Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

Nimesoma kwa makini michango ya wachangiaji hapa na nimegundua yafuatayo:

Zitto anachukiwa na wengine kwa sababu ya dini yake

zitto alionekana sehemu mbali mbali na hata ushahidi umo humu kwenye jf akiwanadi wagombea wengine mbali na jimbo lake wakati hata mbowe hajafanya kama alivyofanya zitto katika hilo

kisingizio cha ukomavu ukilinganisha na mbowe au lissu ni doughtful

kua na msimamo wa kibanafsi ati ni kasoro ? Mbona chadema mnawakosoa viongozi wa ccm kua wanasimama na chama chao hata kikiwa kwenye makosa na inapotokea wachache wakitoka na msimamo wao mnawapongeza na wakifukuzwa au kuacha chama mnawapokea likitokea kwenu hua si demokrasia bali ujuaji SASA NYINYI NI KIPI MNACHOKIAMINI ? MNATAKA ZITTO AWE HEWALA BWANA ? KUGOMBEA KWANI AKVUNJA KANUNI GANI ? JEE KATIBA YA CHAMA INASEMA MWENYEKITI AKIGOMBEA WENGINE WASIGOMBEE ?

nnaamini zitto anajua sumu hiyo ya umajimbo na udini iliopo ila niliwahi kumsikia akisema kua yeye aliamua kujiunga chadema ikiwa ni first choice yake hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema na hategemei kujiunga chama chengine tofauti na hao wengine ambao kwanza walikua kwengine na walipangana na vyama vyAo kwa mujibu wa hapa ni wasaliti na sasa wamekuja huku kufuata maslahi

nakumbuka pia zitto alikusudia kuacha siasa baada ya kugundua hilo, yeye ni mtu wa msimamo na alitueleza kua yeye angependa awe muHADHiri na wala hana mpango wa kwenda ccm

nilichofahamu ndani ya kauli zake zile kua ameelewa nn kinaendelea ndani ya chadema kwa hio alitaka kuwaachia chadema na hao viongozi wanafiki na wenye kuendeleza udini

naamini zitto ana mapungufu yake ila wengi wanamuhukumu kwa mambo mawili udini na sehemu alyotokea

ila wajue kamba pekee ambayo inawalinda chadema na kuitumia kujisafishia japo haiwatoshi ni zitto na hili kidogo wanaweza kusema zitto muislam na tunaye zitto si wa kaskazini na tunae na yeye anajua kua ktk hili anafaa sana ila baada ya hapo anapigwa vita na kufitiniwa

na nna wasi wasi kua chadema hawawezi kuongoza upinzani na hata nchi na hapo ndio wamefika kwenye peak tusubiri anguko lao
 
Mkuu wangu unatisha!
 
Zitto is Arrogant = Nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni haitaki mtu Arrogant

Zitto anatenda promotion yake binafi lakini kwa maslahi ya chama, tunataka mtu atakaye kibeba chama kuelekea 2015

Misimamo ya Zitto kama ya Dowans ilitufanya wengi tuamini kuwa kanunuliwa na RA na EL, Nimependa utulivu wa Zitto baada ya kashkash na ninaamini kuwa akiendelea kutulia credibility yake itarudi lakni akileta kiherehere chake ni dhahiri shahiri kuwa itamharibia.

Baadhiyetu humu tumetoa michango mikubwa sana ya pesa na muda kuhakikisha CHADEMA inakuwa, na inapata ushindi, Hatumhukii Zitto kwa sababu ya Dini yake wala kanda yake ila kwa sababu ya Tabia yake (Kiherehere, Arrogance na kujifanya Mjuaji)

Mimi namuomba Zitto kwa heshma na Taadhima kaka yangu mpendwa.... funika kombe mwanaharamu apite, kuwa mtulivu kwenye chama, jitolee kama ulivyofanya wakati wa kampeni, mambo mengine kwa sasa yaache hadi hapo credibility yako itakaporudi.

Kwa ninavyomjua Zitto, Thread hizi zitamfanya akomae kwa kuwa anapenda kubishana na ushindani wa kijinga lakini namuomba sana asifanye hivyo. CHADEMA ni yetu sote nyie mliopo madarakani, sisi tunaochangia na kupiga debe na wale wanaopigia kura wakiwa na matumaini na sisi.

MBOWE anafaa kwa kuwa ni kiongozi wa CHADEMA aliyepo Bungeni na naamini kupitia Mbowe sauti ya Zitto, Lisu, Nyerere, Mdee Myika nk itasikia

For god sake Zitto tusaidie kuunganisha Chadema, Tusaidie kujenga Chadema na siyo kujijenga wewe na kutengeneza makundi.

Najua ukikomaa kugombea kwa Msaada wa akina kafulila kama wapiga debe wako utashinda lakini raha ya ushindi upewe na chama chako kwanza. jadiliana na wenzako uone kama wanakuunga mkono.

Mwisho, ninapoona majina kama Chenge wakigombea Uspika napata picha ya kuwa kuna jambo linapikwa na mafisadi "Mungu pishia mbali Zitto asiwe sehemu ya mpango huu wa akina Rostam Aziz" maana nahisi kama wanataka kuweka watu wao kwenye nafasi ya Spika na nafasi ya kiongozi wa kambi ya Upinzani na kuua bunge kwa maslahi yao
 
Zitto ana harufu ya CCM, i don't trust him anymore esp baada ya hoja zake kuhusu mitambo ya Dowans! Pia ni mfagiliaji mzuri wa CCM siku hizi!
no! kijana yuko makini si mtu wa kukurupuka, simtu wa jazba ndio maana mnashindwa kumuelewa, kijana ana kipaji toka moyoni Mungu amemjaalia.
 
Zito hawezi kuwa mkuu wa upinzani bungeni wakati mwenyekiti wake ni mbunge. Hiyo ni nafasi ya Mh Mbowe. Ana uwezo na uzoefu wa bunge pia, Zitto aache mchecheto.
 
Kama Dr. Slaa hatagombea urais tena 2015 naona lingekuwa jambo jema yule anayeonekana kufaa kupeperusha bendera ya CDM 2015 ndio apewe hiyo nafasi, at least iko wazi mh. Zitto ndio kawaleta vijana wengi hivyo tayari ana mtaji kuliko Tindu. Acha Tindu atumie muda huu kujitangaza
 
Zitto is Arrogant = Nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni haitaki mtu Arrogant

Zitto anatenda promotion yake binafi lakini kwa maslahi ya chama, tunataka mtu atakaye kibeba chama kuelekea 2015

Misimamo ya Zitto kama ya Dowans ilitufanya wengi tuamini kuwa kanunuliwa na RA na EL, Nimependa utulivu wa Zitto baada ya kashkash na ninaamini kuwa akiendelea kutulia credibility yake itarudi lakni akileta kiherehere chake ni dhahiri shahiri kuwa itamharibia.

Baadhiyetu humu tumetoa michango mikubwa sana ya pesa na muda kuhakikisha CHADEMA inakuwa, na inapata ushindi, Hatumhukii Zitto kwa sababu ya Dini yake wala kanda yake ila kwa sababu ya Tabia yake (Kiherehere, Arrogance na kujifanya Mjuaji)

Mimi namuomba Zitto kwa heshma na Taadhima kaka yangu mpendwa.... funika kombe mwanaharamu apite, kuwa mtulivu kwenye chama, jitolee kama ulivyofanya wakati wa kampeni, mambo mengine kwa sasa yaache hadi hapo credibility yako itakaporudi.

Kwa ninavyomjua Zitto, Thread hizi zitamfanya akomae kwa kuwa anapenda kubishana na ushindani wa kijinga lakini namuomba sana asifanye hivyo. CHADEMA ni yetu sote nyie mliopo madarakani, sisi tunaochangia na kupiga debe na wale wanaopigia kura wakiwa na matumaini na sisi.

MBOWE anafaa kwa kuwa ni kiongozi wa CHADEMA aliyepo Bungeni na naamini kupitia Mbowe sauti ya Zitto, Lisu, Nyerere, Mdee Myika nk itasikia

For god sake Zitto tusaidie kuunganisha Chadema, Tusaidie kujenga Chadema na siyo kujijenga wewe na kutengeneza makundi.

Najua ukikomaa kugombea kwa Msaada wa akina kafulila kama wapiga debe wako utashinda lakini raha ya ushindi upewe na chama chako kwanza. jadiliana na wenzako uone kama wanakuunga mkono.

