nice 2
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 747
- 520
- Thread starter
- #21
Are we that Desparate? Kwani ni lazima chama kizima kiende Arumeru? Tuache majungu,tuache kauli za kuchochea ,gawanyiko...tuna kazi kubwa mbele.Chadema hatuwezi kubakia kuwa domestic political party tu,ni chama kinachosubiri muda mfupi kuchukua dola.
Zitto alifanya kampeni mfululizo ijumaa alikuwa kwenye kampeni ukonga,jumamosi kwenye uzinduzi arumeru,jumapili alikuwa Mwanza ambako yeye na makamanda wengine akina nyakarungu,masanja na wengineo walipata mapokezi makubwa na juzi jumanne walikuwa Bagamoyo
Tafadhali tujenge chama tuache majungu yasiyo na maana.
Halafu mtu anadiriki kusema kaacha campaign kaenda Zambia, ha ha haaa, bora hata angeuliza uko Zambia kaenda kufanya nini!