Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Now nimejua true color ya Mh Zitto kabwe lakini bado najiuliza kitu gani kiko behind zitto kabwe kutaka kuivuruga chadema. Hebu soma makala hizi za Ramadhan Semtawa
Moto wawaka Chadema, NI VITA YA KAMBI ZA MBOWE, ZITTO
Sunday, 01 May 2011 22:56
By Ramadhan Semtawa
VITA vya makundi vimezidi kuviandama vyama vikubwa vya siasa nchini, ambapo sasa hali si shwari ndani Chadema, ambako kunadaiwa kuwepo mkakati wa kumng'oa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe.
Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, anadaiwa kuponzwa na msimamo wake kupinga ununuzi wa magari mitumba yenye thamani ya Sh480 milioni ya Chadema.
Zitto Kabwe boosts CCM will never defeat him
Thursday, 09 September 2010 08:34
By Ramadhan Semtawa
Former Kigoma North MP Zitto Kabwe has vowed to retain his seat in the coming General Election despite plans by Chama Cha Mapinduzi to oust him.
Mr Kabwe made the statement after the CCM campaign manager, Mr Abdulraham Kinana, announced plans to win all constituencies that were under opposition parties in the last five years.
Mr Kinana was quoted as saying that CCM planned to win all constituencies which were under opposition parties. He said they were going to set camps in those constituencies, including Kigoma North and Moshi Urban, in a bid to dislodge outgoing MPs.
Mr Kinana was quoted to say that there was a need for the ruling party to strengthen its campaigns in some constituencies which have been dominated by opposition parties for a long time now.
But in his response Mr Kabwe said the ruling party had no power to oust him. He said Kigoma North would always remain an opposition party's constituency since voters were aware of the strength and importance of electing him.
Zitto atembea na barua ya kujiuzulu Chadema
*ASISITIZA ATAMUUNGA MKONO KAFULILA KIGOMA KUSINI
Na Ramadhan Semtawa
HALI ya kisiasa ndani ya Chadema, inazidi kuwa mbaya, baada ya Naibu Katibu Mkuu wa chama, Kabwe Zitto kuandaa barua ya kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya chama ambayo anatarajiwa kuiwakilisha wakati wowote atakaporejea nchini.
Zitto kupitia barua pepe aliyoitumia Mwananchi Jumapili, aliweka bayana msimamo wake wa kuchukizwa na siasa chafu zinazoendelea ndani ya chama hicho na kwamba, sasa yupo tayari kujivua nyadhifa zote ndani ya chama hicho ukiwamo ubunge.
"Ninayo barua ya kujiuzulu kila nafasi niliyonayo ndani ya chama ikiwamo ya ubunge, nataka kuendelea na maisha yangu," aliweka bayana Zitto. Hatua hiyo ya Zitto ambayo inazidi kukiweka chama hicho njiapanda, inakuja wakati Katibu Mkuu wa Chadema Dk Willibrod Slaa, akieleza kwamba hali ni shwari ndani ya chama hicho.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari juzi, pamoja na kutetea uamuzi wake wa kuwatimua Ofisa Habari wa chama hicho, David Kafulila na Ofisa wa Bunge, Danda Juju, Katibu Mkuu huyo alilishambulia gazeti la Mwananchi kwa madai kuwa linaishambulia Chadema kwa kuchapisha habari inayoeleza hali tete iliyopo ndani ya chama hicho. Akielezea kuhusu hatua yake hiyo, Zitto alisema: "Sitaki kugombana na mtu mimi.
Zitto Kabwe atangaza kung'atuka
Published 03/1/2007
na Ramadhan Semtawa
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametangaza kung'atuka katika wadhifa wake mwaka 2010.
Kabwe alitangaza adhima yake hiyo jana, wakati akiongea na waandishi wa habari katika Hoteli ya Greenbeach mjini Maswa mkoani Shinyanga.
Alisema amefikia uamuzi huo bila kushinikizwa na mtu yeyote na ameamua kutangaza mapema ili kutoa nafasi kwa wanaotaka kugombea nafasi hiyo, ili wajiandae.
Kabwe alisema anatamani kufanya kazi za kitaalamu, hasa zinazohusu taaluma yake baada ya kuwa mwakilishi wa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano.
"Tangu nimalize masomo yangu chuo kikuu, ni kipindi cha mwaka mmoja tu niliofanya kazi kisha nikachaguliwa kuwa mbunge, hivyo nina hamu ya kufanya kazi nyingine mbali na hii ya uwakilishi," alisema Kabwe.
Alisema uamuzi wake wa kuachana na ubunge hauhusuni na masuala ya siasa ambayo iko katika damu yake.