Mwisho, ninapoona majina kama Chenge wakigombea Uspika napata picha ya kuwa kuna jambo linapikwa na mafisadi "Mungu pishia mbali Zitto asiwe sehemu ya mpango huu wa akina Rostam Aziz" maana nahisi kama wanataka kuweka watu wao kwenye nafasi ya Spika na nafasi ya kiongozi wa kambi ya Upinzani na kuua bunge kwa maslahi yao
Hivi ni lipi hasa linalowafanya CHADEMA Kila huyu mwanachadema mwenzenu aitwaye Zitto akitaka kugombea uongozi fulani ndani ya chadema watu au baadhi ya wanachama mnakuwa wakali kwa kumpinga tu.Kama anagombea wacha agombee tu si kuna wapiga kura ktk hiyo kambi na wao ndiyo wataamua kama anawafaa au hawafai kuwaongoza .kwa vile anagombea kambi ya upinzani atapigiwa kura na wabunge wa upinzani tu kama watamuona anafaa watampa kama wanaona hawafai hawatampa.Wacheni kila mwenye kuitaka hiyo nafasi ajimwage wapiga kura ktk hiyo kambi ya upinzani ndiyo watakaochuja mbivu na mbichi.Tuache kuidumaza demokrasia kwa visingizio visivyo na msingi.Kama katiba ya chadema imeanisha wazi kwamba ikitokea wao kuongoza kambi upinzani mwenyekiti ndiyo awe mkuu wa kambi basi Zitto atakuwa anavunja katiba na aadhibiwe na kama si hivyo basi anahaki sawa ya kuchaguliwa na kuchagua.Wanaoitaka hiyo nafasi wote ruhusa halafu wapiga kura miongoni mwao ndiyo watafanya maamuzi sahihi.Mimi naamini kuna vichwa kwenye hiyo kambi na wote wanamuelewa Zitto na penginne na wengine wote watakaojitokeza kuwania nafasi hiyo na maamuzi yao tutayaheshimu kwani watakuwa wametimiza demokrasia,kwa kutumia haki zao za kuchagua na kuchaguliwa ( kugombea).
Na kama akichaguliwa huyo Zitto na wakionyesha kutokuwa na imani naye huko mbele ya safari wanahaki ya kupiga kura tena kumuondoa na kuwakilisha jina jipya la kiongozi wao wa upinzani.Hili ni swala la wapinzani na haliwahusishi moja kwa moja wabunge wa CCM kama lile la kumchagua mbunge wa afrika mashariki toka upinzani.
 
nimesoma kwa makini michango ya wachangiaji hapa na nimegundua yafuatayo:

Zitto anachukiwa na wengine kwa sababu ya dini yake

zitto alionekana sehemu mbali mbali na hata ushahidi umo humu kwenye jf akiwanadi wagombea wengine mbali na jimbo lake wakati hata mbowe hajafanya kama alivyofanya zitto katika hilo

kisingizio cha ukomavu ukilinganisha na mbowe au lissu ni doughtful

kua na msimamo wa kibanafsi ati ni kasoro ? Mbona chadema mnawakosoa viongozi wa ccm kua wanasimama na chama chao hata kikiwa kwenye makosa na inapotokea wachache wakitoka na msimamo wao mnawapongeza na wakifukuzwa au kuacha chama mnawapokea likitokea kwenu hua si demokrasia bali ujuaji sasa nyinyi ni kipi mnachokiamini ? Mnataka zitto awe hewala bwana ? Kugombea kwani akvunja kanuni gani ? Jee katiba ya chama inasema mwenyekiti akigombea wengine wasigombee ?

Nnaamini zitto anajua sumu hiyo ya umajimbo na udini iliopo ila niliwahi kumsikia akisema kua yeye aliamua kujiunga chadema ikiwa ni first choice yake hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema na hategemei kujiunga chama chengine tofauti na hao wengine ambao kwanza walikua kwengine na walipangana na vyama vyao kwa mujibu wa hapa ni wasaliti na sasa wamekuja huku kufuata maslahi

nakumbuka pia zitto alikusudia kuacha siasa baada ya kugundua hilo, yeye ni mtu wa msimamo na alitueleza kua yeye angependa awe muhadhiri na wala hana mpango wa kwenda ccm

nilichofahamu ndani ya kauli zake zile kua ameelewa nn kinaendelea ndani ya chadema kwa hio alitaka kuwaachia chadema na hao viongozi wanafiki na wenye kuendeleza udini

