Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Umesema ila mimi naona Zitto ni mtu muhimu sana katikma Chadema na pia kama ukitangaza mapema ni kosa, sasa nyie ndio mulikuwa mnasema kuwa Slaa alichelewa kutangaza nia sasa na Zitto aliyewahi
Pili, ni vema ifahamike kuwa mazingira niliyokuwa ninahutubia ni mazingira ya namna gani na kwamba kauli ya Urais ni kauli kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kidahwe na wala sio kauli yangu.
Umesahau kuweka apostrophes kwenye "Slaa time" na "lets focus".This is Slaa time, not my time........... lets focus!
Ndugu zangu wana JF,
Toka asubuhi nimekuwa nikisoma maoni yenu kuhusiana na habari iliyorushwa na TBC1 kuhusiana na mimi kugombea Urais mwaka 2015. Kwanza, sio jambo zuri sana kudakia mambo bila kuwa na hbri za kutosha na kuhukumu watu. Watu makini husikia au kusoma mambo, kuyatafakari na kisha kuyatolea maoni. Pili, ni vema ifahamike kuwa mazingira niliyokuwa ninahutubia ni mazingira ya namna gani na kwamba kauli ya Urais ni kauli kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kidahwe na wala sio kauli yangu. Ni kauli na maono ya watu wa Kigoma na nadhani sio dhambi hata kidogo. Mimi ni mwanasiasa na ninafahamu kanuni za mchezo huu. Kamwe siwezi katika kipindi hiki kuanza kutoa kauli za kuondoa attention kutoka kwa mgombea Urais wa chama changu. Mimi siwezi kuzuia TBC kutoa habari wanayotaka kutoa na wala siwalaumu TBC kwa kutoa habari hiyo kwani ni jambo lililotokea na umma una haki ya kuhabarishwa. Mimi nipo jimboni kwangu ninafanya kampeni za kuomba kura za HESHIMA. Pia ninamwombea kura Katibu Mkuu wangu Dr. Slaa ili awe Rais. Kila tukio la kampeni zangu ninaweka katika blogu yangu na pia katika facebook Zitto na Demokrasia. Ninaomba wenye kuhitaji kufuatilia matukio ya Kigoma wafuatilie huko.
Ndugu zangu, busara ya kawaida inasema hiki ni kipindi cha kufanyakazi za kutafuta mabadiliko katika nchi yetu. Sio kipindi cha kushutumiana na kuzushiana mambo. Tuwe na staha. Hatutaleta change katika nchi yetu kwa kusemana na kusengenyana. Hatutaleta mabadiliko kwa kutegeana makosa. Angalau kwa kipindi hiki basi tuelekeze nguvu zetu katika kusaka kura za kuleta mabadiliko. Tunahitaji Madiwani, Wabunge na Rais.
Ninasononeshwa sana na muda unaopotea kusema Zitto hivi ama vile. Najua kuna Zitto haters humu. Basi fanyeni ceasefire ili tupite katika mchakato huu wa kusaidia mabadiliko katika nchi yetu. Mie nipo Kigoma nasaka kura za chama changu. Nanyi kokote mlipo chakarikeni. Kuna muda wa kutosha mwingi wa kutoa maoni kuhusu Urais wa Zitto mpaka ifike 2015. Wenye ya kusema watasema mengi na nitawasikiliza. This is Slaa time, not my time........... lets focus!
Hao wananchi wa kijiji cha Kidahwe walisema nini na wewe ukasema nini? Tuhabarishe tafadhali...
Umesahau kuweka apostrophes kwenye "Slaa time". Ilitakiwa iwe 'Slaa's time' (kwa sababu ni possessive case) na "lets focus" ilitakiwa iwe 'let's focus' (kwa sababu ya omission ya 'u' kwenye neno 'us')
[/COLOR][/SIZE]
Nadhani kuna kujwaa la lugha, ambako punctuations kama hizi huenda ikawa nzuri zaidi zikasahihishiwa huko!....Na wewe una tabia ya kufuatilia errors za baadhi ya watu humu ndani!
Wanaokosea makosa serious huwaoni?
Asante sana Zitto kwa kujitokeza wewe mwenyewe na kutolea ufafanuzi tukio hili. Watu hawatofautishi maneno yaliyotamkwa na wananchi na maneno yako.Ndugu zangu wana JF,
Toka asubuhi nimekuwa nikisoma maoni yenu kuhusiana na habari iliyorushwa na TBC1 kuhusiana na mimi kugombea Urais mwaka 2015. Kwanza, sio jambo zuri sana kudakia mambo bila kuwa na hbri za kutosha na kuhukumu watu. Watu makini husikia au kusoma mambo, kuyatafakari na kisha kuyatolea maoni. Pili, ni vema ifahamike kuwa mazingira niliyokuwa ninahutubia ni mazingira ya namna gani na kwamba kauli ya Urais ni kauli kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kidahwe na wala sio kauli yangu. Ni kauli na maono ya watu wa Kigoma na nadhani sio dhambi hata kidogo. Mimi ni mwanasiasa na ninafahamu kanuni za mchezo huu. Kamwe siwezi katika kipindi hiki kuanza kutoa kauli za kuondoa attention kutoka kwa mgombea Urais wa chama changu. Mimi siwezi kuzuia TBC kutoa habari wanayotaka kutoa na wala siwalaumu TBC kwa kutoa habari hiyo kwani ni jambo lililotokea na umma una haki ya kuhabarishwa. Mimi nipo jimboni kwangu ninafanya kampeni za kuomba kura za HESHIMA. Pia ninamwombea kura Katibu Mkuu wangu Dr. Slaa ili awe Rais. Kila tukio la kampeni zangu ninaweka katika blogu yangu na pia katika facebook Zitto na Demokrasia. Ninaomba wenye kuhitaji kufuatilia matukio ya Kigoma wafuatilie huko.
