tujaribu kua na akili huru kiasi.
thread nyingine ni propaganda tu za kisiasa ili kuleta ka tension, kuvuruga ichwa vya watu n.k.
thread kama hii wala haina aukweli wowote.
Vigezo vya kuwa boss Kama vifuatavyo vitatumika:-
Kutunga uongo zaidi ya wengine
Kutokana aibu hata kama utasema uongo
Kuwa hide Watz kuwajengea Nyumba za ghorofa zinazoelea hewani na kupeperushwa na upepo
N.k. Mwingine aongezee tafadhali
Mi hainishangazi kabisa Zitto na Kafulila wakaanzisha chama kwani tabia na mwenendo wao unafanana ktk UROHO WA KUSAKA MADARAKA na KUENDEKEZA SIASA ZA MAKUNDI, Hofu yangu nani atakubali kuongozwa na mwenzie!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.