naamini zitto ana mapungufu yake ila wengi wanamuhukumu kwa mambo mawili udini na sehemu alyotokea

ila wajue kamba pekee ambayo inawalinda chadema na kuitumia kujisafishia japo haiwatoshi ni zitto na hili kidogo wanaweza kusema zitto muislam na tunaye zitto si wa kaskazini na tunae na yeye anajua kua ktk hili anafaa sana ila baada ya hapo anapigwa vita na kufitiniwa

na nna wasi wasi kua chadema hawawezi kuongoza upinzani na hata nchi na hapo ndio wamefika kwenye peak tusubiri anguko lao

hakuna zaidi ya udini!!!!upo sahihi kabisa!
 
Nimesoma kwa makini michango ya wachangiaji hapa na nimegundua yafuatayo:

Zitto anachukiwa na wengine kwa sababu ya dini yake

zitto alionekana sehemu mbali mbali na hata ushahidi umo humu kwenye jf akiwanadi wagombea wengine mbali na jimbo lake wakati hata mbowe hajafanya kama alivyofanya zitto katika hilo

kisingizio cha ukomavu ukilinganisha na mbowe au lissu ni doughtful

kua na msimamo wa kibanafsi ati ni kasoro ? Mbona chadema mnawakosoa viongozi wa ccm kua wanasimama na chama chao hata kikiwa kwenye makosa na inapotokea wachache wakitoka na msimamo wao mnawapongeza na wakifukuzwa au kuacha chama mnawapokea likitokea kwenu hua si demokrasia bali ujuaji SASA NYINYI NI KIPI MNACHOKIAMINI ? MNATAKA ZITTO AWE HEWALA BWANA ? KUGOMBEA KWANI AKVUNJA KANUNI GANI ? JEE KATIBA YA CHAMA INASEMA MWENYEKITI AKIGOMBEA WENGINE WASIGOMBEE ?

nnaamini zitto anajua sumu hiyo ya umajimbo na udini iliopo ila niliwahi kumsikia akisema kua yeye aliamua kujiunga chadema ikiwa ni first choice yake hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema na hategemei kujiunga chama chengine tofauti na hao wengine ambao kwanza walikua kwengine na walipangana na vyama vyAo kwa mujibu wa hapa ni wasaliti na sasa wamekuja huku kufuata maslahi

nakumbuka pia zitto alikusudia kuacha siasa baada ya kugundua hilo, yeye ni mtu wa msimamo na alitueleza kua yeye angependa awe muHADHiri na wala hana mpango wa kwenda ccm

nilichofahamu ndani ya kauli zake zile kua ameelewa nn kinaendelea ndani ya chadema kwa hio alitaka kuwaachia chadema na hao viongozi wanafiki na wenye kuendeleza udini

naamini zitto ana mapungufu yake ila wengi wanamuhukumu kwa mambo mawili udini na sehemu alyotokea

ila wajue kamba pekee ambayo inawalinda chadema na kuitumia kujisafishia japo haiwatoshi ni zitto na hili kidogo wanaweza kusema zitto muislam na tunaye zitto si wa kaskazini na tunae na yeye anajua kua ktk hili anafaa sana ila baada ya hapo anapigwa vita na kufitiniwa

na nna wasi wasi kua chadema hawawezi kuongoza upinzani na hata nchi na hapo ndio wamefika kwenye peak tusubiri anguko lao

Hakuna mtu anayempinga Zitto kwa Dini yake Mkuu, Zitto kuna sehemu anakosea kwa jinsi anavyoendesha siasa zake, hata ukiangalia jimbo lake la kigoma Kaskazini hakupata kura nyingi sana kulinganisha na Maendeleo aliyopeleka jimboni, hii inamaanisha kuwa hata jimboni kwake hawamkubali kihivyo, kama wengi walivyosema, Zitto kuna mahali kateleza au anaedesha siasa zake kibinafsi (yeye kwanza kisha chama),

Mkuu hebu fatilia vizuri utaona ukweli
 
Kuna habari kuwa Zitto Kabwe anagombea nafasi ya kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni.

Taarifa zaidi, watch this space!
the way ulivyoweka Bro invisible...ni kama vile umetumika kuwa whistleblower kupima upepo wa kukubalika au kutokubalika kwa zitto, na inaonesha wewe na Kundi la wanachadema/Uongozi haupo interested nae. Let us wait maana yamebakia masaa 10 km angalizo lako tumelielewa vema.

