Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

Status
Not open for further replies.
"mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni" zitto ana uwezo mkubwa sanawa kujenga hoja zenye mashiko na zinazosimamia katika tafiti na vielelezo halisi. katika hili tusiwe wanafiki kwa kutompa mtu kitu anachostahili.
namkubali zitto lakini usisahau waasisi wa kuiwajibisha serikali walikuwa ni Lissu na Mdee,Zitto aliteka hoja, kama umesoma hesabu ni kwamba mdee na lissu ndio walioderive formula Zitto akakimbilia kwenye jibu
 
Namkubali sana Zitto Kabwe kwa ushupavu wake wa kusimamia hoja, nampongeza pia Deo Filikunjombe na wana CCM wengine walioona mbali zaidi ya chama na kuweka maslahi ya Taifa mbele. Naamini wapo wabunge wengi wa CCM walioamua kutotia sahihi zao kwenye list ya Zitto lakini waliiunga hoja mkono kwa namna nyinginezo.

Sisi kama vijana tutambue kuwa Taifa Kwanza, na kwenye mijadala kama hii lazima tuwe pamoja bila kujali itikadi za vyama.
 
A great Thinker... chezea Zitto wewe ! ndio maana Chadema kama hawamuamini amin vile...hivi ni nani anaweza kujitolea kama vile bila uoga na nchi hii ilojaa kila aina ya ufisadi ! lazima kutakuwa na kitu hapa na no wonder hata Nkono amesign !
Du kali sana nani chezea Zitto? Veve yeye najua Gudbles achia ubunge Arusha, yeye hapana toka venzie toka ndani ya Bunge hapana tambua Rais, yeye najua magodi yote ya almas na gold ya nani
Hii ndo Bunge bana ya Kigoma tena apana jua kaa Manyema au Muha cii tom-pa ye hata km toka chama au ingia kokote maana yy jua kula na @ kila m2 hata Rais najua yy
 
mkuu naanza kuwa na wasiwasi na uelewa wako , wenye phd wanashindwa kujenga hoja kama hata waliomaliza darasa la saba sasa hiyo cv unayotaka inauhusiano gani na uwezo wa mbunge aliethibitishia umma uwezo usiotia shaka kama mnyika and the likes

unadhani sababu ipi iliyowafanya chadema wamfiche mgombea mwenza wa slaa kipindi kile cha kampeni za uachaguzi wa rais ambae alitarajiwa kuwa makamu wetu wa rais kama slaa angeshinda uchaguzi mkuu uliopita???
 
unadhani sababu ipi iliyowafanya chadema wamfiche mgombea mwenza wa slaa kipindi kile cha kampeni za uachaguzi wa rais ambae alitarajiwa kuwa makamu wetu wa rais kama slaa angeshinda uchaguzi mkuu uliopita???

Mkuu tunaongelea swala la Mnyika,mgombea mwenza anatokea wapi,nimekuweka kwenye kundi la wasio na uelewa kuanzia leo
 
kijana au mdogo wangu zitto ukweli ameosha siyo kwa kuosha kuwa aonekane kwa watu ira ukweli katika histol
ya tz huyu ameonekana kama nyerere vile , tunataka wazalendo wa namna hii rakini hii ni kwasababu ya chama
safi CHANDEMA HOOOYOOO
 
Mkuu raha ya mbio ni kumalizia sio kuanza,hivi mwanasiasa gani asiyetaka sifa ya kuiangusha serikali ya mpinzani wake mpaka aanzishe hoja aishie njiani mwenzake ndio aidake na kuipatia sifa?basi huyo sio mwanasiasa

Una hasira na lissu kwa sababu amekubwaga singida,fuatilia hesabu hii hapa *lissu+zitto=peoples power*Upo hapoooo?
 
Mkuu tunaongelea swala la Mnyika,mgombea mwenza anatokea wapi,nimekuweka kwenye kundi la wasio na uelewa kuanzia leo

hapana suala la msingi ni elimu ndio limetufikisha hapa mkuu,mnyika amejikuta mhanga tu wa kutokana na elimu yake ndio mana uliposema elimu si hoja na mimi nikakuuliza hilo swali la mgombea mwenza,unaweza kunijibu now?
 
