Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Ngoja tuone baada ya safari ajiunge na makamanda wenzie!
 
Walikuwepo wote kutoa heshima kwa marehemu aliye wagomea IMF na WB! shida? wako wote kwenye picha moja? Au Jay Kay ni mmarekani na Zitto Mtanzania? ... Shida iko wapi?
 
Kaahidiwa kuwa wazir wa mambo ya nje 2015 na Dr Slaa!thus shusha punzi.
 
my god!.. Sasa itakuwaje!.. Niko dodoma naswaga ng'ombe kibao kwa ajili ya mahari na mijihela ya posa!.. Leo una mruka?!!!!.. Makubaliano ya wiki iliyopita yameyeyuka?!

mkuu tenende, tunapojadili nchi acha utani plz.
 
zitto role model wake keshasema ni zenawi meles r.i.p, sioni cha ajabu hapo wapo msibani..
Hilo la kusema kaenda kwasababu ni role model wake sasa ni utoto.Nchi ndo imewakilishwa kwenye msiba na hajaenda kwasababu tu yeye ni Zitto na aliyefariki ni role model wake.Hayo ni mawazo mfu.
 
Ni mawazo yangu kuwa mh.zitto yuko right. Nasema hivyo kwa kuwa mwakilishi wa cdm kwenda nje ni rachel mashishanga na kama amemuomba amwakilishe hamna taabu. If i am wrong then i'm sorry. Ila zitto ni nchi kwanza, chama nyuma. Utaifa zaidi. M4c up
 
Sijapitia comments zote mi nadhani Zitto anawakilisha chama CDM na ana baraka za chama
 
hata msiba wa ccm, Chadema watakwenda. Siasa siyo vita. Kama Zitto ni Msalti, anaweza kusalti hata kama hatakwenda na JK.
 
Muhimu ni kujua nafasi ya yeye M h Zitto kwenda huko kaipataje? ni miongoni mwa entourage ya RAIS? Kama jibu ni ndio je kaipata kwa kufuata taratibu?kama kafuata taratibu basi asilaumiwe walau kwa hili, kama kaenda kibinafsi alitakiwa kuaga kwa viongozi wake vinginevyo hajitakii mema kisiasa.
 
Zitto ni disaster na ninashangaa watu ambao mnatoa povu kumtetea huyu gaidi wa ukombozi, huyo jamaa ni puppet leader, mfatilieni kwa makini mambo yake ndio mtagundua, huyu jamaa kama aliweza kumpigia kampeni Jk badala ya Dr.slaa 2010, je anashindwa nn kukisaliti chama? THINK BIG magreat thinkers huyu jamaaa hafai na sisi hatutacha kumchana live hata siku 1.

akili yako sio nzuri nyie ndo mnafanya kuwa upinzani ni kukataa m4c slaa peke yake na vijana wanatosha....chuki zenu kwa zito mli-zo pewa na magamba zinaweza vuruga ndoto ya kiushika dola
 
Ni kweli kwamba alimpigia kampeni JK badala ya Slaa ama ni uzushi tu?
 
Back
Top Bottom