Zitto Kabwe kuunguruma Tanga kesho-uchaguzi mdogo!

Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
318
jfm,
Taarifa rasmi toka ndani ya CHADEMA Tanga,ni kuwa ndugu Zitto Kabwe atawasili kesho asubuhi ya saa tatu katika uwanja wa ndege na atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata ya Msambweni katika viwanja vya Tropicana.

Meli kubwa hiyo inapita,samaki wafuate meli kwani huenda kuna chakula kitatupwa huku na na huyu ndugu yetu!!
 
Back
Top Bottom