Kama Chadema wanataka mtu mwingine basi wasituwekee Form 6 km Mbowe maana Elimu imemshinda...Hio Timu mpya iliyoingia nafikiri wapo wenye alau degree moja na kuendelea.
 
Nimesoma kwa makini michango ya wachangiaji hapa na nimegundua yafuatayo:

Zitto anachukiwa na wengine kwa sababu ya dini yake

zitto alionekana sehemu mbali mbali na hata ushahidi umo humu kwenye jf akiwanadi wagombea wengine mbali na jimbo lake wakati hata mbowe hajafanya kama alivyofanya zitto katika hilo

kisingizio cha ukomavu ukilinganisha na mbowe au lissu ni doughtful

kua na msimamo wa kibanafsi ati ni kasoro ? Mbona chadema mnawakosoa viongozi wa ccm kua wanasimama na chama chao hata kikiwa kwenye makosa na inapotokea wachache wakitoka na msimamo wao mnawapongeza na wakifukuzwa au kuacha chama mnawapokea likitokea kwenu hua si demokrasia bali ujuaji SASA NYINYI NI KIPI MNACHOKIAMINI ? MNATAKA ZITTO AWE HEWALA BWANA ? KUGOMBEA KWANI AKVUNJA KANUNI GANI ? JEE KATIBA YA CHAMA INASEMA MWENYEKITI AKIGOMBEA WENGINE WASIGOMBEE ?

nnaamini zitto anajua sumu hiyo ya umajimbo na udini iliopo ila niliwahi kumsikia akisema kua yeye aliamua kujiunga chadema ikiwa ni first choice yake hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya chadema na hategemei kujiunga chama chengine tofauti na hao wengine ambao kwanza walikua kwengine na walipangana na vyama vyAo kwa mujibu wa hapa ni wasaliti na sasa wamekuja huku kufuata maslahi

nakumbuka pia zitto alikusudia kuacha siasa baada ya kugundua hilo, yeye ni mtu wa msimamo na alitueleza kua yeye angependa awe muHADHiri na wala hana mpango wa kwenda ccm

nilichofahamu ndani ya kauli zake zile kua ameelewa nn kinaendelea ndani ya chadema kwa hio alitaka kuwaachia chadema na hao viongozi wanafiki na wenye kuendeleza udini

naamini zitto ana mapungufu yake ila wengi wanamuhukumu kwa mambo mawili udini na sehemu alyotokea

ila wajue kamba pekee ambayo inawalinda chadema na kuitumia kujisafishia japo haiwatoshi ni zitto na hili kidogo wanaweza kusema zitto muislam na tunaye zitto si wa kaskazini na tunae na yeye anajua kua ktk hili anafaa sana ila baada ya hapo anapigwa vita na kufitiniwa

na nna wasi wasi kua chadema hawawezi kuongoza upinzani na hata nchi na hapo ndio wamefika kwenye peak tusubiri anguko lao

Well Said, we have been defending Zitto not because we like him, actually we are missing people of Zitto's caliber! open minded!!

Zitto is Arrogant = Nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni haitaki mtu Arrogant

Zitto anatenda promotion yake binafi lakini kwa maslahi ya chama, tunataka mtu atakaye kibeba chama kuelekea 2015

Misimamo ya Zitto kama ya Dowans ilitufanya wengi tuamini kuwa kanunuliwa na RA na EL, Nimependa utulivu wa Zitto baada ya kashkash na ninaamini kuwa akiendelea kutulia credibility yake itarudi lakni akileta kiherehere chake ni dhahiri shahiri kuwa itamharibia.

Baadhiyetu humu tumetoa michango mikubwa sana ya pesa na muda kuhakikisha CHADEMA inakuwa, na inapata ushindi, Hatumhukii Zitto kwa sababu ya Dini yake wala kanda yake ila kwa sababu ya Tabia yake (Kiherehere, Arrogance na kujifanya Mjuaji)

Mimi namuomba Zitto kwa heshma na Taadhima kaka yangu mpendwa.... funika kombe mwanaharamu apite, kuwa mtulivu kwenye chama, jitolee kama ulivyofanya wakati wa kampeni, mambo mengine kwa sasa yaache hadi hapo credibility yako itakaporudi.

