Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 744
Umeona jinsi watu walivyo na mtazamo hasi dhidi ya baahi ya watu?maana utafikiri Zitto ndiye anawakwaza au yeye ndiye anawajibika katika kila kitu ndani ya CDM,bora wajiweke wazi na waeleze tatizo lao nini dhidi ya huyu mchapakazi!
yeye tunajua mtazamo wake, wakati wale wengine still wanasisitiza swala la kukijenga chama na hii ndo strategy iliyobaki, yeye pia alitangaza kuwa uchaguzi huu mdogo wangeshinda zaidi ya nusu ya nafasi 29 hatumwoni akitoa tathmini ya matokeo haya. Bado tuhitaji kutoa elimu ya uraia