Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

Naona ngumi sasa zinanukia! Kenya walikuwa wakizipiga tunashangaa kumbe tulikuwa tumepitwa na muda, ndo leo tunazinduka!!Shy wewe kila sehemu upo tu?wewe kila mtu umeshawahi kutana nae?wewe ndio wewe tumekusikia...Zitto ni mfano yaani kuna watu bungeni waajabu kama nini...zitto haumi maneno...call a spade a spade.
 
mimi sina chama wala dini lakini huyo kijana asidanganye jamii na ummah asifikiri vitisho vyake vitamtingisha yeyote , ninahamu angetaka kugombea jimbo la ubungo nisimame nae kama mgombea binafsi nimwonyeshe vijana walivyo si maneno matupu na vijitu vinatoa support kupumbazwa na kulaghaiwa tu

hivi wakuu ile sheria ya mgombea binafsi imeshapitishwa/tungwa? au ndo kusema tu mambo bila kujua the 'status quo'?
 
Nimesema ukweli zitto alikuja na uwongo wake tukaangalia golden oppotunity katika maswali ya moja kwa moja akashindwa kujibu akakimbilia kwingine toka siku hiyo nikaona ahaa ndio maana kule kigoma walimchagua na hawaletei chochote na hata hawa vijana sijui kwanini wanatoa support kwa waongo , wavuruga nchi na wachonganishaji kama hawa ---
 
Wabunge wa CCM na mawaziri wote wamejaa jeuri na kiburi ambacho mimi sielewi kinatokana na kitu gani, labda ni sisi watz ndo tumewapa. Yale maneno waziri sumari aliyotumia ilikuwa ni dharau kubwa kwa Dr. slaa na hata watanzania wote, kuwa "na wewe utafute hoja nyingine" maneno yenyewe ukiyasoma hayaonyeshi kama ni mabaya, lakini aliyesikia ile tone aliyotumia na ile facial expression aliyomwonyesha Dr.slaa ilikuwa na kila aina ya dharau na kiburi.

Zitto komaa nao hivyo hivyo manake tumeishawachoka na matamshi ambayo hayana hata heshima, kuna wakati kiongozi anatamka neno mpaka unajiuliza huyu ana akili timamu kweli au je anawatoto kweli? manake hata mtoto huwezi kutumia neno kama hilo, tena wanatamka maneno hayo katika ofisi zao, na zaidi sana bungeni.

Ningeweza kuwaelewa kama wangetamka hivyo katika majukwaa ya kisiasa/kampeni japo sikubariani na lugha za matusi wakati wa kampeni.

Haya yote yanamwisho wake.
 
Waziri Sumari, Ameongoa nini hovyo hovyo? Kuna mtu mwenye taarifa kamili? Asante
 
kuna mawili akawa maarufu au akafifia jumla kwani kuwa na kiburi kukataa kutii mamlaka ndio kunampa mtu umaarufu?

Kutii ni jambo moja na kutii mamlaka mbovu yenye matabaka ya wazi wazi,inayo onea wengine na kuwacha wengine?Wengine wakisema sawa akisema zitto afute kauli?Hili si sawa....bora kuto tii...hata baba kama ni mlevi,hana msaada.. nyumbani hata watoto maelekezo yake mengi huwa yanapuuziwa.Kwa hili zitto sioni aombe msamaha kwa lipi..if anything hana la kupoteza.Next year hana mpango na bunge kama ndio la namna hii!!!Bora akafundishe au akasome zaidi.Mzee kama sumari sidhani kama ndio wakuongea mambo yale...anajibu utafikiri anajibu mkewe.
 
The time has come for the truth to be told at any cost. CCM MPs have ofter used very offensive and abusive language including Mudhihiri Mudhihir who this week attacked Benard Membe but no any point of order was raised. This is hypocricy.

We can't have a parliament where some few individuals want to win the government and the ruling party's favour by behaving like children. If CCM Mps can be allowed to use or utter very offesive languange like "All ministers should be cursed and many more", then the same rule should apply to both sides.

Viva Kabwe, keep it up na kama ni kufungiwa umezoea.
 
