPATA HIYO NAFASI KWA FITINA iliyoongozwa na baba yake, Kama angeipigania yeye mwenyewe nisingekuwa na shaka naye, ila kuwa kwa zile vurugu walizomfanyia Mzee SHELUKINdO, siwezi kumkubali kuwa ni mtu makini kiasi hicho.

Pita njia za halali tutakusifu sio za FITINA. SASA ANAONESHA SURA HALISI YA MAKAMBA, Hana uzalendo wowote kwa taifa huyo. TANGU LINI MWANACCM AKAWA MZALENDO KWA TAIFA? Na kama wapo ni wachache sn na makamba hayumo kwenye hiyo orodha.
 
kuna watu kama kina johngwalu wanataka vyanzo kama hivi vibaki huko twitter na fb eti. I used to respect this guy until he stumbled on my path

Mkuu nashukuru kwa kunikumbuka hahahahahahahahaha nmecheka sana ndugu yangu RF!
Msimamo wangu upo pale pale huu ni umbea wa sisi wana-JF na ni matokeo ya JF kushuka hadhi ndio maana kuna mijadala myepesi kama hii....
Huo umbea labda mtu angetumia kujenga hoja zake lakini sio kuletewa kama thread kabisa hapa.
Ipo siku utaiona point yangu RF.
Zitto haitendei haki JF na wengine tunatafsiri kama anaidharau sijui kwanini tunapenda kuhangai na taarifa anazoandika huko wakati hapa ni mwanajamvi....
JF Marketer alituambia anamualika Halima Mdee, sijui akaishia wapi ila sijawahi kumuona hapa jamvini vilevile Makamba huyu sijawahi sikia akialikwa ila wenzake Mwigulu, Nape na Kigwangalla tunao hapa hivyo anaielewa vizuri JF!
Kitendo cha hawa kuwa na mijadala nje ya JF kinapaswa kuheshimiwa kwa kiasi flani,
ndio maana huwezi kuta Robot Invisible akitupa habari makini za nchi kutokea tweeter, Fb au Blog binafsi za wanasiasa!
JF makini haiitaji vyanzo vya namna hyo ni umbea kama magazati ya shigongo kwenda kunusanusa vyumbani mwa watu.

Alafu mkuu wangu RF mi naitwa jouneGwalu aisee
 
Last edited by a moderator:
Kila siku huwa napiga kelele humu JF na sometimes huwa naonekana kama n mwehu fulani hivi juu ya msimamo wangu wa " SHETANI NI SHETANI TU NA HAWEZI KUWA MUNGU, PIA HAKUNA MZALENDO & MWANAMAGEUZI WA KWELI AMBAYE BADO YUPO CCM" haramu ni haramu 2 so hata january simshangai kumuona na madudu yake ya unafiki kwani january ana-gain from the system, na msitegemee hata siku 1 mkombozi wa kweli akatoka ccm, kuhusu uhusiano wa Zitto na mabwanyenye wa ccm like jmakamba huwa naupiga vita sana kwani najua mchezo mchafu wa hawa majambazi (ccm) kwani mahaba ya zitto na jmakamba yanaweza siku 1 kutumiwa na ccm kummaliza kamanda wetu zitto kisiasa na hatimaye CDM kwa ujumla. But naamini sasa hata zitto mwenyewe na wanamageuzi wengine watakuwa wamepata picha ya ndai kuhusu hawa vijana wanafiki wa ccm wanaojiita wanamageuzi. Solidarity forever.
 
Mkuu leta updates za Geita naona kimya...

Au mvua inanyesha??
However I do not blame him, many people are extremely myopic and cannot see beyond their noses, even with the glaring monumental failures and head-breaking incompetence from these folks.

The basic reason I can see is that most of us Tanzanian youths have evolved into commentators not participants, talking from afar and not participating in much.

This case will prove my point
 
Katika pita pita zangu uko twitter nimekutana na ujumbe huu toka kwa Zitto Kabwe na Halima mdee kwenda kwa January Makamba...

Tweet from Zittokabwe

------------------------


Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: dinahicious this is not #publicitystunt , this is #Accountability wenye nia ya dhati ya kupambana na ubadhirifu watasaini. #Tusiyumbishwe

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Kanuni zinataka kukusanya sahihi. #sahihi70 tunazipeleka j3 kwa Spika. Uongozi ni utayari na ujasiri. Unafiki ni hatari sana @JMakamba

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: huna hizo guts.. whether usign now or later it does not make any difference! Cause kanuni wala katiba haisemi usign lini..

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Zittokabwe @JMakamba sema lugha nyepesi.... ni mnafiki kwani hayuko humu? Hajui wenzake wamesign? Hili suala sio la chama!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: @JMakamba kwa hiyo kusema analeta jumatatu ndio kuinvalidate hoja hata kama jumatatu haijafika? Behave kama kijana!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: JohanesEdson dinahicious Zittokabwe January... ni mnafiki. Najua ananisoma now...

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Eti anahoji uhalali wa kukusanya sahihi! I used to respect this guy.. anaanza nitia mashaka! Nahisi hajui kanuni!

zitto na mdee ni self made, huyu Makamba ni tofauati kabisa nao ni mtu aliyebebwa na establishment na jina na connection za baba ni class tofauti kabisa na mh zitto na mh mdee yanapokuja maslahi ya kitaifa yanayotishia tabaka fulani Mh Makamba always ataside na tabaka lake.
 
Huyu makamba wenzake wana pigani maslahi ya taifa,yeye
anawaza maslahi binafsi.

Wakati wenzake wanawaza kusafisha baraza la mawaziri,
yeye anawaza kuchukua nafasi ya Ngeleja ili atafune pia.

Huyu jamaa ni mnafiki sana.
 
