Zitto Kabwe, hii ni kweli?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.

"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, "I acted alone…I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway."

Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?

Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)
 
uuuh.mbona mimi nilimskia akisema na kusoma kwenye tweet zake "no one can claim credit" it was a planned event among mps.ndo maana hoja iliandaliwa na wanasheria wa cdm mh TL na mh Mdee.

Assumption.inawezekana wameandika ndivo sivo.hata hivyo aje yy mwenyewe ajibu
 
Acha uzushi kwa mambo ya kitoto, Zitto alitumia fursa yake na sheria kuwakilisha wananchi. Zoezi/mchakato wa kumg'oa pinda kutowajibika vya kutosha hili ni la wananchi wote na hayo ya Norway ni yako na familia yako. Zitto songa mbele
 
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.

"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, "I acted alone…I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway."

Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?

Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)

Mbona unajitafuta uchawi? Jikamate basi halafu tutangazie
 
Huyo mwandishi sizani kama akili zake zinamtosha mwenyewe.Zitto ametumwa na wananchi bungeni sasa alitaka abuni mambo yake kichwani bila utafiti kuwa wananchi wanahitaji nini. Maana ya mbunge ni mtu mmoja kuwasilisha mawazo na kero za wananchi anaowawakilisha.

Nawewe unayeshabikia kwa kuleta thead hii bila kufikirisha vyema akili ,tuliza akili acha uvivu wa kufikiri.
 
Ile move ilishindwa kwa vile Zitto alii personalize mno.....alitaka kuitumuia kumfikisha kwenye kilele cha mafanikio. . Kama kweli alikuwa serious mbona leo kimya si angalau angetupa taarifa what is next, maana watu wamekuwa puzzled wanahitaji maelekezo mapya. Nashauri CDM wajenga hoja kuwa kwa vile PM hajaondolewa, na mawaziri hawajajiuzulu basi next move iwe maanadamano hadi kieleweke

Comrade mbona zito alishatoa taarifa kwamba hoja yake ameshaiwasilisha kwa madam
 
Zitto kaibuka mshindi kwa kumfunika sana Januari
Hata kama kuna shinikizo la Norway poa tu kwani hoja na mchakato wa Zitto una mashiko

HAPA ZITTO HAFANANISHWI TENA NA JANUARY
 
Ile move ilishindwa kwa vile Zitto alii personalize mno.....alitaka kuitumuia kumfikisha kwenye kilele cha mafanikio. . Kama kweli alikuwa serious mbona leo kimya si angalau angetupa taarifa what is next, maana watu wamekuwa puzzled wanahitaji maelekezo mapya. Nashauri CDM wajenga hoja kuwa kwa vile PM hajaondolewa, na mawaziri hawajajiuzulu basi next move iwe maanadamano hadi kieleweke
Zito ni kilaza tu pe pe pe peeee nyiiiingiiii kumbe doch!!
 
Huyo mwandishi sizani kama akili zake zinamtosha mwenyewe.Zitto ametumwa na wananchi bungeni sasa alitaka abuni mambo yake kichwani bila utafiti kuwa wananchi wanahitaji nini. Maana ya mbunge ni mtu mmoja kuwasilisha mawazo na kero za wananchi anaowawakilisha.

Nawewe unayeshabikia kwa kuleta thead hii bila kufikirisha vyema akili ,tuliza akili acha uvivu wa kufikiri.

Je, umesoma hiyo article na kuielewa? Hivi wewe kumshughulikia mwizi mpaka uambiwe wakati unaona anaiba? Hivi yote anayofanya mbunge lazima aambiwe na wananchi? Na hilo ni swali ambalo linahitaji jibu!!
 
Bolito valaza wapo kwenye chama cha matusi mh Zitto ni mzalendo mbona wale wezi wenu hawakujaribu?
 
Hata kama kafanya hivyo kutokana na shinikizo kutokwa Norway, cjui wapi haijalishi kwa sababu kila mtu kasikia madudu ambayo wamefanya hao waziri... Ushahidi umetolewa na CAG na sio balozi wa Norway, hatuna sababu ya kuamini propaganda hizo za watu wenye maslahi binafsi na wezi wa fedha hizo!!
 
Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.

"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, "I acted alone…I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway."

Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?

Source: :: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)

subirini kupelekwa utumwani
 
Imani yangu kwa Zitto bado ipo tena ya kutosha tu. Zitto si mvivu wa kujibu ama kutolea maelezo hoja zinazomhushu. Basi ni vema akaja hapa na kutolea ufafanuzi hilo la some donors from Norway.
 
kila kitu alikuwa anakijua ata wenzake walikuwa wanajua nini kinafuata...sasa waliamua kuwachezea igizo wananchi.
 
i wish norway could see how their their aids to tz is mishandled.
waache kusaidia budget hakuna maendeleo
others donors also should withdraw from aiding tz
kama walimtuma zito poa tu kwani hakuna transparency serikalini na wizi umekithiri
 
Kabwe zitto nimemkubali sana kwa ushujaa wake wa kuthubutu kwa jambo kubwa kama hilo kwani katupa heshima vijana kwani ameionesha jamii kuwa vijana tunaweza na tuna usjasiri wa kutosha, pia kawatikisa mafisadi vya kutosha huyu kijana na haijalishi hilo shinikizo limetoka naorway au pakistani bali sisi tunachojali kile ambacho kijana mwenzetu amejaribu kuthubutu kwa maslahi ya taifa letu na hizo propaganda zinazofanywa na magazeti ya wachumia tumbo hazikubaliki hata kidogo kwani lengo lao ni kupotosha tu.
LONG LIVE KABWE ZITTO NA MUNGU WA ISRAEL AKUBARIKI NA KUKUZIDISHIA UJASIRI. amen
 
Zitto is busssssssyyyyyyyyy with more important issues...

Acha kijana afanye kazi tuliyomtuma Bungeni...
 
Back
Top Bottom