Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
:fish2: Mh.Zitto achana na akina Slaa na genge lake ,hao ndio wale wale ving'ang'anizi wasio penda kuachia vijana kuliongoza Taifa hili ,ukibakia hapo utafariki ukijiona.
La muhimu ni kuwa Chama kinakungojea kwa hamu kabisa na safari hii ni zamu ya NCCR kuongoza na kuunyakua uongozi wa kuliongoza Taifa hili la Tanzania kwa kishindo.
Najua wapo watakao beza rasimu hii ya kumkaribisha mheshimiwa Zitto katika mageuzi kwani si jambo la kulitegemea sana kwa upande wao ,waonavyo eti wamemzibiti ,nawambia huko ni kujidanganya.
Kuhusu Mwenyekiti wa NCCR aliepo ,tayari ameshaonyesha dalili za kustaafu au kubakia katika benchi la viongozi wazee wa Chama.