Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
JK alipo ondolewa kugombea badala yake akapitishwa Mkapa kulikuwa na mpasuko CCM....Ni wabunge wangapi wa ccm waliokuwepo kwenye uzindu wa CCM, siku JK alipopinga mzinga chini pale jangwani na wangapi hawakuwepo....Kukosekana kwa Zito kwanini kuwe na maswali?...Zito watanzania wana mfahamu kulikuwa na vichwa ambavyo vilikuwa n mhimu kuonekana siku ya uzinduzi halafu siku ya kufunga zito akawepo si patano...ni mtazamo tuZitto kabwe hakuonekana katika uzinduzi wa kampeni za chadema siku ya tarehe 28/8/2010 pale Jangwani. Je, bado ana bifu na Mbowe baada ya kuondolewa kugombea Uenyekiti wa chama hicho? Je, hii inaashiria kwamba kuna mpasuko katika chama hicho? Wapo wanaosema alikuwa jimboni kwake anazindua kampeni kivyake, je ni kweli?