alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake
A controvesial CHADEMA MP from Kigoma North constituency has once again tested the wrath of Union Parliament today, after refusing to detract his ownstatement that " majibu aliyotoa waziri Sumari kwa Mh. Slaa ni ya HOVYOHOVYO..." pamoja na pressure ya wazi toka kwa two CCM MPs wakiomba mwongozo wa Mwenyekiti, Zitto aligoma katakata kufuta kauli yake na kudai kwamba wabunge kadhaa (nadhani akimaanisha wa CCM), wameshaongea kauli za kutatanisha katika bunge hili lakini hakuna hatua zilizochukuliwa..alimalizia kwa kusema "NIPO TAYARI KWA LOLOTE" kabla hajendelea kuchangia mjadala wa budget..
Na ya kihuni piaBunge lenyewe ubabaishaji tu. Kama mtu huwezi kusema mchango wa waziri ni hovyo hovyo, wanataka utumie neno gani? Michango mingine sio tu kwamba ni ya hovyo hivyo bali pia ni ya kijinga...
imebidi nisome profile yako mzee! maana reflection yako iko chini ya kiwango.unayoongea hata mtoto mdogo atakuita mwongo. wewe na kabwe mko mko vipi utuambie. labda mwenzetu mnajuana kivingine na mweshimiwa, lakini hiyo sisi haituhusu tunaangalia mambo yanayotendwa na mtu kwenye jamii na sio vichochoroni.alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake
Nilichogundua anamchukia kibinafsi lakini michango mingi hapo inaongelea hoja ya zitto kuwa mbona wabunge wawili hawajafanyiwa kitu? Ukiangalia huyu member mwenzetu ana mambo binafsi. Namshauri ashikilie hoja usiangalie aliyetoa upotoka na kujikuta unashindana na kila mtu.Shy, Una ugomvi na Zitto? Mbona kila anachofanya wewe huwa una-Crash???
Kwa Upande wangu naona Zitto yuko sahihi kabisa hajakosea hata kidogo. Yani Mbunge wa CCM akiongea utumbo hatakiwi kujieleza wala kuomba radhi lakini akiongea kitu mtu wa upinzani inakuwa kosa.
Wakikutimua njoo mtaani, watakiona walichokumbana nacho, manake Buzwagi ilikuwa cha mtoto!
Kijana Zitto nakuaminia, hakuna kulegeza, we need more of you, anaye sema mbofu mbofu aambiwe live siyo kumpaka mafuta kwa mgogngo wa chupa! Wamelewa madaraka na wanadhani wameenda bungeni kuigiza na kuleta ushabiki wa siasa badala ya kuwa watetezi wa wananchi na kuiwajibisha serikli.
Wakikutimua njoo mtaani, watakiona walichokumbana nacho, manake Buzwagi ilikuwa cha mtoto!
Side effects of drugs abuse...pole SHY you need to rehabilitation counseling!
wewe zitto amesema uwongo mara nyingi siku moja hata nilikutana nae katika live debate kwenye ishu ya madini pale soma book cafe akashindwa kutetea matamshi yake hawa ni watu wa kuogopwa sana katika taifa hili
habari wana JF swali langu ni kwamba ni kwani jk ameteua mawaziri wengi ambao hawajui lolote. wengi wao nawaona kama virungu tu.Au kuna fadhila anyoilipa.
kuna siku msiyoijua Mudhihir atacheza japo hajatueleza how he lost his arm!![/B]
he he nafikiri hichi ndio kikao chake cha mwisho kuropoka
Mkuu,ukimuona Shy utamuhurumia,hizi njaa wakati mwingine zinamfanya mtu abwabwaje maneno ya HOVYO HOVYO.Huyu ndio shy bwana,siku zote ukisoma mistari yake ni lazima utapata hamu ya kumuona kwa macho.Ingekuwa skendo na michango isiyokubalika na wengi ni kigezo cha mtu kutimuliwa JF,huyu angekuwa wa kwanza.
mimi sina chama wala dini lakini huyo kijana asidanganye jamii na ummah asifikiri vitisho vyake vitamtingisha yeyote , ninahamu angetaka kugombea jimbo la ubungo nisimame nae kama mgombea binafsi nimwonyeshe vijana walivyo si maneno matupu na vijitu vinatoa support kupumbazwa na kulaghaiwa tu