john cheyo mzee wa mapesa, kwenye chama yuko peke yake, kisha huyu mzee kweli mchumia tumbo pia yeye mwenyewe ana kamati anasimamia, kwenye kulalamika wa kwanza kwenye kuwawajibisha anao walalamikia kaingia mitini, minadhani wakirudi tena bungeni hii oparation uwajibikaji ya mh' kabwe pia imuangazie yaani imulike mpaka yeye mwenyewe ili awajibishwe, kwani huwezi kuwa unalalamika tu unapopewa nafasi ya kumuwajibisha unaemlalamikia unakimbia huu si uungwana kabisa nawasilisha.