Zitto kuwasilisha hoja J3 wamo wabunge watano wa CCM

Licha ya kuwapo kwa fununu ya mawaziri kujiuzulu lakini Zitto amesema azima ya kuwasilisha hoja yake Jumatatu iko pale pale.

"Spika hajasema kitu, wamejipanga tu hawa, sisi hatujampelekea hoja yetu tunampelekea Jumatatu kisha ataamua. Ili mradi iwe siku 14 kabla ya siku ya kutoa hoja. Wanaweweseka tu," alidai Zitto.

Hadi jana jioni sahihi 75 zikiwemo 5 za wabunge wa CCM zilikuwa zimeshapatikana.

Majina ya wabunge waliotia saini:


  1. Mhe. Rashid Ali Abdallah – CUF
  2. Mhe . Chiku Aflah Abwao- CHADEMA
  3. Mhe . Saluim Ali Mbarouk – CUF
  4. Mhe . salum Khalfam Barwany – CUF
  5. Mhe . Deo Haule Filikuchombe - CCM
  6. Mhe.Pauline Philipo Gekul - CHADEMA
  7. Mhe. Asaa Othman Hamad - CUF
  8. Mhe. Prof.Kuliyokela Kahigi- CHADEMA
  9. Mhe.Naomi Mwakyoma Kaihula – CHADEMA
  10. Mhe . Sylvester Kasulumbayi - CHADEMA
  11. Mhe. Raya Ibrahim Khamis - CHADEMA
  12. Mhe. Mkiwa Hamad Kiwanga - CUF
  13. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga - CHADEMA
  14. Mhe. Grace Sindato Kiwelu – CHADEMA
  15. Mhe. Kombo Khamis Kombo – CUF
  16. Mhe. Joshua Samwel Nassari – CHADEMA
  17. Mhe. Tundu Antiphas Lissu - chadema
  18. Mhe Aphaxar Kangi Lugola - CCM
  19. Mhe susan Anselim Lymo - CHADEMA
  20. Mhe. Moses Machali – NCCR Mageuzi
  21. Mhe. John Shibuda Magalle – CHADEMA
  22. Mhe. Faki Haji Makame - CUF
  23. Mhe . Esther Nicholas Matiko - CHADEMA
  24. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi - CHADEMA
  25. Mhe. Freman Aikaeli Mbowe - CHADEMA
  26. Mhe. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – CHADEMA
  27. Mhe. Halima James Mdee - CHADEMA
  28. John John Mnyika - CHADEMA
  29. Mhe. Augustino Lyatonga Mrema - TLP
  30. Mhe . Maryam Salum Msabaha - CHADEMA
  31. Mhe. Peter Msingwa - CHADEMA
  32. Mhe. Christowaja Gerson Mtinda - CHADEMA
  33. Mhe. Philipa Geofrey Mturano - CHADEMA
  34. Mhe. Christina Lissu Mughwai - CHADEMA
  35. Mhe. Joyce John Mukya – CHADEMA
  36. Mhe. Mchungaji Israel Yohane Natse – CHADEMA
  37. Mhe. Philemon Ndesamburo- CHADEMA
  38. Mhe. Ahmed Juma Ngwali - CUF
  39. Mhe. Vincent Josephat Nyerere - CHADEMA
  40. Mhe. Rashid Ali Omar - CUF
  41. Meshack Jeremiah Opulukwa - CHADEMA
  42. Mhe. Lucy Philemon Owenya - CHADEMA
  43. Mhe. Rachel Mashishanga - CHADEMA
  44. Mhe. Mhonga Said Ruhwanya – CHADEMA
  45. Mhe. Conchesta Rwamlaza – CHADEMA
  46. Mhe. Moza Abedi Saidy - CUF
  47. Mhe. Joseph Roman Selasini – CHADEMA
  48. Mhe. David Ernest Silinde - CHADEMA
  49. Mhe Rose Kamili Sukum - CHADEMA
  50. Mhe. Cecilia Daniel Paresso - CHADEMA
  51. Mhe. Kabwe Zuberi Zitto - CHADEMA
  52. Mhe. Magdalena Sakaya – CUF
  53. Mhe Rebecca Mngodo - CUF
  54. Mhe. Sabreena Sungura - CHADEMA
  55. Mhe. Hamad Rashid Mohammed- CUF
  56. Mhe. Rukia Kassim Ahmed (CUF)
  57. Mhe. Mustapha Boay Akoonay (CHADEMA)
  58. Mhe. Abdalla Haji Ali (CUF)
  59. Mhe. Khatibu Said Ali (CUF)
  60. Mhe. Hamad Ali Hamad (CUF)
  61. Mhe. Riziki Omar Juma (CUF)
  62. Mhe Haji Khatibu Kai (CUF)
  63. Mhe. Anna Marystella John Malack - CHADEMA
  64. Mhe. Hamad Rashid Mohamed (CUF)
  65. Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed (CUF)
  66. Mhe. Thuwayba Idrissa Muhamed (CUF)
  67. Mhe. Masoud Abdallah Salum (CUF)
  68. Mhe. Muhamad Ibrahim Sanya (CUF)
  69. Mhe. Ali Khamis Seif (CUF)
  70. Mhe. Haroub Muhammed Shamis (CUF)
  71. Mhe. Amina Amour Nassoro (CUF)

