Zitto karibu NCCR

Acheni tabia ya kuvuta bangi wakati. Taifa hili lina matatizo mengi ya msingi mnaacha kujadili hayo mnatuletea hapa ushabiki wa vyama usio na maana yoyote. Mtuachie forum mwende mkaendeleze uchafu wenu
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.
Mkuu wangu huwezi kujenga chama ktk msingi mbovu na wala huwezi jenga chama na watu wenye kutaka madaraka...Hoja yako tayari imeshajenga hoja ndani yake inapofikia kwamba NCCR wanalenga kukiua Chadema badala ya kufikiria kuwakilisha wananchi. Vita haipo baina ya NCCR na Chadema bali mnaifanya vita kuwa ya watu jambo ambalo NCCR imekuwa ikiendesha siasa hizi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000 na ndio ulikuwa kifo chake. Msingi wenu ni mbovu na hamtaweza kuondoka hapo mlipo hadi mjenge msingi mpya wa kiutawala...Kifupi NCCR kwisheny!
 
Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.
Sioni kitu unachoongea zaidi ya kutemea watu mate.
 
chadema wanafanya kazi ya kuwajenga vijana wakiwa bado mashuleni/vyuoni ninyi mliokuwa chama kikuu cha upinzani mnataka viongozi wa kudandia tu

Taarifa:- Zitto alisema hawezi kukihama CHADEMA kwa sababu anamapenzi nacho tangu akiwa na umri wa miaka 16 na amekijenga hadi unakiona hapa kilipo

Ushauri wangu kwako kaani chini Futeni uamuzi wa kuwafukuza mlowafukuza itawasaidia kuliko hil
i
 
Wacheni kiherehere ! Hapa hapana kazi za kitoto ,hii ni issue ambayo karibu mtaipata na nimejaribu kuwadokolea kidogo tu mnaanza kupapasa,huku mitaani NCCR imeanza kufuka moshi na mikakati ni mikubwa kitaifa.Chadema kaeni chonjo saa mbaya. One day Yes by Aboud Jumbe.
Imepita CUF hakuna la maana ,imeambiwa Chama cha kidini ,imefika CDM imeambiwa na inaonekana Chama Cha walokole ,sasa ni zamu ya NCCR na list ya wapiganaji kuing'oa CCM inazidi kushamiri ,we wacha tu.

Mkuu Mwiba umetoa hewa nzito kutoka kwenye tundu la masaburi yako, unatuchefua humu.
 
Mkuu Mwiba umetoa hewa nzito kutoka kwenye tundu la masaburi yako, unatuchefua humu.
Wait and C ! kama tundu la masaburi yako linatoa hewa nyepesi au nzito ,ila ujumbe umefika ,msije kusema hamkuambiwa au hukusikia :eyebrows:
 
Huko ni kuchoka kufikiri bado mna imani na vijana,mnataka tena waende ktangalia basketball marekani,mliekuwa mnamsifia kuwa kijana kaiweka wapi nchi?
 
Hamumfahamu huyu mwiba, kwa taalofa yenu huyu jamaa ni magamba damu hapa anajalibu kutuchanganya tu.
 
:fish2: Mh.zitto achana na akina slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya nccr kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza taifa hili la tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu mwenyekiti wa nccr aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa chama.

saburi likiwasha utulie!
 
Huko ni kuchoka kufikiri,yule mlie mshabikia kuwa ni kijana 2005 kaiweka wapi nchi,zaidi ya kuifilisi mpaka kucoz migomo kwa safari zisizo na msingi,ko na huyo mnataka akaangalie basketball marekani?Piga ua mzee yeyote atakae simama ana kura yangu,siwaamini tena vijana wenzangu,maana bado akili zao ziwezi kuongoza nchi,watakumbatia tu mafisadi.
 
Angalau sasa Jamii Forums kumeanza kuwa na watu wenye kuona mbali hususana katika siasa za Tanzania. Mimi nawashangaa sana Watanzania wanaomuona SLAA kama mungu wao, wakati ana historia chafu sana katika suala zima la siasa na hata katika maisha binafsi. Hatufahamu mpaka leo kwa nini aliacha kuwa mtumishi wa mungu na kujihusisha na masuala ya siasa. Alijiunga na siasa baada ya kushindwa kura za maoni akiwa CCM kule karatu, ana tofauti gani na akia Shibuda, Mpendazoe na wengine wa aina hiyo? mbona wao hawafagiliwi hivyo kama issue ni kuhama CCM? Mpaka leo hakuna ajuae mstakabali wa ndoa yake na Rosmary Kamili baada ya kupata kimwana Josephine. Slaa ni mpaykaji sana na tena wazi wazi anakuwa anonesha kuwa ana wivu wa kutaka kulipiza visasi pale anapokosa kitu fulani. Mimi nadhani CDMA chini na MBOWE na SLAA si chochote zaidi utawala wa mabavu na majigambo majukwaani, Kukashfu na kukebehi juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo jambo ambalo kwa kweli ni chanzo cha maisha duni kwa watanzania na kwa bahati mbaya watanzania hawajalishtukia hilo. Zitto kuendelea kuwepo pale CDM ni kama kujichimbia kaburi.

Si haba unaweza ukawa na mtindio wa ubongo, kama huna basi uko njiani unakuja. . .
 
Umeshaachika kwa Mzee makamba naona sasa unamtaka Zitto,mm! Kazi ipo ulipigwa denda mpaka gari likagoma kuwaka.
 
Ebanaee hawa jamaa wa magamba wanaovaa mask ya NCCR katika kutaka kukiua CDM tumewagundua na mbinu zao za ki-intelijinsia zilizo duni.
 
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.

Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.
Unao wadhifa gani NCCR? Umetumwa na viongozi wa NCCR au umekurupuka mithili ya mtu aliyefumaniwa katika ugoni?
 
Back
Top Bottom