Elections 2010 Zitto Kabwe azindua rasmi kampeni Kigoma

Status
Not open for further replies.

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
24nkyzs.jpg

Mgombea Ubunge kwa jimbo la Kigoma Magharibi Mh Zitto Kabwe akiwasalimia Wananchi wakati wa kuzindua rasmi kampeni za chama chao katika kijijiji cha Mkongoro mjini Kigoma Kaskazini.

rhvczk.jpg

2mwf8dh.jpg

xnzypu.jpg

Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini Muslim Hassanali akisalimia wananchi
 
ASANTE KWA KUTULETEA HABARI ZETU ZA KICHAMA....TUENDELEZE TUITOE MADARAKANI....! zito oyeee
 
Mungu amsadie kumshinda yule mwizi mkuu wamitahani ya secondary tanzania na owner wa Happy skillful secondary school a.k.a Ambassodor
 
Kijana mbona jana hakuwepo kwenye uzinduzi wa pale Jangwani
Amejitenga nini?
 
Why have a negative mind all the time. hata CCM sio wagombea Ubunge wote wa CCM Tanzania nzima walikuwa pale Jangwani.
 
Shibuda alikuwepo Jangwani lakini Zitto hakuwepo? Kama kuna watu wanatakiwa kutumiwa sana na CHADEMA basi ni Dr. Slaa na Zitto, hao ndio wameifanya CHADEMA iwe hapo ilipo.
 
Kijana mbona jana hakuwepo kwenye uzinduzi wa pale Jangwani
Amejitenga nini?
Chadema ni chama kikubwa, wakati uzinduzi ukiendelea Jangwani yeye alikuwa anazindua jimboni kwake ndivyo inavyotakiwa viongozi wasambae nchi nzima si lazima kufuatana na presidential campaign team watakuwa wanaitwa wanapohitajika.
 
He looks silly in this picture. What's that hat for? It looks more like a ritual ceremony to me than a re-election campaign launch. Downright ridiculous...

rhvczk.jpg
 
I dunno...you tell me. Is it?

I guess so. It seems to have several features similar to other rituals like repetition (re-election campaign launch), costumes, props, processed procedure, stage/arena, audience, performers etc. And as I can see the audience is not separated from performers which is one of the key elements of ritual i.e performer-audience participation
 
Okie dokie smokie..
 
Zitto kabwe hakuonekana katika uzinduzi wa kampeni za chadema siku ya tarehe 28/8/2010 pale Jangwani. Je, bado ana bifu na Mbowe baada ya kuondolewa kugombea Uenyekiti wa chama hicho? Je, hii inaashiria kwamba kuna mpasuko katika chama hicho? Wapo wanaosema alikuwa jimboni kwake anazindua kampeni kivyake, je ni kweli?
 
Mmeanza uchonganishi? Hatudanganyiki!
 
Zitto kabwe hakuonekana katika uzinduzi wa kampeni za chadema siku ya tarehe 28/8/2010 pale Jangwani. Je, bado ana bifu na Mbowe baada ya kuondolewa kugombea Uenyekiti wa chama hicho? Je, hii inaashiria kwamba kuna mpasuko katika chama hicho? Wapo wanaosema alikuwa jimboni kwake anazindua kampeni kivyake, je ni kweli?
rhvczk.jpg

Mgombea Ubunge kwa jimbo la Kigoma Magharibi Mh Zitto Kabwe akiwasalimia Wananchi wakati wa kuzindua rasmi kampeni za chama chao katika kijijiji cha Mkongoro mjini Kigoma Kaskazini.

Nafikiri jibu linajitoshereza. Can you say it again.
 
Zitto kabwe hakuonekana katika uzinduzi wa kampeni za chadema siku ya tarehe 28/8/2010 pale Jangwani. Je, bado ana bifu na Mbowe baada ya kuondolewa kugombea Uenyekiti wa chama hicho? Je, hii inaashiria kwamba kuna mpasuko katika chama hicho? Wapo wanaosema alikuwa jimboni kwake anazindua kampeni kivyake, je ni kweli?

Swali la kujiuliza wakati Slaa anatafuta Kura za wadhamini, Zitto alikuwepo?, kuna mambo wala hayana tija kipindi hichi cha Kampeni, naomba ulifahamu hili, KAMA ZITTO HAYUPO KINYUME CHAO (CHADEMA), BASI UJUE YUPO UPANDE WAO, NA KAMA WEWE SIO cHADEMA HILI HALIKUHUSU
 
24nkyzs.jpg

Duu, tent lao masikini wameunga unga magunia ya "caustic sod..."!

Wanaweza kupumua vumbi la alkali hapo waanguke waseme mkono wa mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom