HUU NI UJUMBE KWA ZITTO...hivi wewe unataka kuwa Raisi kwa ajiri ya kupiga vikelele vya kashfa mbili tatu hapo bungeni na kusifiwa basi unaona unaweza na una uchungu sana na nchi,nakuomba sana uendelee kujifunza na kuchapa kazi kwa bidii mpaka after 40 then ndio ufikirie Uraisi maana sasa utatulostisha tuu,Zito nakuhakikishia ukiingia sasa hivi kwenye uraisi utapigwa nje vibaya sana na tutakusahau,make sure unajenga shule jimboni kwako na kilimo kuondoa umaskini kwa wananchi wako then make sure kigoma inaunganishwa a mikoa mingine na kupata umeme,hata kama hutafanikiwa lakini weka fight ambayo itaonekana na itachukua miaka mingi ila usije na blah blah zako za kutaka uraisi huku hujui lolote...nakuhakikishia hujui!