Zitto Kabwe: Say NO to Posho

Terere, you are wrong. Ya would hv been the first to cast a stone at him if he had taken the money. Myopic thinking makes ya see this whole thing as "110,000 shillings returned", do ya know how many members took the money? Do ya know the total sum paid out? Wanasema ndondondo huzaa chururu. Ya show hatred towards the guy but he has just walked the talk and that is what ya r acknowledging!! Asiyeweza kushukuru kwa kidogo, hatashukuru kwa kikubwa, wanasema waswahili. Hatuhitaji kuona watu wakikataa posho za mamilioni, tunataka hizi hizi elfu kadhaa kwanza!!

For yo info, popularity in politics is the essence of the politics. No politician wins or loses without a political popularity success or failure. This has nothing to do with whether or not their ideas are popular or not, that is second!!

Do yo homework, it's not Zitto or ya who decides kama Dowans alipwe au la. Yo and/or his wishes are OPINIONS, the FACT is - DOWANS won the court case and the money will be paid!! Dont blame the fiasco on Zitto, ya just misplaced yo anger!!
 
Hivi Mbowe huwa anarudisha posho za vikao?... swali tu mkuu.

Hivi mbowe amewahi watetea dowans walipwe?......swali tu mkuu. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu wawezaje kutetea malipo ya dowans kama huna interest huko. Jaribu kufikiria billions zinazo husishwa na dowans halafu mtu anabandika hivi vielfu 50 na 60 hapa kutafuta umaarufu wa kisiasa, mbaya zaidi kuna wapambe ameshawapata hapa wanaamsifia. Zito tuambie kwanini unawatetea hawa wezi wetu walio tuibia mchana kweupe walipwe kama huna interest huko?
 
Hivi DOWANS wamekuibia nini?.... tunmetumia umeme wao kwa miezi kumi. Kwa bei rahisi na kwa uhakika kuliko Songas. Halafu hatujawalipa, kisa mkataba uliingiwa kifisadi. Kwani wsalimshikia mtu bunduki ili wasaini mkataba?
Wabunge wetu walichemka walipositisha mkatabawa DOWANS, fundi katengeneza gari lako halafu hutaki kumlipa kwa sababu hana digrii wakati gari inatembea.
Inakuja akilini hiyo? Au ushabiki tu?
 
Hukumu ya jaji wa mahakama yetu inasema kuna watu walitishiwa. Jaji aliyetoa hiyo huku na ye ni mtu, hapo unapata picha gani mkuu. Hata kama tuitalipa tupende tusipende onyesha basi uungwana hata kulaani hayo malipo sasa mtu anatetea malipo huku anatafuta umaarufu kwa wajinga kwa kurudisaha 50 na 60 tau. Tumuangalie tu na kumuacha akipata umaarufu wa kinafiki.
 
Hivi anachotafuta zk ni nini? Cheap popularity for 2015 presidential candidancy au The Tanzanian lost patriotic spirit? Nadhani ni vyote.

Uhhh! Ndio walipotufikisha haya majamaa ya ccm. We no longer believe people can do things for good intentions. Everything good you do watu wanafikiri ni uchaguzi. Can we get out of the cage for a moment?
 
Haaa! haaa! sound like a soccer fan, For Ronaldo but against Madrid under Morinho - Problem is he can't win alone!

Namfagilia sana Zitto, lakini hilo la kusema attitude of Independent thinking ndio tatizo kubwa..We all stand for what we believe lakini lazima liwe ktk msahafu. Huwezi kuwa Muislaam kama hufuati Kuran, au Mkristu kama hufuati Biblia na itakuwa vigumu zaidi kuhubiri watu wakakuamini nje ya imani wanazozifahamu hata kama uko sawa...Sana sana watakushangaa kuona mtu kama wewe huna imani na dini.

