Shutuma zinazoelekezwa kwa Zitto kutoka kwa wafuasi wengi wa Chadema kama zitakuwa zina chembechembe zozote za ukweli, basi Zitto atakuwa ni mtu hatari sana kwa uhai wa Chadema.
Kama wanaCHADEMA mna uhakika na ushahidi wa shutuma hizi ni bora mkachukua hatua madhubuti kipindi hiki dhidi yake ama sivyo mtalizwa vibaya hapo baadaye.