kama una akili sana katatue matatizo ya mafuta na umeme
sio kila wakati kuleta umbea
Ni watu kama wewe ndio wanaotuletea mikosi tanzania.... umbea, umbea na umbea tu
badili jina lako weka jina linaloendana na mindset yako
SASA NAMUUNGA MKONO RASMI WILLIAM MALECELA ACHUKUWE JIMBO LA MTERA : Saigon
Very cheap propaganda indeed ulikolalia wenzako walishaamka siku nyingi kajipange upya.Zitto anatiwa mashaka mengi hivyo, na yeye pia anajiingiza ktk mtego huo kwa kuungana naye bila sababu ya msingi. Huko ndiko wanakoponzana.
Huu ni uongo, Dr. Kitila hakuwa chuoni pamoja na Zitto, na Zitto hakuwa kiongozi kwenye serikali ya Kitila kwa hiyo tuliosoma hesabu za kukokotoa hii habari inakuwa ni ya kutunga. Halafu Dr. Kitila ni mtu mwenye msimamo na huwa hachukuwi misimamo ya watu. Namjua na sidhani kama ni mshauri wa kisiasa wa Zitto zaidi ya wote kuwa CDM na viongozi.
Dr. Kitila anaheshimu sana kazi alizofanya Mbowe na Dr. Slaa CDM, hana uchu wa madaraka. Na wakati ukifika anaweza kuwa kiongozi sio ubaya.
Mwuacheni Zitto apumzike na hizi shudu mnazo mzushia kila mara.
Kaka, wewe huyu kweli?