Kwa ninavyomjua Zitto, Thread hizi zitamfanya akomae kwa kuwa anapenda kubishana na ushindani wa kijinga lakini namuomba sana asifanye hivyo. CHADEMA ni yetu sote nyie mliopo madarakani, sisi tunaochangia na kupiga debe na wale wanaopigia kura wakiwa na matumaini na sisi.

MBOWE anafaa kwa kuwa ni kiongozi wa CHADEMA aliyepo Bungeni na naamini kupitia Mbowe sauti ya Zitto, Lisu, Nyerere, Mdee Myika nk itasikia

For god sake Zitto tusaidie kuunganisha Chadema, Tusaidie kujenga Chadema na siyo kujijenga wewe na kutengeneza makundi.

Najua ukikomaa kugombea kwa Msaada wa akina kafulila kama wapiga debe wako utashinda lakini raha ya ushindi upewe na chama chako kwanza. jadiliana na wenzako uone kama wanakuunga mkono.

Mwisho, ninapoona majina kama Chenge wakigombea Uspika napata picha ya kuwa kuna jambo linapikwa na mafisadi "Mungu pishia mbali Zitto asiwe sehemu ya mpango huu wa akina Rostam Aziz" maana nahisi kama wanataka kuweka watu wao kwenye nafasi ya Spika na nafasi ya kiongozi wa kambi ya Upinzani na kuua bunge kwa maslahi yao

Sijajua analysis yako inamchukulia Zitto kama mbunge au kama vile sio mbunge! simply you mean that kama ni arrogant hakufaa hata kuwa mbunge!!!!! Chadema unayoisema wewe walioikuza na kuitolea jasho ndio hao hakina Zitto!!!!! fedha ulizotoa haziondoi ukweli kuwa wanachadema wengi ndio wajuaji na mnakiharibu chama chenu, japo hilo hamlioni!! Zitto anaishi miaka 50 mbele yako wewe. Maana hata hizo tuhuma za kununuliwa na CCM is an old lies that you can not give out an evidence!

sasa kama unaishi katika dunia ya kudhania na kufikirika, huoni kuwa analysis yako is not tangible?

Muacheni Zitto jamani! wala hiyo credibility yake unayosema imeshuka, hujafanya research yoyote kama redet, au TIBC, ay synovate?? Ni rank au range gani au standard gani inayoonesha huyu mtu ameshuka credibility.

Wengine tunamuonaZitto ni yuleyule tuliyekuwa naye UDSM-USRC, hajabadilika!!!
 
Hapa tunachanganya vitu. Si kwamba Zitto haaminiki, la hasha, Zitto anasema ukweli muda woote hata kama ukweli huo unawaudhi wenzake ndani ya CHAMA. Kwa ujumla Zitto anasimamia maslahi ya Watanzania zaidi kuliko maslahi ya kisiasa ndio maana kwake hata kugombea ubunge haikuwa kazi ngumu. Ipo mifano mingi tu juu ya utendaji wake na muono wake ila mfano mkubwa atakuwa ni Kafulila aliyeshinda ubunge huko Kigoma.

Naona unakumbuka ya kuwania uenyekiti wa Chadema tu lakini SOO la DOWANS unalifagilia chini ya mkeka; jamaa alikatiwa mshiko akachamganyikiwa sasa akiwa ndio kiongozi wa upinzani atatuuza kama alivyouza jimbo la Kigoma mjini kwa kukubali kusimamia urudiaji wa kuhesabu kura; Lissu alikataa zisirudiwe kuhesabiwa kule Singida kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi na ameshinda!!
 
Kama Mwenyekiti wake yuko Bungeni, je isingekuwa busara na hekima amuachie Mbowe awe kiongozi wa upinzani? Unless kama Mbowe hagombei nafasi hii, nahisi inaweza tena ikawagawa katika makundi.

Kuna vijana wawili walioondoka Chadema wameshinda Kigoma. Wangekuwa CHADEMA ushindi ungeongezeka.

Mbowe hawezi, wewe humjui?
 