Brother Mkandara,

Simfahamu Zitto ila unataka kuniambia hana independent thinking? Kuhusu team work I definetly agree with you that he can't win alone but I am not a strong believer of group mentality. Alot of crisis arise from group mentality ambapo a bunch of conservative individuals who consider themselves elites want to create the thinking of a group (utopian mentality). Ndio maana hata kwenye dini mfano kuna extermists, conservatives, and reformists. A good leader is visionary leader who thinks beyond the group bila ya kujali jamii itamuangalia vp mradi anafanya for the good cause. That is independent thinking mkuu and I will vote for any person with that mentality na sio sisi ni hivi na wao ni vile matokeo yake tunayaona dunia nzima. I believe Zitto has that view.
 
Hivi mbowe amewahi watetea dowans walipwe?......swali tu mkuu. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu wawezaje kutetea malipo ya dowans kama huna interest huko. Jaribu kufikiria billions zinazo husishwa na dowans halafu mtu anabandika hivi vielfu 50 na 60 hapa kutafuta umaarufu wa kisiasa, mbaya zaidi kuna wapambe ameshawapata hapa wanaamsifia. Zito tuambie kwanini unawatetea hawa wezi wetu walio tuibia mchana kweupe walipwe kama huna interest huko?

Umenena vyema mkuu, huyu dogo anataka aonekane mtetezi wa wananchi lakini ni ndumilakuwili, aje hapa akanushe kama hajahongwa gari yenye thamani ya milioni 100 sio kubandika risiti za elfu 60 na 50.
 
Umenena vyema mkuu, huyu dogo anataka aonekane mtetezi wa wananchi lakini ni ndumilakuwili, aje hapa akanushe kama hajahongwa gari yenye thamani ya milioni 100 sio kubandika risiti za elfu 60 na 50.
asante mkuu mm ni cdm lkn huyu dogo simwamini
 
Haaa! haaa! sound like a soccer fan, For Ronaldo but against Madrid under Morinho - Problem is he can't win alone!

Namfagilia sana Zitto, lakini hilo la kusema attitude of Independent thinking ndio tatizo kubwa..We all stand for what we believe lakini lazima liwe ktk msahafu. Huwezi kuwa Muislaam kama hufuati Kuran, au Mkristu kama hufuati Biblia na itakuwa vigumu zaidi kuhubiri watu wakakuamini nje ya imani wanazozifahamu hata kama uko sawa...Sana sana watakushangaa kuona mtu kama wewe huna imani na dini.
Thanks bro! Nilikuwa natafuta lugha muafaka kuelezea hili.Zitto ni mzuri sana kwenye maeneo mengi ila hufikiri na kuamua independently in a wrong time and wrong place.hili la posho haina ubishi amekuwa mfano wa kukumbukwa.pengine anavyozidi kuwa mtu mzima tumtarajie kuzidi kubadilika na pengine kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki!
 
EMT,
Heshima mbele, mkuu mbona wanitisha! umeweza vipi kuzipata stakabadhi hizi..

Mkuu sio mimi niliyezipata. Mwulize Mh. Kabwe labda atakuwa anajua.

jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada

Mkuu heshima mbele. Ina maana kuanzisha thread inayomhusu Mh Kabwe ni kumuunga mkono? Kesho nitaanzisha thread inayomhusu Nape and you will be saying exactly the same thing. It is OK to use your brain.
 
I will vote for Zitto even if I am not a supporter of Chadema nor CCM.

Zitto is a politician of my calibre (liberalist) and that attitude of independent thinking and having a stand on what you believe in even if it appears to be unpopular to many of us but it is in the interest of the nation. Good one mkuu tuko pamoja.

jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada

aisee! Siasa matatizo kwelikweli!
 
Last week I attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of my job, which people elected me to do) as MP of Kigoma Kaskazini. I attended meetings at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC). In all of these meetings participants are ‘entitled’ to receive posho (sitting allowance). This is how to say NO to posho and stand by it:

say-no-to-sitting-allowance.jpg

In keeping with my stand I said NO to the posho. However, I signed for it and took it - in order then to go round the technicality of returning back the posho to the Government to show that my statement is not just rhetoric but action. We have to walk the talk. Above photo illustrates the receipt showing the payment I made back to the Government for the Road Board meeting. Let’s cut down on unnecessary expenditure and direct this money to our development budget to spur development and growth.

TUNAWEZA!

