MAWAZO JUNIOR
Member
- Jul 22, 2012
- 47
- 3
kwa akili yangu ndogo ya DIPLOMA nimegundua huyu jamaa antumiwa na magamba kuivuruga CDM kwa kutumia jina la ZITTO so wana JF angalieni sana makala za huyu mtu,kama sio hela kapewa na NAPE basi inawezekana kapewa na RITZ1 baada ya kuona M4C imewazidi ujanja,hata JK alishawahi kusema waandishi wengine wanatumiwa na wanasiasa tena aliwaita MAKANJANJA na nadhan RAMADHAN SEMTAWA ni miongoni mwao coz anaandika habari nyingi in favour of MAGAMBA.