Hakuna mtu anayempinga Zitto kwa Dini yake Mkuu, Zitto kuna sehemu anakosea kwa jinsi anavyoendesha siasa zake, hata ukiangalia jimbo lake la kigoma Kaskazini hakupata kura nyingi sana kulinganisha na Maendeleo aliyopeleka jimboni, hii inamaanisha kuwa hata jimboni kwake hawamkubali kihivyo, kama wengi walivyosema, Zitto kuna mahali kateleza au anaedesha siasa zake kibinafsi (yeye kwanza kisha chama),

Mkuu hebu fatilia vizuri utaona ukweli
HIVI KURA NYINGI NI KIASI GANI? Ishu ni kwamba alishinda na amekuwa Mbunge. Na unajua CCM walipeleka watu kiasi gani? Umesahau kwamba alitumia muda mwingine kukampeni majimbo mengine si kama wale walioweka kambi katika majimbo yake?Zitto ni lulu na kama CHADEMA wataendelea kumbip watasikia na hata ile dhana ya udini na ukabila ndio itafumuka hapo. Nina hakika akiamua kuwaacha na akaenda NCCR akagombea kule Kigoma kaskazini atashinda tena.
 
Naona unakumbuka ya kuwania uenyekiti wa Chadema tu lakini SOO la DOWANS unalifagilia chini ya mkeka; jamaa alikatiwa mshiko akachamganyikiwa sasa akiwa ndio kiongozi wa upinzani atatuuza kama alivyouza jimbo la Kigoma mjini kwa kukubali kusimamia urudiaji wa kuhesabu kura; Lissu alikataa zisirudiwe kuhesabiwa kule Singida kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi na ameshinda!!
Huu ndio uzushi tunaita. Unless kama unaevidence. Huko Kigoma iliripotiwa kuwa Zitto alikamatwa kwa sababu ya vurugu za Jimbo hilo. Leo hii eti unakuja kutaka kuweka uwongo wako hapa kuwa aliuza Jimbo. Hivi kama umeshinda, ukirudia kuhesabu kura ushindi utaondoka? hayo ya DOWANS, hakuna zaidi ya uvumi wa JF kuwa alinunuliwa. Hebu weka evidence hapa na majungu yakae pembeni.
 
Chadema watafute kiongozi wa upinzani ambae atawaunganisha wapinzani kua kitu kimoja kama Bunge lililopita, na
atakaethubutu kumuuliza maswali magumu Waziri Mkuu kila Alhamisi asubuhi bila ya woga.
Upinzani ulio na umoja utatendakazi zake bila ya matatizo lakini kama utagawanyika matatizo hayatoishia Bungeni bali
mpaka katika vyama vyao. Kwa hiyo wawe makini kumchagua mtu mwenye upeo na mtu atakae weza kuwaunganisha.
 
Anaweza kufaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini si Kiongozi wa Upinzani. Hana uwezo huo, itakuwa aibu kwake na kwa CHADEMA.

Heshima kwako mkuu. Personal i dont take zito as a real opositn figure! Namuona yupo kimaslahi yake zaidi.! I stand to be corrected bt since da issue ya dowans, issue ya yeye kutangaza kwamba atagombea upresident 2015, ishu ya kuutaka uenyekiti wa chadema u know na nyingi kibao! I u'stand he gats rights za kugombea chochote as per constitutn bt we're lookin who is a proper person at dis time ambapo tunataka upinzani bungeni ndo uwe na sauti zaidi and ultimately take control ya bunge..! Napendekeza mbowe ama Tundu lisu..!
 
Binafsi ningependa Zitto na Mbowe wasiongoze upinzani wote wamejionyesha ni watu wa makundi amabayo hayasaidii chama wala watanzania.

Ningependa Lissu au Halima Mdee mwenye uzoefu wa shughuli za bunge wapewe nafasi hiyo muhimu,CHADEMA wakipenda kufuata ushauri wangu watapata faida moja kubwa ya kuvunja makundi ndani ya chama.Kambi ya upinzani lazima iwaunganishe wapinzani wote bila kujali ukubwa wa chama au udogo wa chama.
 
Atleast wewe umesema ukweli kwamba makundi yapo CHADEMA yanayotokana na Mbowe na Zitto. Hivi CUF issue yao waliihandle vipi? hakuna cha kuvifunza hapo? Hili ndilo tatizo la CHADEMA, tamaa ya madaraka. Tuache majungu tuzungumzie uwezo na ushawishi ndani na nje ya CHAMA. Tuzungumzie uzoefu wa kiuongozi na maslahi ya umma wa watanzania.
 
Back
Top Bottom