Zitto Kabwe: Say NO to Posho

Uhhh! Ndio walipotufikisha haya majamaa ya ccm. We no longer believe people can do things for good intentions. Everything good you do watu wanafikiri ni uchaguzi. Can we get out of the cage for a moment?

JF kwa kumbukumbu! Lema hataki!
 
Haingîi akilini hata kidogo! unachukua posho serikalini then unairudishia tena serikali hiyohiyo ambayo unapiga kelekele kuwa ina missuse fedha!
Haya,hela uliyorudisha wajanja waligawana wakaenda kujirusha,hapo umemsaidia vp mkigoma kaskazini?
 
WAKUU HABARI ZA SASA!,

Tazama hii kitu, alisema hapa achukui posho yoyote hile mpaka kwake kigoma RCC NA BARAZA LA MADIWANI, na mheshimu sana zitto ninacho muona kama atambui akuna siri ya watu wa wawili duniani isijekujilikana , siri ni yako tu ndio aitajulikana, Zitto GODBLESS J Lema
Ushahidi-+Zito.jpg
 
Mhhh sijaona sehemu ambayo Zitto kasign kuonyesha kwamba kapokea hiyo pesa cz listi inaweza kuandikwa bt pesa mtu usichukue ww leta ushahidi hapa unaonyesha sign ya zito kupokea hiyo pesa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
WAKUU HABARI ZA SASA!,

Tazama hii kitu, dogo mnafiki alisema hapa achukui posho yoyote hile mpaka kwake kigoma RCC NA BARAZA LA MADIWANI, na mheshimu sana zitto ninacho muona kama ni mnafiki atambui akuna siri ya watu wa wawili duniani isijekujilikana , siri ni yako tu ndio aitajulikana, Zitto GODBLESS J Lema
Ushahidi-+Zito.jpg

Nadhani wewe ni juha namba moja, na hujui unachokifanya. Hata kama ni chuki huwa haziwi hivyo. Hizo risiti ni kuonyesha kuwa Zitto hakuchukua posho hivyo ili irudishwe lazima ikatiwe risiti ya serikari. hata mshahara usipochukuliwa na mlipwaji lazima ukatiwe risiti ya serikali. kalagha bhaho.
 
unataka kutuambia hicho nikitabu cha risiti ni cha zitto, kwa sababu risiti inatolewa na mpokea hela na siyo mtoa hela....
 
Kwa taratibu za Serikali, risiti hizi anapewa mtu anayelipia gharama serikalini. Ni wazi hizo pesa zilitoka kwa ZZK kwenda Serikalini.

Naona lengo kuu la CHADEMA linahama toka kuitoa CCM madarakani hadi kutoa wanachama wenye mitazamo tofauti na baadhi ya wabenzi.
 
WAKUU HABARI ZA SASA!,

Tazama hii kitu, alisema hapa achukui posho yoyote hile mpaka kwake kigoma RCC NA BARAZA LA MADIWANI, na mheshimu sana zitto ninacho muona kama atambui akuna siri ya watu wa wawili duniani isijekujilikana , siri ni yako tu ndio aitajulikana, Zitto GODBLESS J Lema
Ushahidi-+Zito.jpg

Duh sipendi kama kuna unafiki wowote zitto anafanya,
ila hapa mkuu umeonesha ifinyu wa fikra kabisa ndugu yangu.

Hapo serikali ime acknowledge kupokea kiasi cha fedha kutoka kwa zito, bahati mbaya sioni vema kwa imelipwa kama nn maana hzo ni general receipt so is multi-purpose.
 
WAKUU HABARI ZA SASA!,

Tazama hii kitu, alisema hapa achukui posho yoyote hile mpaka kwake kigoma RCC NA BARAZA LA MADIWANI, na mheshimu sana zitto ninacho muona kama atambui akuna siri ya watu wa wawili duniani isijekujilikana , siri ni yako tu ndio aitajulikana, Zitto GODBLESS J Lema
Ushahidi-+Zito.jpg

Yaani katika siku ambayo wafuasi wa CHADEMA wameaibisha chama chao ni siku ya leo. Hivi kuna risiti zinazotolewa kwa malipo ya sitting Allowance? hii ni aibu ya mwaka. Nijuavyo na ndiyo utaratibu uliopo ni kuwa wajumbe wanasaini fomu ya malipo na si kupewa stakabadhi. kama kuna anayenipinga kwa hili alete ushahidi tofauti na huu ujinga wa akili za bavicha
 
Hii Nchi inakabiliwa na intellectual deficit ya hali ya juu sana yaani badala ya Wapinzani kutumia muda wao kui-attack CCM wanashambuliana wenyewe kwa wenyewe,Wasichokijua hawa wapuuzi ni kwamba wanaipa CCM opening bure ya kuwa-attack na hata kupoteza uhakika wa kufanya vizuri katika chaguzi mbalimbali zijazo.Chadema acheni huu upuuzi wenu mnakiumiza Chama!!!
 
Back
Top Bottom