Nimesema ukweli zitto alikuja na uwongo wake tukaangalia golden oppotunity katika maswali ya moja kwa moja akashindwa kujibu akakimbilia kwingine toka siku hiyo nikaona ahaa ndio maana kule kigoma walimchagua na hawaletei chochote na hata hawa vijana sijui kwanini wanatoa support kwa waongo , wavuruga nchi na wachonganishaji kama hawa ---

Du! hahahahahaahahhhahahahaah
 
mimi sina chama wala dini lakini huyo kijana asidanganye jamii na ummah asifikiri vitisho vyake vitamtingisha yeyote , ninahamu angetaka kugombea jimbo la ubungo nisimame nae kama mgombea binafsi nimwonyeshe vijana walivyo si maneno matupu na vijitu vinatoa support kupumbazwa na kulaghaiwa tu

Huyu ndio shy bwana,siku zote ukisoma mistari yake ni lazima utapata hamu ya kumuona kwa macho.Ingekuwa skendo na michango isiyokubalika na wengi ni kigezo cha mtu kutimuliwa JF,huyu angekuwa wa kwanza.
 
Kutii ni jambo moja na kutii mamlaka mbovu yenye matabaka ya wazi wazi,inayo onea wengine na kuwacha wengine?Wengine wakisema sawa akisema zitto afute kauli?Hili si sawa....bora kuto tii...hata baba kama ni mlevi,hana msaada.. nyumbani hata watoto maelekezo yake mengi huwa yanapuuziwa.Kwa hili zitto sioni aombe msamaha kwa lipi..if anything hana la kupoteza.Next year hana mpango na bunge kama ndio la namna hii!!!Bora akafundishe au akasome zaidi.Mzee kama sumari sidhani kama ndio wakuongea mambo yale...anajibu utafikiri anajibu mkewe.

Wabeja getegete
 
Ndugu Shy, let the people of Kigoma North decide the fate of their MP. The debate tabled or posted here in JF is about what Zito or how he behaved in parliament today. This is what we are debating, and if you don't have something to say just shut up your mouth instead of becoming a cheap asset for misleading JF members.
 
Nimesema ukweli zitto alikuja na uwongo wake tukaangalia golden oppotunity katika maswali ya moja kwa moja akashindwa kujibu akakimbilia kwingine toka siku hiyo nikaona ahaa ndio maana kule kigoma walimchagua na hawaletei chochote na hata hawa vijana sijui kwanini wanatoa support kwa waongo , wavuruga nchi na wachonganishaji kama hawa ---

........Tuambie basi ulimuuliza maswali gani.....ili Zitto akija hapa tumuulize ilikuwaje akaepa maswali yako..........
 
alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake
 
Kama mtu huwezi kusema mchango wa waziri ni hovyo hovyo, wanataka utumie neno gani? Michango mingine sio tu kwamba ni ya hovyo hivyo bali pia ni ya kijinga.

Hapa nimekusoma na niko same page nawe! Kwa kuna michango ya waheshimiwa wengine hata mtoto wangu wa miaka 5 hawezi fanya hivyo....ndiyo wabunge wetu reflection ya sisi tuliowachagua!
 
alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake

He! Shy yani hilo tu kosa moja (kama kweli ni kosa) ndio umefikia uamuzi wa kumuona kwamba hafai?! usiwe unakumbuka matukio ya karibuni tu unapomtathimini mtu angalia mambo yote aliyofanya siku za karibuni na hata siku za nyuma
 
Nimesema ukweli zitto alikuja na uwongo wake tukaangalia golden oppotunity katika maswali ya moja kwa moja akashindwa kujibu akakimbilia kwingine toka siku hiyo nikaona ahaa ndio maana kule kigoma walimchagua na hawaletei chochote na hata hawa vijana sijui kwanini wanatoa support kwa waongo , wavuruga nchi na wachonganishaji kama hawa ---

Side effects of drugs abuse...pole SHY you need to rehabilitation counseling!
 
Je Waziri au kiongozi yoyote akitoa majibu ya hovyo hovyo muulizaji hana haki ya kumwambia kuwa majibu aliyotoa ni ya hovyo? Kama haki hiyo ipo je nini kosa la Zitto?

Juzi Mudhihir kamfananisha waziri na nyoka anae-kaa kwenye mdimu, hakuna mbunge wala waziri alie omba muongozo wa spika!! Bwana Seleli aliwambia mawaziri wana roho mbaya, hakuna mbunge alie omba muongozo wa spika!!!, Vipi kwa zitto??? je kwa sababu mpinzani?
 
Back
Top Bottom