Myelife
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 165
- 107
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.
"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, I acted alone I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway.
Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?
Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)
Hata angetumwa na Manyani haijalishi,suala ni ametumwa kufanya nini, Je wangapi unaweza kuwatuma na wakafanya hivyo? Sasa mtu kupiga kura na ni siri anaogopa je kusimama na kutangaza vita ataweza, big up zitto