Hata mie naona ukungu mzito kwenye uhusiano huu wa karibu wa ZZK na JK,maana kama ni uchafu sio mawaziri tu,bali hata yeye jk ni mchafu sana wa Richmond,EPA nk.
na ndiyo maana aliwaambia wakome kumsingizia au kumhusisha Rais katika wizi wao. I get the point. Na ninahisi Rais anapigia chapuo Rais kijana ajae kwa Maana ya Zitto ili aje amlinde na madudu yake. Sidhani kama atafanikiwa kwa hili. Watu wako macho sana siku hizi.
 
Mkuu raha ya mbio ni kumalizia sio kuanza,hivi mwanasiasa gani asiyetaka sifa ya kuiangusha serikali ya mpinzani wake mpaka aanzishe hoja aishie njiani mwenzake ndio aidake na kuipatia sifa?basi huyo sio mwanasiasa

Lissu angewezaje kuja kuisimamia hoja hii wakati alitingwa na kesi mliyoifungua kumpotezea muda.CDM wote ni majembe tu ila kila m2 na nafasi yake ya kuisimamia bungeni
 
hapana suala la msingi ni elimu ndio limetufikisha hapa mkuu,mnyika amejikuta mhanga tu wa kutokana na elimu yake ndio mana uliposema elimu si hoja na mimi nikakuuliza hilo swali la mgombea mwenza,unaweza kunijibu now?
Mgombea mwenza alikuwa na tatizo ganai haswa mkuu
 
Zitto anastahili pongezi katika hili. Kwa kweli anajitahidi sana Bungeni ila kwasababu mvuto wake umeisha hata afanye vipi watu humu ndani watambeza tu. Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Zitto ni mzuri sana ila he is too ambitious, kimsingi Mnyika ni mzuri kuliko Zitto, hata mmpambanaji wetu Filikunjombe ni mzuri zaidi ya Zitto .Zitto aache kufanya kazi na magazeti kwanza ili aweze kuwekwa kwenye kundi la wabunge mahiri kabisa kwenye bunge letu

Huwezi mfananisha Zitto Na Filikunjombe hata kidogo.... Zitto is to far, yuko juu. Filikunjombe Ana nini? Kafanya nini Bungeni mbona sina kumbukumbu.
 
tatizo la mnyika ni elimu yake ndogo ndio inamcost....

Hapo ndo sikubaliani Na wewe. Mnyika hata kaa Hana degree ya gamba I mean certificate, ni mzuri ajabu, he is doing great there Bungeni tuache ujinga Na mawivu.
 
Unajua JK na Zitto ninmarafiki??? Nahsi aliyumwa na. Rais ili iwe mbinu ya kubadili baraza!!!!!!!

kama Rais wetu anatumia mlango wa nyuma kuvunja baraza la mawaziri basi hatufai Tunahitaji Rais mwenye mamlaka sio wa aina hii.

Mhe Zito amekuwa Championi kwenye vikao vyote vya Bunge alivyo hudhuria anza na Kasheshe la Buzwagi, angalia Jah hero, miongozo anayo omba kwa spika anavyojenga hoja . Ni mbunge wa watanzania
 
Mheshimiwa Zito ana mvuto mkubwa kuliko CHADEMA; Hongera kwa kuikibeba chama chenu!
 
Huo ukweli unawakera sana Chadema na CCM lakini ndo ukweli,Kigoma Kaskazini ndo wametuleta mbunge bora zaidi!! Hivi mbunge wa Karatu,mbulu chadema wanatofauti gan na wabunge wa CCM?!
 
Zitto amefanya vizuri kwa nafasi yake. Hoja yakumsifu mtu kwa kuonyesha obora wake zaid ya wengine ni utoto. Inatosha kuonyesha kufurahishwa na kazi aliyoifanya, sifa ndio zinazopelekea kuharibika kwa mambo!

Ukimsifia mgema....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom