Zitto Kabwe, Hashim Rungwe na Kafulila Waanzisha Chama Kipya cha Siasa - CHAUMA

Status
Not open for further replies.
mkuu ni vyema kama utatuanikia majina ya hao waaasi ili tuwavue nguo hadharani.

Mkuu usijali vuta subira kidogo,usiwaone wanawatukana kina Dr Slaa/Mbowe/Heche kila siku hapa JF wakadhani hawafahamiki.Wote tunawajua na hakuna muasi hata mmoja atakayesalimika.
 
Pamoja na yote, hiyo
RANGI NYEKUNDU kwenye bendera ya CCM-CHAUMA tafsiri yake ni nini maana ni rangi isiofahamika kabisa katika medani ya siasa nchini?????

Kwa tafsiri ya CHAUMA, rangi nyekundu inamaanisha ujasiri (capability to enforce execution of decisions) wa chama kutekeleza mipango yake.
 
huwezi kukataa kuwa hili lipo ama kukubali kuwa halipo ila ile courage ya wapambe wa zitto kwenye mitandao dhidi ya kumchafua mbowe ,slaa, na wabunge wengine wote maarufu wa chadema isipokuwa mashishanga, wakurugenzi wote wa chama isipokuwa mtemelwa!, viongozi wote wa vijana isipokuwa shonza! muungano wao na mahusiano ya karibu sana na msaliti shibuda,kupinga matamko ya chama hadharani ni sifa zinazonionesha kuwa yawezekana kuna mkakati mbadala wa zitto na siasa za ukanda zilizojiegemeza kwa vijana

Mkuu umeshamaliza kutaja taja majina au bado unaendelea?
Ukiona hawachafuliwi ujue wanafanya high politics,beyond tribes,beyond religion!
Na hizi ndizo siasa za zitto!maana jamaa yuko juu sana anafanya high politics!
Kafanya vema kuwaachia vijana wanaojielewa urithi wa siasa zake(political heritage)
 
Kwa tafsiri ya CHAUMA, rangi nyekundu inamaanisha ujasiri (capability to enforce execution of decisions) wa chama kutekeleza mipango yake.

Bila shaka chama hiki kitakuwa na nguvu sana hapo siku za usoni!
 
shibuda je
?

shibuda mwenyewe juzi kaongea kwamba chadema ni chama
:mfilisi
;kampuni
;zandiki!
Sasa we unauliza nini?shibuda mzee wakufunguka hawezi kukaa chama kampuni.
Hahahaaaaaa!
Bila shaka atatoa mwongozo wake wapi ataenda hapo 2015.
Tusimsemee ngoja tusubili
 
Mkuu usijali vuta subira kidogo,usiwaone wanawatukana kina Dr Slaa/Mbowe/Heche kila siku hapa JF wakadhani hawafahamiki.Wote tunawajua na hakuna muasi hata mmoja atakayesalimika.

Teh teh kweli kopo tupu haliachi kutika!
Mkuu wanapokuwa hawasalimiki wale vijana makini wanaomuunga mkono hasimu wenu zitto tunaomba wewe uwe wa kwanza utolewe kama kafala maana hakuna asiekujua namna unavyomtukana na kumdhalilisha zitto humu jamvini!

Ikiwa kufukuzwa kwa chagulani kulijulikana wiki moja kabla ya kamati kuu,naona na wewe(mchagga)umeshatabili humu kwamba vijana wale hawatasalimika.

Pole kwakuteleza nakutoa siri za vikao vyenu vya kampuni ya chadema mnavyokaaga pale mamba club usiku.
domo hilo litakuja kukuponza ona sasa unavyotoa siri.

Ila nashangaa kitu kimoja iweje ulishindwa kulipepeta hilo domo 2010 mpaka ukapata kura 2000 kweli?
Kura za aibu!

Au hilo domo lako ni kwajili ya majungu tu upate hela ya kula?
 
mkuu ni vyema kama utatuanikia majina ya hao waaasi ili tuwavue nguo hadharani.

Njaa itakuuwa wewe kijana!
Kama laki mbili wanazokupa pale chadema tv hazikutoshi si ubadili jina uwe swai au mushi.
We una uwezo wakuwavua nguo watu wewe?
Unadhani hapa ni uwanja wa fisi ulikozoea kuwavua nguo wasichana kwa sh 500?
Jiangalie sana we kijana.
 
wewe akili mburura tu, mwenzenu Heche yupo ulaya sasa hivi mmebaki nyie washabiki mkitoa povu fcbk.

Chezea Heche weyeeeeeee!
 
Teh teh kweli kopo tupu haliachi kutika!
Mkuu wanapokuwa hawasalimiki wale vijana makini wanaomuunga mkono hasimu wenu zitto tunaomba wewe uwe wa kwanza utolewe kama kafala maana hakuna asiekujua namna unavyomtukana na kumdhalilisha zitto humu jamvini!

Ikiwa kufukuzwa kwa chagulani kulijulikana wiki moja kabla ya kamati kuu,naona na wewe(mchagga)umeshatabili humu kwamba vijana wale hawatasalimika.

Pole kwakuteleza nakutoa siri za vikao vyenu vya kampuni ya chadema mnavyokaaga pale mamba club usiku.
domo hilo litakuja kukuponza ona sasa unavyotoa siri.

Ila nashangaa kitu kimoja iweje ulishindwa kulipepeta hilo domo 2010 mpaka ukapata kura 2000 kweli?
Kura za aibu!

Au hilo domo lako ni kwajili ya majungu tu upate hela ya kula?

We umebaki kupiga domo humu akati mwenzako Heche yupo ulaya sasa hivi.

Chezea Heche weyeeee!
 
Msije kushangaa jamaa anajijenga kisiasa akiwa chadema, destination = chauma

Hivi Chadema imemjenga Zitto ama Zitto ndiyo kaijenga Chadema? Tatizo la kufikisha miaka 18 mwaka 2010 na kufakamia siasa za vyama bila ya kujua historia za hivyo vyama!
 
Zitto Kabwe: Kumbikumbi huruka na kuliwa na kunguru Na Nkwazi Mhango - Imechapwa 23 December 2009 Kwa maneno ya Zitto ni kwamba anamuunga mkono Kafulila, ingawa bado anadai yuko CHADEMA. Ni ajabu kidogo. Je, kama CHADEMA wataamua kusimamisha mgombea Kigoma Kusini wakati Zitto ana mtu wake, atamuunga mkono nani kati ya mgombea wa chama anachodai kimemlea na kumkuza na kumfikisha hapo alipo na rafiki yake kipenzi? Si vizuri kumsemea Zitto wala Kafulila. Kuna haja ya CHADEMA kuuliza swali hili kabla mambo hayajafika huko. Kwa sasa, Zitto ama kwa kujua au vinginevo, anaanza kujiona maarufu kuliko chama, kama Jakaya Kikwete-kwa mujibu wa maneno ya katibu mkuu wa CCM, Yusufu Makamba. Archieved: Zitto Kabwe: Kumbikumbi huruka na kuliwa na kunguru | Gazeti la MwanaHalisi
Hivi jamani uacheni ubishi wa kijinga kati ya Zitto na CDM nani kamlea na kumukuza mwenzie? Kuna wengine wanasema acha Zitto aende kwani CDM kuna majembe kibao! Hayo majembe yapo CDM tangu mwaka gani?
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom