Zitto Kabwe, Hashim Rungwe na Kafulila Waanzisha Chama Kipya cha Siasa - CHAUMA

Status
Not open for further replies.
Mkuu uliyeleta uzi huu,
Uchambuzi wako upo makini sana,nimeupenda,umenifanya nijue mwenyekiti wa CHAUMA,UMENIFANYA NIJUE MAKAO MAKUU YA CHAUMA.Asante sana

LAKINI VIPI MBONA SIONI UHUSIANO WA KICHWA CHA HABARI NA ULICHOKIANDIKA?
ZITTO KABWE ANAONEKANA AKITAJWA KWENYE KICHWA CHA HABARI,NDANI NAONA HAKUNA CHOCHOTE..KULIKONI MKUU,ULIPITIWA KUANDIKA JINA LA ZITTO PASIPO SABABU?
AU TOKEA ZITTO ATANGAZE KUGOMBEA URAIS AMEKUJERUHI BRAIN SYSTEM YAKO?

NAFURAHI SANA KUONA UMEJITAHIDI KUNGA UNGA MAJUNGU YAKO LAKINI BADO UMEKOSA PA KUMWANZIA ZITTO,UMEKOSA CHA KUANDIKA JUU YA ZITTO.

NENDA KAJIPANGE TENA
 
zitto ana njaa kali.mtu kaja mjini na gari moshi alafu leo anataka kutuendesha kisa katoka mji wenye vigagula wengi kwa mujibu wa sensa ya vigagula ya mwaka 1961-2011,ikulu yenyewe inanuka shombo la feri alafu yeye anataka akaongeze shombo la migebuka?

usipojitambua umri na jinsia yako ni tatizo, unaweza ukajikuta unamtukana mama au baba yako mzazi aliyekuzaa,
 
Chadema hamuwezi kuvuka mstari wa 2015.Kuna siku ililetwa sredi hapa kuwahusisha akina Ben Saanane kuwa nyuma ya hiki chama na akina zitto kabwe na kafulila.
ZZK anahusishwa hadi na ulipuaji wa PENTAGON sembuse Kuzushiwa kuhusu CHAUMA na mambo mengine.Lakini bado ZZK ni mwanasiasa amabye chadema inajisikia fahari kuwa naye
 
NDOTO ZA MKAKATI WA KI-UTAWALA KWA MTINDO WA KI-CCM-AMOEBA NA MPANGO MZIMA WA DHANA JIPYA LA 'SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA' KURUDISHA WATU CCM WAPENDE WASIPENDE

Tehe tehe tehe; mbona tuliyafahamu siku nyingi sana tu hat kabla ya chama hicho kuhamia Kijitonyama!!!!!!!!!!

Na katika hilo namuunga mkono rafiki yangu mkubwa Zitto Zuberi Kabwe kutamani kwake kujijengea ka-mji mpya kujitawalia kwa uhuru zaidi apendavyo HIVYO TUNAMTAKIA KHERI WAKATI WOWOTE atakapochagua kujiunga rasmi huko!....

Mtihani sasa ni kwa Zitto kuthibitishia umma ukweli wa ile kauli yake ya hivi majuzi kwamba HATARAJII JINA LAKE KUINGIA KATIKA HISTORIA KAMA MTU ALIYEKWAMISHA MBADILIKO kutokea nchini kwa kuendeleza juhudi zozote zile za ki-rivesi vile.

Karibu katika uwanja wa mapambano ya kisiasa kama kiongozi wa CCM-D = CHAUMA ili watu tukaendeleze demokrasia zaidi kwa kuwa hata kwepo mwana-CHAUMA pia ni haki yako mtakakokutania na baadhi ya wna-CCM watakaokoseshwa amani huko mara baada ya CCM kupasuka hapo baadaye kidogo.....

samahani naanza kukukosolea miguuni baadae kichwani

kwenye nyekundu hapo chini...naomba unitajie rangi za chadema?Nyekundu ipo au haipo",,,,VIPI UNAJITAMBUA WEWE AU UNASHABIKIA CHAMA?