January magamba magumu always ni mnafiki wamechelewa kumuona ndio maana amechelewesha mipango yetu.
 
......
Ni miongoni mwa vijana walioshindwa kusoma alama za nyakati akadhani kuwa na Mheshimiwa "Vasco da Gama" kutalii nchi zote duniani amemaliza maisha. Mpeni pole. i hate unafiki. Bora watu wakujue Jambazi tu.

Tena umenikumbusha swali ambalo nilitaka ni waulize wataalamu wa masuala ya takwimu na fedha. Swali lenyewe ni, je, safari za rais wa "Utd Rep. of Tz" alizozifanya nje ya nchi hiyo jumla yake mpaka sasa (21.04.2012) ni shilingi ngapi; na tangu aanze ziara hizo nchi imepata shilingi ngapi katika vya vya mapato yanayohusiana na ziara hizo moja kwa moja? Vilevile, ni pesa kiasi gani kimetumika kikamilifu katika miradi ya maendeleo ambayo raia wanaweza kujivunia?
 
Sikia wa ndg,ukimuona mtu yuko ccm muogope sana.ukidhan nyani anaangalia kama binadamu,jaribu kumuachia shamba la mahindi uone.mnawakumbuka akina kilango,sita,sendeka,mwakyembe na wenzao.wamegoma kuachana na ccm licha ya kujifanya wanipenda tz kumbe wanapenda matumbo yao
 
JMakamba amepotea njia hapo bora atulie ila akitaka kwenda deep ataaibika tu kinachofuata.

kuna watu kila siku wanatokwa povu kumsifia jmagamba. Mara huyu jamaa yuko smart,mzalendo. Wazalendo wanajulikana. Ni ngumu nguchiro kuzaa kondoo!! Watu waliokulia kwenye hela za wizi hawawezi kuzikana leo! Ndo zilizowasomesha nje ya nchi, ndo zilizowalisha!
 
Mkuu leta updates za Geita naona kimya...

Au mvua inanyesha??


Mkuu kuna dalili ya mvua.

Baada ya kikao cha ndani.Dr.Slaa ameelekea sengerema leo na ameshafika

Kuhusu yaliyojiri ndani ya kikao taarifa kamili itatolewa na msemaji wa chama au mamlaka husika
 
Na hizi zimenifurahisha sana...

Halima J Mdee ‏ halimamdee Close Emmamatondo bi kiroboto ana mapenzi sana na chama chake, mpaka anajisahau!


Halima J Mdee ‏ halimamdee Close
Kinachowauma CCM, walitaka hoja itoke kwao.. sasa tumewapiga bao wanaanza kutapatapa!...

Halima J Mdee ‏ halimamdee Close
Sasa wanahaha kutuambia ooh katiba inasemaje.... kanuni zinasemaje.. we know kinachosemwa kwenye katiba na kanuni!

Halima J Mdee ‏ halimamdee Close querreChaArusha unajua wana kiherehere. Sisi tunakusanya sahihi za wabunge wanaounga mkono motion! Lini tunapeleka haiwahusu.. wanahaha!

Halima J Mdee ‏ halimamdee Close
@ErasmoNyika hiyo culture ya kujiuzulu bongo haipo. Mtu akiteuliwa kuwa waziri anadhani ndio sehemu ya kuondoa umasikini wake!

Halima J Mdee ‏ halimamdee Close
Spika naona anatoa majibu ya mwongozo kishabiki....
 
Last edited by a moderator:
Katika pita pita zangu uko twitter nimekutana na ujumbe huu toka kwa Zitto Kabwe na Halima mdee kwenda kwa January Makamba...

Tweet from Zittokabwe

------------------------


Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: dinahicious this is not #publicitystunt , this is #Accountability wenye nia ya dhati ya kupambana na ubadhirifu watasaini. #Tusiyumbishwe

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Kanuni zinataka kukusanya sahihi. #sahihi70 tunazipeleka j3 kwa Spika. Uongozi ni utayari na ujasiri. Unafiki ni hatari sana @JMakamba

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: huna hizo guts.. whether usign now or later it does not make any difference! Cause kanuni wala katiba haisemi usign lini..

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Zittokabwe @JMakamba sema lugha nyepesi.... ni mnafiki kwani hayuko humu? Hajui wenzake wamesign? Hili suala sio la chama!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: @JMakamba kwa hiyo kusema analeta jumatatu ndio kuinvalidate hoja hata kama jumatatu haijafika? Behave kama kijana!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: JohanesEdson dinahicious Zittokabwe January... ni mnafiki. Najua ananisoma now...

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Eti anahoji uhalali wa kukusanya sahihi! I used to respect this guy.. anaanza nitia mashaka! Nahisi hajui kanuni!


January Makamba ni opportunistic, Nyie mnafikiria livunjwe baraza la mawaziri yeye anafikiria Promo yaan asiliharibu maana huwa anaitaman sana ile nafas ya Ngereja. Ni mnafiki huyu kijana sasa subirini wapigwe chini mawaziri then katika replacement asiwepo utamsikia kwenye midia...kwasasa hataki kumuudhi JK. kumbuken suala la kusain posho; Pinda kasain yeye???? alicheza na upope wa wananchi kwasasa amecheza na upepo wa Jk ili afikiriwe uwaziri. Mtamjua vizuri.
 
Ok!
Nilidhani na wewe uko katika mkutano wa leo wa hadhara!!

Anyways, heshima mbele!!
Mkuu kuna dalili ya mvua.

Baada ya kikao cha ndani.Dr.Slaa ameelekea sengerema leo na ameshafika

Kuhusu yaliyojiri ndani ya kikao taarifa kamili itatolewa na msemaji wa chama au mamlaka husika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom