Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Huyu bwana anamatukio mengi yenye ukakasi kuhusu cdm, 2010 aliahidi kumpigia kampeni kafulila ambaye alikuwa amekihama chama ktk jimbo ambalo cdm walikuwa na mgombea pia.
Lakini kwa kuwa tunamjua, tukae naye kwa tahadhari asije leta madhara. huu ukaribu wake na m/kiti wa ccm sio bure
 
Hilo la kusema kaenda kwasababu ni role model wake sasa ni utoto.Nchi ndo imewakilishwa kwenye msiba na hajaenda kwasababu tu yeye ni Zitto na aliyefariki ni role model wake.Hayo ni mawazo mfu.

kwa hio kumbe kaenda kuiwakilisha nchi...sawa nakubal i ilo la ro;e model ni la ziada tu...so whats
all the bickering about
 
Zitto anaeleweka. Ni opportunist kwa hiyo ni mtu wa kumchunga sana asije vuruga chama. Tuwe macho naye.
WAKUU!

Hapa hoja yangu sio vita au uadui. Nimejiuliza kwamba, iweje aweze kuitikia wito wa Magogoni kwa haraka na bila mawasiliano kukatika na kuungana na Mkulu, lakini kwenye la M4C mawasiliano yalikatika na hatukumuona kabisa licha ya kuahidi kuhudhuria kama tulivyo taarifiwa?
 
Back
Top Bottom