Wakuu kuna uchakachuaji hapo, jina la Hamad Rashid Mohamed limeandikwa mara mbili, tazama namba 55 na 64 kwenye orodha hapo juu. Mhe Zitto anapaswa kurekebisha hii isije ikatumika kama sababu ya kukwamisha hoja.
 
Wabunge wa Chadema wanalizika na maisha wanayoishi watanzania inahuzunisha sana,

Haujaeleweka vizuri hebu fafanua vizuri. Wangekuwa wameridhika wangekuwa wanafanya wanachokifanya?
 
Wapi wakamanda wa Ufisadi kina Olesendeka, Anne Kilango, Godfrey Zambi, Samuel Sitta, Harrisson Makyembe and the like.

Hawana lolote hao wanakwaya tu wa kambi ya ccm. Wana maagizo maalumu ya kuimba hizo kwaya zao ili kutudanganya wananchi kuwa katika ccm bado kuna wanaopinga ufisadi kumbe hakuna lolote! sasa ndio tuanaona mchele na pumba vinavyotenganishwa.

Hapo hata angekuwepo Nape (kama angekuwa mbunge) na keleleze zake zote za kuvuana gamba angeogopa kutia mkono wake kwa jinsi magamba walivyofuzu kwa unafiki.
 
Ingekuwa jambo la kushangaza kama Deo na Kessy wasingesaini ila natamani kumuuliza Zito huyu Zambi ameondoka Dodoma maana kama kuna mtu aliogea sana kuilaumu serikali ni pamoja na yeye.Aulizwe lives tumsikie kwa nini hakusaini?
 
yaani na wewe ni gamba. zitto moto ni ule ule wataisoma hata kimya KIMYA. NYOOOOOOO:shut-mouth:
 
Zitto aendelea kutafuta saini

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alisema hoja ya kumpigia Waziri Mkuu kura ya kutokuwa na imani ipo pale pale kama mawaziri wanaotajwa kwa ufisadi hawatajiuzulu kufikia kesho.

"Sisi tunasema bila kumwajibisha Waziri Mkuu hawa mawaziri waliotajwa hawatatoka na wasipotoka madudu haya yatarudia…kwa hiyo ni wao mawaziri kupima na kuwajibika au wamweke reheni Waziri Mkuu,"alisema.

Mbunge huyo alirejea wito wake wa kuwaomba wabunge wenye uchungu na ubadhirifu na ufisadi waunge mkono utiaji wa saini hizo na kwamba kama mawaziri watajiuzulu ifikapo Jumatatu, wataondoa hoja hiyo.

Kwa upande wake, Kiongozi wa Kambi rasmi ya upizania Bungeni, Freeman Mbowe alirejea msimamo wake wa kuomba kufanyiwa mabadiliko ya katiba ya nchi na kanuni za Bunge ili Spika asiwe anatokana na chama chochote cha siasa.

Mbowe alitoa kauli hiyo kutokana na kile alichodai, hatua ya Spika Anne Makinda kutafsiri vibaya kanuni za Bunge na Katiba ya nchi ili tu kuilinda Serikali na Waziri Mkuu wake ili asipigiwe kura ya kutokuwa na imani.

"Mambo ya ajabu sana eti Spika anasema hili zoezi letu ni batili…sisi tunamshangaa, wanasheria wanamshangaa na hata wananchi wanamshangaa… anatoleaje mwongozo kwa kitu ambacho hakipo mezani kwake?"alihoji.

Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai, alisema kanuni inataka ili hoja ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Waziri mkuu iweze kufikishwa ofisi ya Spika, ni lazima ipate sahihi za wabunge 70 (20%) na ndicho wanachokifanya.
 
Ni lazima tuseme kitu ambacho kilikuwa dhahiri; hii ni opposition move na kwa kweli kabisa imeonesha wazikuwa suala la kumpigia kura waziri mkuu haliwezi kufanikiwa. Yaani kati ya wabunge karibu 274 wa wa CCM ni watano tu wameunga hili mkono inatisha lakini pia inaelezea kitu ambacho wengine tunakiona toka mwanzo. Kama lengo ni kufanya 'ishara' tu au kutishia ni wazi kuwa CCM hawajatishika sana kihivyo.

Hata hivyo, imechora mstari mzuri ambao sasa unaeleweka vizuri kuna upinzani na kuna CCM na kuwa wapinzani wanaweza kujenga hoja nzuri ambayo hata ikishindwa bungeni wanaweza kuirudisha kwa wananchi. Fikiria hivi; upinzani unawaambbia wabunge hawa 5 wa CCM kuwa majimbo yao yako salama kwa kuamua kuhesabiwa upande sahihi wa historia. Kazi iwe kwa wanaCCM wote ambao hawakuchagua upande (with the exception of ministers).
 
mungu awe pamoja nao na peoplez power tupo nyuma yao.

katika hili tukileta u-chama tutarikoroga,cha msingi lengo litimizwe,u-cuf,u-chadema,au u-ccm utavunja kabisa umoja na wale wasio na uchungu na nchi watapata sababu ya kuwagawa wabunge wetu ktk hili jambo.hapo masikio yamewasimama wanatafuta any fallacy ili kuua hii hoja.na ninaomba sana wananchi tushike bango na vyombo vya habari pia maana tunaona hoja nyingi zinashabikiwa lakini hatimaye zinaishia hewani na ndipo wanapopata kiburi cha kusema huu ni upepo tu na wanaendelea kutafuna.bro mi ninalipa kodi kubwa sana pamoja na ulala hoi wangu.kweli nina machungu sana
 
ni lazima tuseme kitu ambacho kilikuwa dhahiri; hii ni opposition move na kwa kweli kabisa imeonesha wazikuwa suala la kumpigia kura waziri mkuu haliwezi kufanikiwa. Yaani kati ya wabunge karibu 274 wa wa ccm ni watano tu wameunga hili mkono inatisha lakini pia inaelezea kitu ambacho wengine tunakiona toka mwanzo. Kama lengo ni kufanya 'ishara' tu au kutishia ni wazi kuwa ccm hawajatishika sana kihivyo.

Hata hivyo, imechora mstari mzuri ambao sasa unaeleweka vizuri kuna upinzani na kuna ccm na kuwa wapinzani wanaweza kujenga hoja nzuri ambayo hata ikishindwa bungeni wanaweza kuirudisha kwa wananchi. Fikiria hivi; upinzani unawaambbia wabunge hawa 5 wa ccm kuwa majimbo yao yako salama kwa kuamua kuhesabiwa upande sahihi wa historia. Kazi iwe kwa wanaccm wote ambao hawakuchagua upande (with the exception of ministers).

wewe acha ujinga,wabunge wa ccm wana uoga na unafiki,lakini mioyoni mwao wanatambua haki na dhamiri zinawasuta.wanalinda kitumbua chao tu. Ila wanajua wakiwaacha wenzao waendelee kula bata na kuwaharibia mwaka 2015 itakula kwao.sasa kwa taarifa yako kazi ngumu ilikuwa kupata hizo kura sabini,kura 176 ni rahisi mno.hivi kwa upeo wako wale wabunge wote wa ccm waliolalama na kwa jazba na kwa upeo wako kama mwana-ccm unaweza kuwaamini kwenye secret ballot.mkulu mwenyewe anajua hilo na hatamani siku hiyo ifike na hata wewe unajua ndio maana unaleta propoganda za kukatisha watu tamaa.kaka hii haichomoki iwe jumatatu,mtondogoo,au juni lazima kieleweke.kwanza bunge hili likiisha tunaendeleza twanga kotekote na mavuno zaidi na kutapanya hiyo sumu-ripoti ya cag nchi nzima,presha inapanda presha inashuka
 
