Zitto karibu NCCR

Ndugu usione vyaelea, vimeundwa! Andaeni wa kwenu, tukisema ukweli naomba uitajie jina la mbunge wa NCCR leo hii ambaye hakulelewa na chadema? Machali na kelele zake zote lakini ana heshima maalum kwa Chadema. yoote anayosema anataka akijenge chama ni experience na exposure aliyoipata akiwa CDM
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.
usimdanganye mwenzako, NCCR ilishakufaga siku nyingi mbona.
 
kaka,kuna watu wanaofikiri kwa kutumia miguu! Kwa mtu anaetumia kichwa, kwa kipindi hiki tulichonacho sasa,sio muda wa kuongelea maswala ya siasa,bali ni muda wa kutafakari na kutoa mawazo ya namna gani wagonjwa mahospitalini watahudumiwaje.Imagine zaidi ya 201 walishaaga dunia,kisa wamekosa madk, wa kuwahudumia.Leteni hoja zenye tija,tena zenye nguvu,hoja kama zenu nyepesi ziplekeni FECEBOOK,huko ndio size yenu,mnataka kuwa wakubwa kumbe bado watoto wa fikra.
 
Wacheni kiherehere ! Hapa hapana kazi za kitoto ,hii ni issue ambayo karibu mtaipata na nimejaribu kuwadokolea kidogo tu mnaanza kupapasa,huku mitaani NCCR imeanza kufuka moshi na mikakati ni mikubwa kitaifa.Chadema kaeni chonjo saa mbaya. One day Yes by Aboud Jumbe.
Imepita CUF hakuna la maana ,imeambiwa Chama cha kidini ,imefika CDM imeambiwa na inaonekana Chama Cha walokole ,sasa ni zamu ya NCCR na list ya wapiganaji kuing'oa CCM inazidi kushamiri ,we wacha tu.

pengine una umri wa miaka kumi au husomi. kabla ya cdm ilikuwa zamu ya nccr mwaka 1995. usipende kuchonga tu. no reseach no right to speak.
 
Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.
umeshinda, sasa anzisha chama chako umpe zitto uwenyekiti if you think he is more potential... achaneni na CDM; mmeikuta haikuota kama uyoga na mutakufwa muiwache ikochanja mbunga; mtaji wa maskini ni majungu;
 
Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.

Mfa maji.....
 
Hivi huyo zito ni nani?mchukueni mtuachie chama chetu.hatupo CDM kwa sababu zito yupo.la hasha.tupo kwa ajili ya kuleta mageuzi ya kweli ktk nchi yetu.kama bado NCCR mnafikiria kuhusu siasa za kuhama vyama sidhan kama mtakua mmekomaa kisiasa.ila sishangai sana kwan naona laana aliyoiacha Augustine Mrema bado inawatafuna.
 
Siku moja kuna mdau hapa jamvini aliwahi kusema kwamba, maumivu ya mgogo uzeeni ni matumizi mabaya ya makalio wakati wa ujanani, inawezekana hata mleta hii mada ana matatizo ya maumivu ya mgongo!
 
waliokutuma hawakufikiria vizuri sababu ni kwamba wewe uliyetumwa ni mtu ucye na akiri timamu.Hauwezi kutoa thread ya kijinga hivyo kwa watu ambao ni great thinkers.Kawaambie walikutuma watume mtu mwingine, wewe mawazo yako ni duni mno na kazi uliyotumwa ni ngumu sana ukilinganisha na uwezo wa akiri yako ulivyo mdogo.
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.
Kama ningekuwa wewe ningemshauri aende TLP.. Kama ni kutaka kuwa mwenyekiti wa chama 2015 atapewa...lakini siyo NCCR ya Mbatia
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.

Zitto kuondoka CDM yes unaweza ikawa sahihi kabisa; lakini kuhamia NCCR Hell No: Ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga .....
 
Kwa mara ya mwisho ulienda lini Mirembe kuchunguzwa afya ya akili zako?
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.

Hivi ina maana NCCR Magunzi hakuna watu wa kuongoza hadi kutafuta toka vyama vingine, mf. kafulila na leo tena mnamtaka na Zitto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Vipi nikija mimi mtanipokea, kwa sababu naona huko wote ni mbumbumbu hamjui kuongoza!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ndugu,Wakati fulani watu uwa wana mawazo angalau yanayofanana na kujadili mambo yanayoendana lakini wakati mwingine watu hao hao hutofautiana. Mtoa mada amemkaribisha Mh. Zitto NCCR- Mageuzi ili agombee na kuchaguliwa kuwa rais mwaka 2015.Binafsi sina tatizo na ukaribisho huo wala sina tatizo na Mh. Zitto kuwa rais kupitia NCCR-Mageuzi, wasiwasi wangu ni kwa mtoa hoja kama ameambiwa aandike alicho kiandika au amewasiliana na Mh. Zitto! Nasema haya kwa kukumbuka kwamba Mh. Zitto alishatamka kwamba yeye HANA mpango wa kuhama CHADEMA kwa sababu yoyote maana ndio waliomjenga na kuonekana kama alivyo hivi sasa.Pili, Uchaguzi mkuu ujao utafanyika mwaka 2015, wakati huo inasemekana Mh. Zitto atakuwa hajafikisha umri wa kugombea urais kama inavyotamkwa katika ibara ya 39(1) (b) ya katiba ya 1977. Siamini kama hii ni njama ya kubadilisha kipengele hicho kwasababu ya mtu katika uandikaji wa katiba mpya.Tatu, NCCR - Mageuzi ya miaka ya nyuma na ya Mrema/Marando/Lamwai si NCCR- Mageuzi ya sasa. Kumpata mgombea hata kama ni nzuri wakamuuza na kununuliwa na watanzania sio kwamba nasema haiwezekani ila si mwaka 2015 labda kama tunapoteza muda wa huo atakaye kubali.Nne, Ningependa kujua mwitikio wa huyo mlengwa maana alikwisha sema hayupo kwa ajiri wa urais, bali anaamini urais utakuja tu endapo muda utakapofika, na nafasi hii haitatokana na chama furani bali watanzania watakapomtaka awe rais wao_Ombi: Tufanye kazi kwa bidii sana na kwa kulingana na nafasi zetu tulizonazo katika jamii (tuitumikie jamii) ili siku ya siku tuvune mavuno yakuridhisha.
 
Back
Top Bottom