PILI POLE KWA KUPOTEZA MUDA WA KUANDIKA KWA KUJIBU VITU VYEPESIKA HIVI.SEMA UNAONGOZWA NA HISIA ZA CHUKI DHIDI YA ZITTO
LAKINI LEO NIMEBAHATIKA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MSOMI MMOJA HIVI WA MEDANI ZA SIASA.ANAKWAMBIA"USISHANGAE KUONA LEMA NA MBOWE SIKU MOJA WAMEKAA MEZA MOJA NA ZITTO WANAMPA MBINU ZA KUSHINDA URAIS NA KUFANYA KAMPENI"
KWA HIYO USHABIKI NI MWANZO WA UZEZETA WA KULEMAZA AKILI YAKO.
UNAPIGANA NA UKUTA?ZITTO NA MBOWE SIO SAIZI YAKO.ENDELEA KUJIFURAHISHA
 
Hakuna umaarufu wa ZZK mbali na CHADEMA,akishaondoka basi tena ndo hivo anapotea mazima

DUHH WEWE UMETOA KALI YA MWAKA!!!!!TATIZO LA KUDANDIKA GARI USILOJUA MWELEKEO WAKE NA LILIKOTOKA
CHADEMA IMEANZISHWA MWAKA 1992 SAWA?IMEANZA KUVUMA LINI?BAADA YA NINI?

ZITTO AMEKIFIKISHA CHAMA HAPA LEO AMBAPO NA WEWE UMEPATA MDOMO WA KUSEMA,LAKINI LEO UNAROPOKA MANENO GANI HAYo/
WASOMI WANAJUA ATAHRI YA ZITTO KUJITOA CHADEMA ,NDIO MAANA WANAKIMBILIA KWENYE MAJUNGU TU.
ZITTO NA CHADEMA NI COUPLE
 
msije kushangaa jamaa anajijenga kisiasa akiwa chadema, destination = chauma

usiendeshwe na tetesi za kupika hizi,zitto amekipa umaarufa chadema,akapata umaarufu yeye sasa unatajka nin i tena?
Labda mgombea urais wa mwaka 2010
origin ya dr.slaa ni ccm
destination ni chadema
 
Samwel45.Najua wewe ni kada wa CDM,lakini nakwambia chama chenu kina majanki wenye njaa kali sana,ndio hao sasa wakina zitto tunaanza kuwaona,kwa staili hii mtaendelea kuwa migambo tu mpaka mwisho wa dunia,Viva Tanu
 
ID yako ni nini vile? Mwakitombile????!!!!
 
DUHH WEWE UMETOA KALI YA MWAKA!!!!!TATIZO LA KUDANDIKA GARI USILOJUA MWELEKEO WAKE NA LILIKOTOKA
CHADEMA IMEANZISHWA MWAKA 1992 SAWA?IMEANZA KUVUMA LINI?BAADA YA NINI?

ZITTO AMEKIFIKISHA CHAMA HAPA LEO AMBAPO NA WEWE UMEPATA MDOMO WA KUSEMA,LAKINI LEO UNAROPOKA MANENO GANI HAYo/
WASOMI WANAJUA ATAHRI YA ZITTO KUJITOA CHADEMA ,NDIO MAANA WANAKIMBILIA KWENYE MAJUNGU TU.
ZITTO NA CHADEMA NI COUPLE
Chadema ni chama isiyoweweseka,na ina uwezo wa kufanya maamuzi magumu,hebu shirikisha viungo vyako kufikiri
 
Mkuu naomba nikupongeze sana kwa ubunifu wako wa kujitungia swali mwenyewe na kujijibu mwenyewe hapo chini.

Ila ukipata tena nafasi basi walau uje na hoja na wala sio hisia. Na kwa taarifa tu, wewe kama kuna kitu unakifahamu kwa Zitto basi ni finyu sana bora ukaomba msaada kwetu. Siwezi hata siku moja kuwa na chuki na rafiki yangu Zitto na mwenyewe anaelewa hivo.

Misingi ya urafiki wetu na huyu ndugu na Dr Mkumbo pia, nikikuchotea walau kwa kidogo tu kwa miaka yote hiyo, ni katika msingi wa BRUTAL TRANSPARENCY, CONSTRUCTIVE CRITICISM AND SHARING OF SOME MOST CHOKING TRUTHS in life. So far haya yote yametufanya tukawa wa karibu zaidi na kupenda kuibua CRITICAL THINKING zaidi.

Lakini kwa staili yako hii ya BLIND CRONISM AND AN ADEPT HENCHMANSHIP unavoonyesha hapa, hata siku moja huwezi hata kufanya kazi na hawa jamaa zangu wawili hawa. Kwao wao, kwa bahati zuri zaidi, ni yule anayeishi kwa kuwaweka ON-THEIR-TOSE muda wote wanafahamu kuwa ndio wanaowatakia mema zaidi kuliko 'AKINA NDIO MZEE' sawa na nilivyokusoma hapa.

Labda na mimi nikuulize tu swali dogo tu hapa, na pia ukarudi kuteta na huyo 'MSOMI' aliyemtafuta ushauri juu ya maoni ya 'UWEZO TUNAO' akijitahidi kumrudisha rafiki yake Zitto kwenye njia nyoofu waipendao Umma wa Tanzania, mbli na wewe kuona ajabu yoyote Wah Mbowe na Lema wakifanya kazi kwa pamoja huko mbele ya safari je utasema nini ukija kusikia kwamba huyu umwonaye mwiba kwa kumkosoa sana nikiwa kwenye utumishi pamoja na yeye huku tukiendeleza tu hizi zetu za FREEDOM OF CONSCIENCE kama kawaida yetu???

Upenzi kwa wanasiasa bila kukosoana ni sawa na ushiriki katika ndoa bila fursa ya kujadiliana. Mkuu Samweli, kachukue jembe uende ukalime kam huna jipya hapa.

Kwa mtindo wetu huu wa kutoa THE MOST CHOKING CRITICISM naamini rais ajaye atakua mzuri ajabu karibia sawa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuliko utaratibu wako huo unaoupenda wa KUVISHANA PAMPAS na viongozi ambayo hatari yake ni kupata viongozi vioja mitaani.

Karibu hata hivo tubadilishane mawazo.

DUHH WEWE UMETOA KALI YA MWAKA!!!!!TATIZO LA KUDANDIKA GARI USILOJUA MWELEKEO WAKE NA LILIKOTOKA
CHADEMA IMEANZISHWA MWAKA 1992 SAWA?IMEANZA KUVUMA LINI?BAADA YA NINI?

ZITTO AMEKIFIKISHA CHAMA HAPA LEO AMBAPO NA WEWE UMEPATA MDOMO WA KUSEMA,LAKINI LEO UNAROPOKA MANENO GANI HAYo/
WASOMI WANAJUA ATAHRI YA ZITTO KUJITOA CHADEMA ,NDIO MAANA WANAKIMBILIA KWENYE MAJUNGU TU.
ZITTO NA CHADEMA NI COUPLE
 
Ndugu,

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Msajili wa vyama vya Siasa, John Tendwa, amekipa usajili wa muda chama kipya cha siasa kinachojulikana kwa jina la Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA).

Chama hiki kinasimamiwa na mwanaharakati (utawala bora) maarufu nchini, Ndugu Walace Mayunga ambaye wenye chama wamemkabidhi kazi ya kukisajili hadi kipate usajili wa kudumu.

Makao Makuu ya CHAUMA ni Kijitonyama Mtaa wa Kameruni. Bandera ya CHAUMA ina rangi nne; nyeusi, nyeupe, nyekundu na njano. Kauli mbiu ya CHAUMA ni Nguvu ya Mabadiliko.

CHAUMA kinaonekana kuwa na mkakati mkubwa kwa sababu kinatumia waliokuwa makada wa CHADEMA, NCCR-Mageuzi na TLP kutafuta wanachama 200 kutoka angalao mikoa 10 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa No. 5 ya 1992.

-Chanzo Mdau wa CHAUMA.

My take:
Ni wazi kuwa mwenendo (kujitenga na M4C) na kauli za ZZK ambazo kila mara zinaonekana kuwa na malengo yaliyofichika; kujijenga binafsi (kupata wafuasi wengi) tayari kwa safari ya CHAUMA mara baada ya zoezi la usajili wa kudumu kukamilika.
Kwakuwa ni tetesi, si muhimu kuchangia, lakini Mkuu haukumtendea haki Mh ZZK. Bora ungemuuliza
 
usiendeshwe na tetesi za kupika hizi,zitto amekipa umaarufa chadema,akapata umaarufu yeye sasa unatajka nin i tena?
Labda mgombea urais wa mwaka 2010
origin ya dr.slaa ni ccm
destination ni chadema

Soma alama za nyakati Samwel45, usiwe mtumwa wa kufikiri! Kati wa wabunge wa tatu wa kwanza kabisa wa chadema mwaka 1995 Dr. Slaa alikuwepo.
Kwa kifupi Zitto siyo kaitoa chadema mbali, bali chadema imemtoa zitto mbali. Kama alifanya kazi yake vizuri bungeni, ni kwa sababu alitumwa na chadema na wananchi kutekeleza ilani ya chadema!
Shirikisha ubongo kabla ya kupost! Zitto kabla hajajiunga chadema hakuwa na gari la kifahari, alikuwa hajui biashara. Kama siyo chadema Zitto asingekuwa Mwenyekiti wa POAC. chadema imemtoa mbali Zitto, ndiyo maana anaweza kufanya chochote mahali popote kwa sababu chadema imemfanya kuwa maarufu!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Msajili wa vyama vya Siasa, John Tendwa, amekipa usajili wa muda chama kipya cha siasa kinachojulikana kwa jina la Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA).

Chama hiki kinasimamiwa na mwanaharakati (utawala bora) maarufu nchini, Ndugu Walace Mayunga ambaye wenye chama wamemkabidhi kazi ya kukisajili hadi kipate usajili wa kudumu.

Makao Makuu ya CHAUMA ni Kijitonyama Mtaa wa Kameruni. Bandera ya CHAUMA ina rangi nne; nyeusi, nyeupe, nyekundu na njano. Kauli mbiu ya CHAUMA ni Nguvu ya Mabadiliko.

CHAUMA kinaonekana kuwa na mkakati mkubwa kwa sababu kinatumia waliokuwa makada wa CHADEMA, NCCR-Mageuzi na TLP kutafuta wanachama 200 kutoka angalao mikoa 10 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa No. 5 ya 1992.

-Chanzo Mdau wa CHAUMA.

My take:
Ni wazi kuwa mwenendo (kujitenga na M4C) na kauli za ZZK ambazo kila mara zinaonekana kuwa na malengo yaliyofichika; kujijenga binafsi (kupata wafuasi wengi) tayari kwa safari ya CHAUMA mara baada ya zoezi la usajili wa kudumu kukamilika.

Kila la heri ZZK. Wewe ni jogoo, lakini bila kutoka katika majogoo hao wazee, kamwe hutaweza kuwika, Kawike huko kaka.
 
Acheni kupiga ramli. By the way tangu lini Mayunga akawa mwana harakati maarufu? Kwa wanaomfahamu hakuna mwanasiasa mwenye akili anaweza kufanya ushirika na mayunga
 
Ndugu,

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Msajili wa vyama vya Siasa, John Tendwa, amekipa usajili wa muda chama kipya cha siasa kinachojulikana kwa jina la Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA).

Chama hiki kinasimamiwa na mwanaharakati (utawala bora) maarufu nchini, Ndugu Walace Mayunga ambaye wenye chama wamemkabidhi kazi ya kukisajili hadi kipate usajili wa kudumu.

Makao Makuu ya CHAUMA ni Kijitonyama Mtaa wa Kameruni. Bandera ya CHAUMA ina rangi nne; nyeusi, nyeupe, nyekundu na njano. Kauli mbiu ya CHAUMA ni Nguvu ya Mabadiliko.

CHAUMA kinaonekana kuwa na mkakati mkubwa kwa sababu kinatumia waliokuwa makada wa CHADEMA, NCCR-Mageuzi na TLP kutafuta wanachama 200 kutoka angalao mikoa 10 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa No. 5 ya 1992.

-Chanzo Mdau wa CHAUMA.

My take:
Ni wazi kuwa mwenendo (kujitenga na M4C) na kauli za ZZK ambazo kila mara zinaonekana kuwa na malengo yaliyofichika; kujijenga binafsi (kupata wafuasi wengi) tayari kwa safari ya CHAUMA mara baada ya zoezi la usajili wa kudumu kukamilika.

Huyu Mayunga anatokea mkoa gani? Napenda kujua kwanza hilo ili niweze pa kuanzia kutoa maoni yangu.
 
Soma alama za nyakati Samwel45, usiwe mtumwa wa kufikiri! Kati wa wabunge wa tatu wa kwanza kabisa wa chadema mwaka 1995 Dr. Slaa alikuwepo.
Kwa kifupi Zitto siyo kaitoa chadema mbali, bali chadema imemtoa zitto mbali. Kama alifanya kazi yake vizuri bungeni, ni kwa sababu alitumwa na chadema na wananchi kutekeleza ilani ya chadema!
Shirikisha ubongo kabla ya kupost! Zitto kabla hajajiunga chadema hakuwa na gari la kifahari, alikuwa hajui biashara. Kama siyo chadema Zitto asingekuwa Mwenyekiti wa POAC. chadema imemtoa mbali Zitto, ndiyo maana anaweza kufanya chochote mahali popote kwa sababu chadema imemfanya kuwa maarufu!

Kumbe Chadema wanagawa magari ya kifahari, wewe umepewa mangapi?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom