Zitto kuwasilisha Bajeti 'Mbadala' ya Upinzani Juni 18, 2012

Hivi wakuu haiwezekani kama bajeti ya upinzani itakuwa nzuri tukaitumia na kuachana na hiyo ya hao wezi?

na hamu kweli kama ingekua inawezekana kua hivyo.... serikali imetenga hela zaidi za wale rushwa badala ya kuwekeza zaidi kwenye shughuli za maendeleo
 
Afadhali mkuu umempa kweli yake.Hawa vibaraka wanakera sana.

Malemo,basi tu yaani kama ingekuwa ni rahisi kumjua m2 kama huyo!!!! anafumbia macho vitu vilivyowazi! haihitaji hata elimu kubwa sana kuyatambua! Pengine hajitambui!!!! Acha waendelee kujificha humu na hizo ID zao! ipo cku!
 
hiyo ndo budget tunayoisubili na hiyo ndo itajadiliwa ile ya mgimwa tupa huko.
 
Nitamkubali Zitto kama ataweza kutuepusha na bajeti ya kutegemea walevi na wavuta sigara kama chanzo kikuu cha mapato
 
Kwani akisoma hiyo bajeti mbadala ndiyo itakayotumika? Sioni hata umhimu wa bajeti za upinzani hapa Tanzania.
The unseen is illustrated by the seen.

kwa kuwa hujui siasa ndio maana unasema hivo! bajeti ya upinzani ni taswira ya upinzani kuhusu swala la uchumi kwa jumla ni kuwaonyesha wananchi kuwa kama wangechagua CDM hayo ndiyo yangetekelezwa na ni maandalizi ya uchaguzi pia!!
 
Hivi wakuu haiwezekani kama bajeti ya upinzani itakuwa nzuri tukaitumia na kuachana na hiyo ya hao wezi?

Hilo kuwezekana ni Mpaka tuiondoe CCM madarakani, bila Namba ya wabunge wa upinzani kuwa kubwa bungeni, hatuna la kufanya.
 
Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa umakini, malaika wa mbinguni wawe nae, watanzania waisikie, na waielewe ili wajue nini serikali inafikiria na nini CHADEMA inafikiria,

Mungu ibariki Tanzania, wabariki Watanzania
 
Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa umakini, malaika wa mbinguni wawe nae, watanzania waisikie, na waielewe ili wajue nini serikali inafikiria na nini CHADEMA inafikiria,

Mungu ibariki Tanzania, wabariki Watanzania
 
Kwani akisoma hiyo bajeti mbadala ndiyo itakayotumika? Sioni hata umhimu wa bajeti za upinzani hapa Tanzania.
The unseen is illustrated by the seen.

Hii ndiyo aina ya watanzania tulionao kwenye system... Mawazo mgando.. wanaoamini katika kuibia rasilimali za watanzania.

Badala ya kuishinikiza serikali ipunguze msamaha wa kodi kwenye madini tunashangaa uwepo wa wapinzani...

This is shame...
 
Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa umakini, malaika wa mbinguni wawe nae, watanzania waisikie, na waielewe ili wajue nini serikali inafikiria na nini CHADEMA inafikiria,

Mungu ibariki Tanzania, wabariki Watanzania

Mungu ampe nguvu Zitto
 
Niko safAri nje ya nchi na sikupata nafasi kuingia jamvini leo jioni hii ndo nimeiba muda kidogo cha kunisikitisha ni kuona hili jina zomba...... Yaani umeniharibia siku yangu ...zomba...my as.
Hakuna jipya. Chadema hawana uwezo wa kuandika bajeti.

Bajeti ya mgimwa ilikuwa sio mbaya ila yeye mwenyewe ndio hajajuwa kui-present.
 
kama naishi naamini Dr.Slaa ndio rais wa moyoni.nitashindwaje kuiamini na kuifuraia bajeti ya upinzani.?
 
Back
Top Bottom