Zitto Kabwe ndani ya Karatu

:smash: Tupeni hotuba ya kamanda Zitto huko karatu...wekeni ushabiki kando tupeni hoja za msingi.!
 
Mag3, ruttashobolwa, Shardcole KOMBAJR, Adoya, Nicholas, Ukwaju, Zaha, Mungi, Crashwise Molemo,

Zitto Kabwe

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.

:violin:

sijui unataka sema nini hadi u mention us?Kwenye red ndio Zitto anaanza rudi on his sense.
 
watu walisema zito hafanyi kazi sasa ameanza kufanya kazi mnamkejeli kwani aliyetangaza nia ni yeye 2 au dini yake ndo mnaichukia cdm wenzangu bana

Wanashtuka na kumuona kama kichaa anayeingia petrol station na petrol....thats all.Yaani yeye kuchezea kete ya "udini na ukanda" ni irreversible action.Responsible guys never do this kind of Joke in serious fields.
 
kWA ALEYEKUWAMA NDANI YA M4C NA AKAKUBALI MAUFDHUI YAKE NA MWAMINIFU KWA CHAMA CHAKE CDM.

KWA HALI YEYOTE ILE MANENO YANAYOTAMKWA KUFUATIA ZIARA YA KIONGOZI WETU KULE KARATU NI FEDHEHA KWA WALE TUNAOMUHESHIMU NA VILE VILE UTHIBITISHO WA HOFU KWA BAADHI YA WENZETU WENYE MALENGHO TOFAUTI NA VUGUVUGU.

TUWE PAMOJA IWE KARATU,KIGOMA,MOROGORO IRINGA MBEYA ............
 
Naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, LAKINI karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
Namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.
Nami nakubaliana na wewe mkuu,ila kwa kuongezea chama kiongeze nguvu hii kanda ya kati(Dodoma n Singida) kwani kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi 2010,kuna mwamko kiasi wa wananchi hasa majimbo ya Manyoni (yote),Singida Magharibi,(ingawa mgombea wetu alihongwa na kujitoa),majimbo ya Iramba yote, kwa Dodoma naamini nguvu ya wasomi iliyopo pale ikiunganishwa na kuratibiwa vizuri,kanda ya KATI,itakuwa imekombolewa toka katika makucha ya Magamba
 
Nimeona mkuu inasikitisha kwamba hatujadili hoja bali tunafanya ushabiki kitu ambacho hakijengi.
Ukitaka kujuwa hawana nia ya kujadili na ni kama wametumwa,tizama kauli za wenye kusapoti hii thread kuhusiana na mkutano huo.Ni matusi,udini,ukanda na uchafu mwingine ambao hauna nafasi ya kujadiliwa hapa kwenye jukwaa hili.Sasa badala ya kutuwekea hotuba,wanataka tujadili kitu gani?Chunguza tu utajuwa,na wamejipanga kweli kweli...

Sasa tutawajibu kitu gani mkuu?Ndo maana tukawaomba walete hotuba,hawaleti.Thread inahusu mkutano wa Karatu,wao wanzungumzia mengine,hapo ndo utajuwa nia yao.Inasikitisha sana.
 
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh:Zitto Zuberi Kabwe (CHADEMA)muda huu ameshaingia Wilaya ya Karatu tayari kwa Mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na Kesho atafanya Mkutano Mkubwa KARATU mjini.

Mikutano ya Leo anaifanya kata ya ENDAMARARIEK ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama. Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya Kigoma,Jana alikuwa mwanza akalala Dar es salaam na Asubuhi ya leo amesafiri kuelekea KARATU kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.

WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI MKUTANO MKUBWA SIKU YA KESHO UTAKAO FANYIKA KARATU MJINI
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
PEOPLE'S POWER

duh, duh , SIJUI NAOTA maana nnavyo mfahamu nnategemea kesho ATA SINGIZIA anadharura , kumbe YUPO TWITTER!!
 
Back
Top Bottom