Ninawadharau watu Humu ndani ambao mnajidai mnaipenda sana chadema kuliko zitto , wengi wenu ni wanafiki tu kuanzia kina Heche na vijana mnaotokwa povu Muda wote, zitto ndio kijana aliyefanya chadema ikapendwa na vijana wasomi kipindi ambacho chama kina rudhuku ndogo, yeye na wenzake wachache wametumia pesa Yao ya mfukoni kuzunguka Huku na huko hadi chama Leo kimesimama ndio unaona hao kina Heche, Mrema na wenzao wasiokuwa na kazi wanasafiria nyota ya chadema kuimarika, embu ondoa posho za safari na chakula uone Kama Heche na Kigaila wataenda Minoani.
msifanye ushabiki wa bila haja, embu niambieni ni wabunge wapi wa viti maalumu wa CDMA toka Bunge lililopita Mano, grace kiwelu, owenya na Suzan Lyimo, na kale kabinti kigoma ambao Unaweza sema wamekisaidia chama zaidi ya kuwa Kama viti maalumu ccm kushindana mavazi na kusafiri nje ya NChi.
namalizia kwa kusema vijana Humu JF baadhi ni mbumbumbu mnaendeshwa kwa hisia za ushabiki bila haja, maw acheni zitto afanye kazi ya siasa ndani ya chadema Kama wana chama watamwamini Wakati wa mkutano mkuu na kumpendekeza kuwa mgombea atagombea tu, msijidai chadema ni Mali yenu na man hati Miliki nayo, wengine mmejiunga Leo kwa tamaa za ubunge shame on you bastards.