Orodha yangu so far ina wajumbe 70 sina 73 kama isemavya


1. Mhe. Rashid Ali Abdallah – cuf
2. Mhe . Chiku Aflah Abwao- chadema
3. Mhe . Saluim Ali Mbarouk – cuf
4. Mhe . salum Khalfam Barwany – cuf
5. Mhe . Deo Haule Filikunjombe- ccm
6. Mhe.Pauline Philipo Gekul- chadema
7. Mhe. Asaa Othman Hamad-cuf
8. Mhe. Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
9. Mhe.Naomi Mwakyoma Kaihula – chadema
10. Mhe . Sylvester Kasulumbayi- chadema
11. Mhe. Raya Ibrahim Khamis - chadema
12. Mhe. Mkiwa Hamad Kiwanga - cuf
13. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga- chadema
14. Mhe. Grace Sindato Kiwelu –chadema
15. Mhe. Kombo Khamis Kombo – cuf
16. Mhe. Joshua Samwel Nassari – chadema
17. Mhe. Tundu Antiphas Lissu- chadema
18. Mhe Aphaxar Kangi Lugola- ccm
19. Mhe susan Anselim Lymo- chadema
20. Mhe. Moses Machali – NCCR Mageuzi
21. Mhe. John Shibuda Magalle – Chadema
22. Mhe. Faki Haji Makame- Cuf
23. Mhe . Esther Nicholas Matiko- chadema
24. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
25. Mhe. Freman Aikaeli Mbowe- chadema
26. Mhe. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – chadema
27. Mhe. Halima James Mdee-chadema
28. John John Mnyika- Chadema
29. Mhe. Augustino Lyatonga Mrema- TLP
30. Mhe . Maryam Salum Msabaha- chadema
31. Mhe. Peter Msingwa-chadema
32. Mhe. Christowaja Gerson Mtinda- chadema
33. Mhe. Philipa Geofrey Mturano- chadema
34. Mhe. Christina Lissu Mughwai- chadema
35. Mhe. Joyce John Mukya – chadema
36. Mhe. Mchungaji Israel Yohane Natse – chadema
37. Mhe. Philemon Ndesamburo- chadema
38. Mhe. Ahmed Juma Ngwali- - cuf
39. Mhe. Vincent Josephat Nyerere- chadema
40. Mhe. Rashid Ali Omar- cuf
41. Meshack Jeremiah Opulukwa- chadema
42. Mhe. Lucy Philemon Owenya- chadema
43. Mhe. Rachel Mashishanga- Chadema
44. Mhe. Mhonga Said Ruhwanya – chadema
45. Mhe. Conchesta Rwamlaza – Chadema
46. Mhe. Moza Abedi Saidy- cuf
47. Mhe. Joseph Roman Selasini – Chadema
48. Mhe. David Ernest Silinde- chadema
49. Mhe Rose Kamili Sukum - chadema
50. Mhe. Cecilia Daniel Paresso- chadema
51. Mhe .Kabwe Zuberi Zitto- Chadema
52. Mhe. Magdalena Sakaya – Cuf
53. Mhe Rebecca Mngodo- Cuf
54. Mhe. Sabreena Sungura -chadema
55. Rukia Kassim Ahmed Cuf
56. Mustapha Boay Akoonay Chadema
57. Mhe. Abdallah haji Ali Cuf
58. Mhe.Khatibu Said Haji. Cuf
59. Mhe. Hamad Ali Hamad Cuf
60. Mhe. Riziki Omar Juma Cuf
61. Mhe. Haji Khatib Kai Cuf
62. Mhe. Anna Marystella Mallack Chadema
63. Mhe. Hamad Rashid Mohamed Cuf
64. Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed Cuf
65. Mhe. Thuwayba Idrisa CUF
66. Mhe.Masoud Abdallah Salum Cuf
67. Mhe. Muhammad Ibrahim Sanya Cuf
68. Mhe.Ali Khamis Seif Cuf
69. Mhe.Haroub Muhammed Shamis Cuf
70. Mhe. Amina Amour. Nassoro. Cuf
 
Nimeona vibaya nini??? Mbona simuoni mbunge wangu hapo....huyu anaitwa Said Amor Arf...wa Mpanda Mjini wa CHADEMA....kweli au macho yangu yanamakengeza....ngoja nirudie tena.....
 
unauliza nini sasa, jibu si unalo, kama hujaona jina lake ujue nae ni Gamba! ameamua kumlina home boi wake!
 
Back
Top Bottom