Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

Jamani zitto ametangaza nia ya kuomba nafasi ya ukuu wa upinzani bungeni
misimamo yake hasa wakati ule wa Dowans inanipa mashaka
Chenge katangaza nia ya kuwania kogoda cha spika mimi nadhani saizi ya Chenge ni Tundu Lisu

Tundu ni mwanasheria na ana msimamo thabiti.... Kiti cha ukuu wa kambi ya upinzani bungeni ikienda kwa Zitto ni kama kazi tuliyoifanya itakuwa kazi bure... haeleweki yule mtu jamani.... My Choice is either Lissu or Mbowe
 
Zitto nae ni CCM, mtu gani ana mali nyingi katika muda mfupi alionza siasa, haswa baada ya kuwa kwenye kamati ya kufuatilia mikataba ya madini bungeni! I smell a rat in him.
 
kwa kweli hao wanaojaribu kujenga hoja za udini ni walemavu wa fikra , wanaposema zitto anapingwa kwa ajili ya udini wake ina maana chadema wanaendesha ibada hivyo kuna wakati wa ibada ya kikristu na waislam tusikubali kuingizwa kujadili udini ambao haupo zitto hafai mara nyingi huwa namfananisha na limbukeni , kama aliweza kuingia kwenye kamati ya madini akabadilika msimao akiwa kiongozi wa upinzani si ndio atahubiri mashairi ya makamba bungeni bora hata Lyatonga tujue kabisa ni mtu aliyeomba wapiga kura nafasi ya kufia bungeni ili azikwe kwa he.
tujadili kiongozi wa upinzani tukielewa kuwa chombo hicho ndicho chenye kupanga na kusimamia mustakabali wa Taifa hivyo kiongozi wake awe ni mtu msikivu asiyekimbilia maamuzi wala mbinafsi kama zitto ambaye bado anafikiria kujiimarisha kuwa karibu na ikulu ya ccm:nono:
 
Jamani zitto ametangaza nia ya kuomba nafasi ya ukuu wa upinzani bungeni
misimamo yake hasa wakati ule wa Dowans inanipa mashaka
Chenge katangaza nia ya kuwania kogoda cha spika mimi nadhani saizi ya Chenge ni Tundu Lisu

Tundu ni mwanasheria na ana msimamo thabiti.... Kiti cha ukuu wa kambi ya upinzani bungeni ikienda kwa Zitto ni kama kazi tuliyoifanya itakuwa kazi bure... haeleweki yule mtu jamani.... My Choice is either Lissu or Mbowe
Huyo ndo kabisaaa... umesahau uchaguzi uliopita 2000, walikubaliana wakatae matokeo na wasiende kwenye sherehe za kuapishwa rais ye ndo alikuwa wa kwanza kwenda!! Inasemekana na safari walikubaliana na Profesa vivyo-hivyo, nae profesa akajua wanaweza kwenda tena hawa yeye ndio akaonekana wa ovyo!!! ndio maana Dkt hakuoneka kama ilivyokuwa kwa Pro wakati ule. kisa ni huyo bwana simtaji :smile-big:
 
Mkandara habari za masiku mkuu
Nakubaliana na wazo lako kwamba sasa wapinzani wana namba kubwa Bungeni wapeleke hoja za kusaidia baadaye kama hii ya Mgombea urais akishindwa basi aingie Bungeni moja kwa moja badala ya kuachwa nje kama ilivyo sasa .

Zitto na uongozi Bungeni wengi wamesema mengi na yeye Zitto ni kijna wetu msikivu Mbunge wetu anasoma na naamini hataacha kuona lifaalo.

Hongera Zitto uliingia Musoma kumsaidia Nyerere kwenye kampeni umeacha historia kubwa na ulifanya hivyo kwa kuwa wewe Chadema unayo kuanzia una miaka 16 kama sijakosea na ukaacha jimbo lako .Ulifika Pwani kama sijakosea ulifanya makubwa ila CCM walipora ushindi kwa lazima .
 
Zitto nae ni CCM, mtu gani ana mali nyingi katika muda mfupi alionza siasa, haswa baada ya kuwa kwenye kamati ya kufuatilia mikataba ya madini bungeni! I smell a rat in him.

You are right huyo inaelekea kashachakachuliwa na mafisadi yaaani siku hizi yupo yupo tu. Yes it is true everybody has a price.
 
Zitto nae ni CCM, mtu gani ana mali nyingi katika muda mfupi alionza siasa, haswa baada ya kuwa kwenye kamati ya kufuatilia mikataba ya madini bungeni! I smell a rat in him.
eti i smell rat in him, you are the rat you smell

Sielewi kwanini mtu kuwa tajiri ni makosa, all you had to ask is how did he get the money!!

we have lots of craps in JF and surely you lead the path
 
Jamani zitto ametangaza nia ya kuomba nafasi ya ukuu wa upinzani bungeni
misimamo yake hasa wakati ule wa Dowans inanipa mashaka
Chenge katangaza nia ya kuwania kogoda cha spika mimi nadhani saizi ya Chenge ni Tundu Lisu

Tundu ni mwanasheria na ana msimamo thabiti.... Kiti cha ukuu wa kambi ya upinzani bungeni ikienda kwa Zitto ni kama kazi tuliyoifanya itakuwa kazi bure... haeleweki yule mtu jamani.... My Choice is either Lissu or Mbowe
Huyo Zitto haeleweki kwa nani? Inawezekana wewe ndio humuelewi unataka kuaminisha watu wote wasimuelewe. Nadhani asingeeleweka kule alikoenda kukampeni au jimboni mwake angalau tungepata pa kuanzia. Hakuna mtu anayepiga juu ya uwezo wa Tundu, je uzoefu wake bungeni uko vipi?
 
unfortunately Komba is not from opposition camp dude.
agreed, but the core look at him as cocky as an opposition member

BTW, sikuwahi kukupa hongera ya ushindi... congrats bro... you made it ingawa ni kwa mbonde but you did it, tuombe uzima tupambane tena 2015
 
Zitto nae ni CCM, mtu gani ana mali nyingi katika muda mfupi alionza siasa, haswa baada ya kuwa kwenye kamati ya kufuatilia mikataba ya madini bungeni! I smell a rat in him.
Huu ndio uzushi. Mtu akiwa na mali ni tatizo? Hebu sema alifanya ufisadi gani kupata hizo mali? Halafu unasema Zitto ni CCM, mbona hatukumuona kwenye kampeni za CCM? Hiyo story ya madini mbona unaanzia katikati? Anzia mwanzoni kwamba alifungiwa na Bunge kisa ni kutetea masuala ya madini...........................
 
Huyo Zitto haeleweki kwa nani? Inawezekana wewe ndio humuelewi unataka kuaminisha watu wote wasimuelewe. Nadhani asingeeleweka kule alikoenda kukampeni au jimboni mwake angalau tungepata pa kuanzia. Hakuna mtu anayepiga juu ya uwezo wa Tundu, je uzoefu wake bungeni uko vipi?
Miuu... tupa kule huyo reyes

Wamemaliza uchaguzi, sasa wameanza poking and picking, for now zitto aliwachoma sana kigoma, maana yote ilienda upinzani hadi yule "shoga yetu" alichakachua pale mjini

Lazima wakilala watoe ka-specimen wakimuwaza zitto
 
Tathmini za JF ni za kushangaza saana. Ngoja tumwache aendelee kumwaga sumu. Anadhani anasaidia CHAMA.
 
Back
Top Bottom