Zitto Kabwe ndani ya Karatu

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579

Naibu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh:Zitto Zuberi Kabwe (CHADEMA)muda huu ameshaingia Wilaya ya Karatu tayari kwa Mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na Kesho atafanya Mkutano Mkubwa KARATU mjini.

Mikutano ya Leo anaifanya kata ya ENDAMARARIEK ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama. Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya Kigoma,Jana alikuwa mwanza akalala Dar es salaam na Asubuhi ya leo amesafiri kuelekea KARATU kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.

WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI MKUTANO MKUBWA SIKU YA KESHO UTAKAO FANYIKA KARATU MJINI
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
PEOPLE'S POWER

ZZK at Karatu
380097_477385475615488_686482092_n.jpg

399583_477385642282138_137963710_n.jpg
 
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.
 
Akiropoka uraisi hapo karatu............ PLEASE NAOMBA KICHAPO CHA UHAKIKA; WAIRAQ NAWAAMINIA, HUYU MTU ANATAFUTA MANENO M4C INARATIBA YAKE KARATU ANATAFUTA NINI? ..............ATAJIFANYA ANAFAFANUA KAULI YAKE NAKUANZA KUMSIFIA SLAA....
 
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.

Molemo naona ushatokwa povu,
Punguza presha maana rais ajae zitto kawadhamiria kwelikweli dah!mpaka karatu,
Kweli zitto ni namba ingine.
Zuieni basi asifanye mkutano kama mna uwezo!
Maana si ndio kazi yenu.
Tunajua mnajificha m4c kwakuwa hamna uwezo wakusimama nae jukwaa moja.
Mtaipata nawaambia,kibarua chako kiko hatarini kuwadi wa uzandiki!
Kama nia ameshatangaza atangaze mala ngapi?
Pigeni simu wamfukuze kama mnaweza.
Hahahaaa!pole mbeba mabegi !
 
Akiropoka uraisi hapo karatu............ PLEASE NAOMBA KICHAPO CHA UHAKIKA; WAIRAQ NAWAAMINIA, HUYU MTU ANATAFUTA MANENO M4C INARATIBA YAKE KARATU ANATAFUTA NINI? ..............ATAJIFANYA ANAFAFANUA KAULI YAKE NAKUANZA KUMSIFIA SLAA....

We mwehu nini,tushakwambia m4c maana yake ni movement for chaggaz ,sasa zitto na m4c wapi na wapi?
Kati ya hiyo m4c yenu mnayoiabudu na zitto nani kamkuta mwenzie kwenye harakati?
M4c ni mradi wa wachagga kuwaibia watanzania na ndio maama lema alikimbia na hela za m4c.
Poor you!
Muache rais wa nchi ajae afanye kazi!
 
Akiropoka uraisi hapo karatu............ PLEASE NAOMBA KICHAPO CHA UHAKIKA; WAIRAQ NAWAAMINIA, HUYU MTU ANATAFUTA MANENO M4C INARATIBA YAKE KARATU ANATAFUTA NINI? ..............ATAJIFANYA ANAFAFANUA KAULI YAKE NAKUANZA KUMSIFIA SLAA....

Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
 
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.

Hahahaa!molemo kuna siku hamjamfatilia?
Eti intelijensia?mna inteligensia ?
Hahahaa!wadanganyeni hao hao!
Mshumbusi au?
Nenda hata wewe mbona wewe ni mnafiki sana na kuwadi wa uzandiki si uwahi uende.
Sasa bado subili picha jioni utakimbia wewe.
 
Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.

Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ??
 
Good ZZK. Naamini si issue ya urais imekupeleka Karatu!!! Ni kuimarisha Chama na kuwaonesha pro SSM kuwa CDM SI chama cha ukanda, udini, uchagga!!! Hata wa magharibi wanakaribishwa kwa kishindo kaskazini. Tu wamoja. Haya mambo ya mgawo wa watanzania kimakundi tumeyapata SSM kwa kuwa hata wao wamegawanyika kikambi!! Udhaifu wao wanataka kuusambaza nchi nzima. Hatutaki. Lazima SSM iondoke ili tuunde nchi upya na Azimio la Arusha lirudi ili tufute Azimio la Zanzibar.
 
Mbona unakuwa mtoto wewe. Huo ukabila utawaua nyie.Mmemaliza ujinga wenu wa mabeberu na mengine sasa mnawahofia wachaga.Kila muowaobapo kichaa kinawaamka.Rais wenu kasema hawatashika nchi, na wewe pia unabwabwaja huo ujinga.Soon Mtakosa pa kujishikia .Hii ni ishara tosha kuwa mnajua wachaga wakiingia katika wavivu kama nyie hamtasalimika.

We wenzako wameanzisha movemnet na kuipa jina wewe unaleta habari za shehe yahaya za kujumlisha herufi.Na kujitafutia majina kwa staili ya kishirikina.

pole pole najua amekugusa kunako mapenzi yako yalipo...Lakini ndio ukweli
 
Naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, LAKINI karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
Namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.
 
Hahahaa!molemo kuna siku hamjamfatilia?
Eti intelijensia?mna inteligensia ?
Hahahaa!wadanganyeni hao hao!
Mshumbusi au?
Nenda hata wewe mbona wewe ni mnafiki sana na kuwadi wa uzandiki si uwahi uende.
Sasa bado subili picha jioni utakimbia wewe.

Debora una maneno!!!
 
Back
Top Bottom