Zitto Kabwe kuunguruma tena jijini Mwanza

kwani kama mpenzi wa ccm lazima ukichukie chedema.?
Na kama unamkubali zitto lazima u
wakubali viongozi wote
wa chade
ma.
? Au kama unamkubali slaa lazima umkuli na zitto.? Lazima tukubali kwamba kuna wanaccm wanamkubali slaa kama ilivyo kwa wanachadema sio wote wanampinga kikwete....imetokeaa kwa baadhi ya wadau wa jf kuhusu mjadala wa zitto.wapo wanaoamini kama unamuunga mkono zitto juu ya tamko lake basi wewe hukipendi chadema.kwa msimamo wao wanaojaribu kutuaminisha kwamba wanaomuunga mkono lowassa sio wanaccm.mimi siamini katika hilo kila anaekikubali chadema anasababu zake za msingi japo sababu zinaweza kutofautiana kilingana na mtazamo wa mtu hiyo ndio demokrasia.sawa namuunga mkono zitto hii haimaanishi kwamba namchukia slaa au sikipendi chama cha chadema huo ni mtazamo tu.ndio maana hata leo mbowe na slaa wakiwania uraisi ndani ya chadema lazima kura zitagawanyika hivyohivyo na kwa zitto..mwisho wa siku lazima tukubali kutokubaliana ili tusonge mbele kulikomboa taifa toka kwa mkoloni mweusi ccm.!!
 
Naombea kwa mizimu yote kuwa atazungumzia kushinda Kirumba na haja ya kuikataa CCM katika sehemu zote zinazopiga kura Jumapili. Hatozungumzia mambo ya Urais hapo tayari ameshajibu swali lililokuwa hewani kwa muda mrefu sasa mambo ni kushinda uchaguzi. I really really hope so.

yaani wewe unaomba kwa mizimu na sio kwa mungu aliye hai?? unaabudu mizimu? Anyway nafikiri kama Zitto amesoma maoni yote yaliyotolewa kwenye mitandao yote ya kijamii na viongozi wa juu wa chadema na wazee waaasisi wa chama akiwepo mzee Mtei atakuwa amejua amekosea wapi na asahihishe wapi!! Kipindi hiki tupo vitani kuing,oa ccm Arumeru na kwingineko,.sio swala la urais kwanza!! Tupeleke nguvu zaidi Arumeru hasa kulinda kura, kwa wananchi tumeshashinda ila hawa mchwa(ccm a.k.a magamba) wanaotafuna kura inatakiwa nguvu ya pamoja kuwachunga!!patachimbika bila jembe safari hii!!
 
waberoya mimi sina kadi ya chadema for ur information, ila mimi ni msaada mkubwa sana kwa chadema kuliko wanachama wengi tu na viongozi wa chadema.

Kuwa mwanachama ni jambo lingine na kukisaidia chama ni jambo lingine zaidi, ndio maana simba na yanga zina mashabiki na wapenzi kuliko wanachama, nadhani mfano mzuri unauona kwa jafary sabodo, sasa mimi kwa level yangu na katika eneo langu ni jafary sabodo, ndio maana huwa naumia sana kuona chama tunachokisaidia hali na mali wanachama wake wanataka kutukatisha tamaa.
sasa mkuu wewe uko kundi gani kundi lamasisimizi ya chadema au kundi lamatembo ya chadema?
Ila wewe unaonekana uko kwenye lamatembo wachadema
 
Wakaz wa mwanza mh.Zitto yupo jijin Mwz kwa ajili ya ziara,na sasa ikiwa imebak kama nusu saa atakua Igoma kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi kwenye bendera ya CDM pamoja na kutoa hotuba ya mawili matatu!hopefully I'll update the photos of the events sometime 2day.I'M OUT
 
Pamoja Good guy...naamini kabisa hapo Igoma patakuwa na shazi yakutosha na pia vichwa vingi vitatuunga mkono katika movement for change.
 
Pamoja Good guy...naamini kabisa hapo Igoma patakuwa na shazi yakutosha na pia vichwa vingi vitatuunga mkono katika movement for change.

yeah wa2 wanazidi kuvutika but kuna tatizo limetokea hajawasili mpaka sasa,but wa2 ni shaz tanesco nao wameshaweka baraka zao kwa kukata umeme,harakat ziko pale pale!! I'll b back
 
yeah wa2 wanazidi kuvutika but kuna tatizo limetokea hajawasili mpaka sasa,but wa2 ni shaz tanesco nao wameshaweka baraka zao kwa kukata umeme,harakat ziko pale pale!! I'll b back
Mtafadhalishe Mh Zitto kutokuongelea nia yake ya kuwa rais wa Tanzania wa baadae maana italeta mtafaruku bure.Pia aende Kata ya Kirumba kumalizia kampeni kwa Diwani mtarajiwa. well done ZZK.
 
Huu mgawanyo wa majukumu naukubali,wengine Arumeru, Zitto kama hivi Mbeya,Mwanza sasa ni nzuri. Wapi Heche wa bavicha? Ben umechukua ukanda upi kusambaza elimu ya mabadiliko?namkubali Ben tafadhali tangaza uko upande gani ma tz ukisambaza knowledge
 
Mtafadhalishe Mh Zitto kutokuongelea nia yake ya kuwa rais wa Tanzania wa baadae maana italeta mtafaruku bure.Pia aende Kata ya Kirumba kumalizia kampeni kwa Diwani mtarajiwa. well done ZZK.

Ndo ratiba ilivyo baada ya hapa ni Moja kwa moja mpaka kirumba! Ni mchakamchaka mpaka mwisho!!Kuhusu urais no comment he's an intellectual fellow he knows what he's doing!
 
Unapenda kuudhi watu kweli kweli ! wewe nawe.......!



CCM wataipata fresh......! Nipo Mwanza inabidi tuwapange vyema vijana.CCM wanapanga njama kutumia green guard kuziba ombwe lililojitokeza la hoja majukwaani.wanataka kutumia vitisho.Watakoma kuweka mgombea udiwani safari hii



Chuki hazisaidii.......Toa elimu ya uraia popote ulipo.Tafuta muongozo wa kiroho kutoka kwa viongozi wako wa kiroho,fuata ushauri wa wataalamu wa saikolojia ikiwezekana.Chuki zina athari sana kwa afya ya mwanadamu

Freeland,Just be free,be good.Truth will set you Free(the essence and legacy of your name)

Nafurahi kusoma kuwa upo Mwanza
 
Mkuu Ben, hakikisheni hiyo kata haiendi kwa maggamba!! Ni bora kwingine tushindwe lakini siyo kirumba jamani!
 
Back
Top Bottom