WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,587
- 2,444
Baada ya Hussein Bashe kusema ni watu waliofeli, Zitto Kabwe nae amesema nusu ya walimu hawafanyi kazi na ndio 'watumishi hewa haswa'
Ameongezea pia utafiti uliofanyika na Benki ya Dunia na REPOA ukitembelea ghafla kwenye shule za umma utakuta walimu hawapo shuleni
Mimi ni mwalimu....na katika hili wala hakuna ubishi...
walimu wengi hasa wa mijini ni wajasiliamali hawakai mashuleni....hawafundishi....hiyo ni kweli tupu
mijini pamejaa walimu wanawake ambao ni wake za wa kubwa...hawafundishi na wengi Wao hawana uwezo kitaaluma....
Zito amesema kweli na hakuna ubishi katika hili