Zitto kabwe on channel ten: Mada: Je ni kweli uchumi wa tanzania unadidimia?

ila kabwe anaakili sema tu,anapojichanganya kwny siasa uchwa na kujilimbikizia mali ndiyo anaharibu.kuhusu katani ninamuunga mkona sn
 
Dah anachambua issue ya posho mpaka nataka kulia kwa jinsi tunavyoibiwa
 
Mchaka mchakani, nini kilichokufanya kukimbilia kuanzisha thread halafu huna cha ziada.

Watu kama ninyi mnaboa sana. Nikikuuliza Zitto kaongea na kaongelea nini sijui kama unaweza kutueleza vizuri.
 
Jamaha yupo vizuri upstairs,ila undumila kuwili wake ndio unamuua taratibu!ajirekebishe
 
Zito anaweza kulaumiwa, lakini mazingira ya bongo ya sasa ukijifanya mzalendo sana utaumbuka! Kuna waziri mmoja wa serikali ya Nyerere yuko choka hadi inatia hasira. Anatembelea ndala na sometimes anaingia hotelini na kunywa chai na harf-cake moja.
 
Kwani huyo waziri alikua halipwi haki kwa maana ya mshahara mkuu?
 
Zito anaweza kulaumiwa, lakini mazingira ya bongo ya sasa ukijifanya mzalendo sana utaumbuka! Kuna waziri mmoja wa serikali ya Nyerere yuko choka hadi inatia hasira. Anatembelea ndala na sometimes anaingia hotelini na kunywa chai na harf-cake moja.

waziri gani? lete jina tukuchambulie matokeo ya hali aliyonayo......
 
Dah anachambua issue ya posho mpaka nataka kulia kwa jinsi tunavyoibiwa

kijana kaiva jamani.tungepata angalau vijana kma hawa ndani ya serikali wakasimamia wanachokiamini na kukishawishi kwa nguvu xote hakika tungefika mbali.
 
Back
Top Bottom