Say NO to Posho! « Zitto na Demokrasia
Mbona amekuwa akichukua kwa zaidi ya miaka mitano (5) baada ya kula ule mrabaha mnono wa Barrick na hongo za Rostam ndiyo ameona posho ndogo hazina mpango? Zitto usichuuze watu.
 
jamaa mshamba sana halafu anapenda kusifiwa na kuwa juu,muda wake utafika atatoweka kwenye ulimwengu wa siasa,anaungwa mkono na vigeugeu wenzake kama huyu aliyeleta mada

Mkuu hakuna mwanasisa asiyependa kusifiwa au sifa. Na sio wanasiasa tu binadamu wote tunapenda sifa. Sasa wengine wanatafut sifa kwa njia ya rushwa. Wengine wanatafut sifa kwa maneno tu na ahadi zisizotekelezeka.

Lakini hii sifa ya Zitto kabwe ni sifa inatakiiwa iigwe kwa vitendo na kila mwanasiasa. Sababu wabunge na vayma vya upinzani vimekuwa vizito na hawajakubalina juu ya issue hii, CCM wataibeba na kuifunika kwa kuleta muswada fulani.

Mwisho wa siku atakaye kuwa mshindi ni Ziito na CCM.
Kwenye issue hii wapinzani isipokuwa zitto wameonyesha weakness.
 
EMT,
Heshima mbele, mkuu mbona wanitisha! umeweza vipi kuzipata stakabadhi hizi..
mkandara Zitto amerejesha posho au kwa lugha nzuri ameilipa serikali. ili malipo yawe halali amepewa stakabadhi(risiti0 stahili.Ni haki haki yake azipate. usifikiri katumia umafya kuzipata. that is grr yaani govt receipt
 
Hivi haya marejesho ya posho huwa yanapelekwa wapi na kwa matumizi. Uaikute mtu unarudisha halafu zinaliwa na wachache juu kwa juu.
 
Uhhh! Ndio walipotufikisha haya majamaa ya ccm. We no longer believe people can do things for good intentions. Everything good you do watu wanafikiri ni uchaguzi. Can we get out of the cage for a moment?
Ha ha ha!Nimeipenda hii!Hata hivyo unataka kuniambaia hatataja hayo kwenye kampeni zake?Ama hamtayataja kwenye kampeni?So elewa polical adversaries wenu watatafsiri hivyo.Maybe sisi wananchi wa kawaida ndiyo sasa tutatafsiri kuwa "anatupigania" haki zetu
 
Haaa! haaa! sound like a soccer fan, For Ronaldo but against Madrid under Morinho - Problem is he can't win alone!

Namfagilia sana Zitto, lakini hilo la kusema attitude of Independent thinking ndio tatizo kubwa..We all stand for what we believe lakini lazima liwe ktk msahafu. Huwezi kuwa Muislaam kama hufuati Kuran, au Mkristu kama hufuati Biblia na itakuwa vigumu zaidi kuhubiri watu wakakuamini nje ya imani wanazozifahamu hata kama uko sawa...Sana sana watakushangaa kuona mtu kama wewe huna imani na dini.

Umeeleza vizuri, ila umeelezea nyuma mbele!
Hapa ni kwamba, zitto anafuata maandiko ya kitabu chake, whether bible ama Qur'an, Ila hafuati matendo ya wanadini wenzake. Kwani CDM wanaunga mkono kuondolewa kwa posho hizo, ila viongozi wengi wanakataa kwa maneno, si kwa vitendo!haimfanyi Zitto afanye asichikiamini kwa sababu wenzake wanafanya hivyo.
 
wabunge wote na wapokea posho wote mlio hapa jamvini mmeona kazi ya Mhe. Zitto kuiaga na kuyafanya hayo kwa vitendo ndio ujumbe wa kubadili sheria na kanuni na kuzifuta hizi posho
 
Big up to Mh. Ila Isiwe kuna mirija mingine ya kuingiza isiyo halali halafu unagomea ndogo. na wala kutafuta umaarufu. Mambo ya barrick, hammer .....
 
Back
Top Bottom