Mhmm kweli Tanzania inaongozwa na vipofu na viziwi, hivi kazi ya viongozi ni kufanya midahalo au kutenda kazi zionekane?
Kama si wapuuzi hawa watu basi ni wajinga nadhani mdahalo ungeweza kufanywa na academia na si watendaji! Umeme haupo na wao ndio viongozi mdahalo wanini badala ya kuleta umeme? Enyi Watanzania mtaendelea kuchaguwa hawa viongozi mbumbumbu hadi lini? Viongozi wa tume na uchunguzi na midahalo! Vipi nyie hamuoni aibu kulipwa kwa kodi za Watanzania kufanya kazi msiyoijuwa wala kuiweza?
kilaza inginia muhando wa tanesco analewa hapa rombo view,,kwa nini asiende kwenye mdahalo?
Mkuu yakweli hayo?
Mvua inaaminka sana!! huyu jamaa naye ni mbumbumbu mkubwa!!Makamba: Hatuwezi endelea tena kutegemea mvua sbb mvua haiaminiki.
Mvua inaaminka sana!! huyu jamaa naye ni mbumbumbu mkubwa!!
Mvua inaaminka sana!! huyu jamaa naye ni mbumbumbu mkubwa!!
Drasa la tano!... mfumo wa mvua.hivi yule babake mchawi anajisifu amesomesha watoto?