Ndugu zangu, busara ya kawaida inasema hiki ni kipindi cha kufanyakazi za kutafuta mabadiliko katika nchi yetu. Sio kipindi cha kushutumiana na kuzushiana mambo. Tuwe na staha. Hatutaleta change katika nchi yetu kwa kusemana na kusengenyana. Hatutaleta mabadiliko kwa kutegeana makosa. Angalau kwa kipindi hiki basi tuelekeze nguvu zetu katika kusaka kura za kuleta mabadiliko. Tunahitaji Madiwani, Wabunge na Rais.
Ninasononeshwa sana na muda unaopotea kusema Zitto hivi ama vile. Najua kuna Zitto haters humu. Basi fanyeni ceasefire ili tupite katika mchakato huu wa kusaidia mabadiliko katika nchi yetu. Mie nipo Kigoma nasaka kura za chama changu. Nanyi kokote mlipo chakarikeni. Kuna muda wa kutosha mwingi wa kutoa maoni kuhusu Urais wa Zitto mpaka ifike 2015. Wenye ya kusema watasema mengi na nitawasikiliza. This is Slaa time, not my time........... lets focus!
Ngoja nikusaidie.Dr Slaa akishinda ni dhahiri 2015 atataka kugombea tena kwa hiyo chance ya Zitto kugombea kupitia Chadema itakuwa ni ndogo.Wafuasi wa Zitto ambao watakuawa wamependezeshwa na nia ya Zitto kugombea 2015 wataliona hilo,kwa hiyo wataona ni bora wampe kura Kikwette ashinde ili kipenzi chao kiweze kugombea.Conclusion yako butu, unamaana wafuasi wa Zitto wakimpa kura Kikwete ndipo Zitto atapata nafasi ya kugombea 2015, mbona havina uhusiano.
Don't put too much attention on an unnecessary things, kila kitu na sehemu yake hapa hatujifunzi lugha, tunajua wewe ni mjuzi wa lugha basi no more than that. Kama humu kila mtu atajitambulisha profession yake mbona itakuwa balaa. Kuna ma engineer humu kuna madaktari humu lakini sijawahi kuwaona wakijionyesha kama unavyofanya wewe. Soma Signature ya Invisible.Umesahau kuweka apostrophes kwenye "Slaa time" na "lets focus".
Ilitakiwa iwe 'Slaa's time' (kwa sababu ni possessive case) na "lets focus" ilitakiwa iwe 'let's focus' (kwa sababu ya omission ya 'u' kwenye neno 'us')
Don't put too much attension on an unnecessary things, kila kitu na sehemu yake hapa hatujifunzi lugha
Hao wananchi wa kijiji cha Kidahwe walisema nini na wewe ukasema nini? Tuhabarishe tafadhali...
Umesahau kuweka apostrophes kwenye "Slaa time" na "lets focus".
Ilitakiwa iwe 'Slaa's time' (kwa sababu ni possessive case) na "lets focus" ilitakiwa iwe 'let's focus' (kwa sababu ya omission ya 'u' kwenye neno 'us')
Sio "attension" bali ni 'attention'
Na "on an unnecessary things" ndio nini? Kweli hapa hatujifunzi lugha....:becky:
Jamani
Mimi naona msubiri kidogo kumhukumu Zitto. Yeye kawauliza watu waliohudhuria mkutano, na wao wakajibu "urais", TBC wakadaka ili kukuza mpasuko ndani ya Chadema. Mimi naona suala hili linakuzwa na vyombo vya habari tu. Mwacheni Zitto apambane kurudi mjengoni, mengine tuwaachie wananchi. Kutokuwepo Jangwani, ni wengi hawakuwepo.
It si true kwa nini TBC waone hiyo ndiyo habari na kuacha mambo mengine, mbona hawarushi habari nyingi za mikutano ya Slaa, wenyewe wakiona kitu controversial kwa Chadema ndiyo inakuwa habari ili waonekane wanaripoti habari za Chadema. Ni sawa na gazeti la Habari Leo wao wanachoona ni mambo ya ndoa ya Slaa tu huo si uandishi bora ni bora uandishi.
Na mimi ngoja nikusaidie. Chance ya Zitto kugombea 2015 si kuwa ni ndogo tu ila haipo kabisa kwa vile katiba haimruhusu he will be 39 by that time. Kwa hiyo bado narudia tena conclusion yako ni butu kwa vile ime base kwenye wrong hypotheses.Ngoja nikusaidie.Dr Slaa akishinda ni dhahiri 2015 atataka kugombea tena kwa hiyo chance ya Zitto kugombea kupitia Chadema itakuwa ni ndogo.Wafuasi wa Zitto ambao watakuawa wamependezeshwa na nia ya Zitto kugombea 2015 wataliona hilo,kwa hiyo wataona ni bora wampe kura Kikwette ashinde ili kipenzi chao kiweze kugombea.
.
Hayo ya ufasaha wa herufi yanafaa sana kwa wanafunzi wako wawapo darasani.
Ila na wewe ni lini utagombea nini katika chama gani ili tuuone u-perfection wako?
...NN, Hivi kweli wewe sio Abdi Sultan wa Sunday Citizen???:whistle::behindsofa:
Sio "attension" bali ni 'attention'
Na "on an unnecessary things" ndio nini? Kweli hapa hatujifunzi lugha....:becky: