Zitto Kabwe akutana na Keneth Kaunda - Lusaka Zambia

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
It was an excitement, that Zitto himself could not hide when he met the only living front line leader, an Africa hero, a liberation hero, President Keneth Kaunda in his Office in Lusaka.

Kaunda's message to Zitto was:

"Complete the work we Started. Africa is a huge challenge, but Africa shall be built by Africans, you young people"

Lusaka-KK 2.jpg

Source: Ukurasa wa tweeter wa Zitto
 
How many young fella believe in that?

Mkandara,

The post below is a true reflection of the fragile society with no hope,yes with no hope that PAN AFRICAN dream can be realized.Huyu haoni fursa kwa sisi wa Afrika kuungana na kuamua hatima yetu ya sasa na vizazi vijavyo.Haamini katika uwezo wa vijana kuziba mianya ya unyonyaji na ukandamizaji kutoka kwa mabeberu.......yeye anachona katika statement ya Kaunda kwa Zitto ni Opportunistic + Power Hungry

Anyways,Long Live Comrade Kaunda(True son of Africa).Your message is so inspiring and powerful

Zitto=opportunistic+power hungry political thug.
 
Mkandara,

The post below is a true reflection of the fragile society with no hope,yes with no hope that PAN AFRICAN dream can be realized.Huyu haoni fursa kwa sisi wa Afrika kuungana na kuamua hatima yetu ya sasa na vizazi vijavyo.Haamini katika uwezo wa vijana kuziba mianya ya unyonyaji na ukandamizaji kutoka kwa mabeberu.....yeye anachona katika statement ya Kaunda kwa Zitto ni Opportunistic + Power Hungry

Anyways,Long Live Comrade Kaunda(True son of Africa).Your message is so inspiring and powerful
Unyonywaji na kusalitiwa na hawa viongozi wetu ndilo tatizo letu kubwa kwa sasa. If you stand for total liberation of man from any form of oppression and exploitation, you have my support. Tunahitaji vijana wenye kuona mambo kwa mtazamo huo.
 
Zitto=opportunistic+power hungry political thug bent on scoring cheap political points while harbouring dangerous selfseeking sectarian motives.
 
Watalii hao, juzi katibu wao alikuwa Italy leo naibu Zambia.
Haihesabiwi hizi trip. kweli nyani haoni ..........................
 
Zito goo gooo brother.........................
Chota maushauri ya mtu mzima uje uyasupply kwa vijana ambao ndio tegemeo ya tanzania ya leo na ijayo.. Sio hawa wezi na wauaji wenzetu tunaoishi nao inchi moja..kila lakheri

mungu humbariki anayejibidiisha.
 
Watalii hao, juzi katibu wao alikuwa Italy leo naibu Zambia.
Haihesabiwi hizi trip. kweli nyani haoni ..........................

huna cha kuongea!! Kwani wanatumia kodi yako?.Goo on zitto,slaa,mbowe,mnyika,msigwa,sugu,mdee,leticia,lema,natse,opulukwa,wenje,etc,na tena hao ndo ze only watetesi wetu wa ukweeeli,magamba hapakaliki.Na kodi zetu mtazirudisha tu nyie jirusheeeni tu kwa raha zenu but watoto wenu wanakaz ya ziada hapo baadaye.Over!.
 
Katususia Arumeru yetu kaenda ZAMBIA!

Are we that Desparate? Kwani ni lazima chama kizima kiende Arumeru? Tuache majungu,tuache kauli za kuchochea ,gawanyiko...tuna kazi kubwa mbele.Chadema hatuwezi kubakia kuwa domestic political party tu,ni chama kinachosubiri muda mfupi kuchukua dola.

Zitto alifanya kampeni mfululizo ijumaa alikuwa kwenye kampeni ukonga,jumamosi kwenye uzinduzi arumeru,jumapili alikuwa Mwanza ambako yeye na makamanda wengine akina nyakarungu,masanja na wengineo walipata mapokezi makubwa na juzi jumanne walikuwa Bagamoyo

Tafadhali tujenge chama tuache majungu yasiyo na maana.
 
Nachomsifia Zitto ni mtu anayependa kujua Historia, kujua tumetoka wapi na nini yalikuwa malengo yetu hata iwe Mapinduzi ya zanzibar au Uhuru wa Tanzania na Afrika. From that anajenga hoja ya njia zipi tufuate ili tufike kule tulikokusudia..Zitto is aware of that. Zitto anaonekana tishio kwa wengi kwa sababu vijana wetu leo hii wanasukumwa tu na ushabiki baada ya nchi yetu kupoteza Dira yake, wengine njaa zinawasumbua. sema binadamu hatukosi mapungufu lakini - He is much much better than mlolongo wa vijana wengi waliovamia siasa.
 
It was an excitement, that Zitto himself could not hide when he met the only living front line leader, an Africa hero, a liberation hero, President Keneth Kaunda in his Office in Lusaka.

Kaunda's message to Zitto was:

"Complete the work we Started. Africa is a huge challenge, but Africa shall be built by Africans, you young people"

View attachment 49379

Source: Ukurasa wa tweeter wa Zitto

I like ZZK(Zitto Zuberi Kabwe) the way he used to manipulate things. ZZK have proved once again that he is very ambitious to grab the Presidency office of Tanzania by meeting one of the great leaders in Africa KK of Zambia, the father and founder of Zambia. Hopefully he met the former presida to seek some advices!Who knows!

Nani kama KK na JK(Julius Nyerere) and not the other acronomy JK of Jakaya Kiwete!
 
Zito goo gooo brother.........................
Chota maushauri ya mtu mzima uje uyasupply kwa vijana ambao ndio tegemeo ya tanzania ya leo na ijayo.. Sio hawa wezi na wauaji wenzetu tunaoishi nao inchi moja..kila lakheri

mungu humbariki anayejibidiisha.

Huyu Bwana mdogo anachotafuta ni urais kwa lengo tu la kutimiza lengo lake la kuwa rais apate umaarufu baaasi. Kwa kasi hii hachelewi kuingia pori pale atakaponyimwa opportunity
 
Huyu Bwana mdogo anachotafuta ni urais kwa lengo tu la kutimiza lengo lake la kuwa rais apate umaarufu baaasi. Kwa kasi hii hachelewi kuingia pori pale atakaponyimwa opportunity

Aliposoma bajeti kivuli ya wizara ya fedha alikuwa anatafuta umaarufu?je alipopigania suala la posho kumbe wenzake waligundua kuwa anatafuta umaarufu tu wakaamua kuchukua na kuipigania kabisa?

I like ZZK(Zitto Zuberi Kabwe) the way he used to manipulate things. ZZK have proved once again that he is very ambitious to grab the Presidency office of Tanzania by meeting one of the great leaders in Africa KK of Zambia, the father and founder of Zambia. Hopefully he met the former presida to seek some advices!Who knows!

Nani kama KK na JK(Julius Nyerere) and not the other acronomy JK of Jakaya Kiwete!

Mwacheni afanye kazi kwa bidii....Tatizo tunataka kila mtu afanye siasa za mazoea.Siasa za mazoea ndizo zilizofikisha taifa na upinzani hapa tulipo sasa.

Nachomsifia Zitto ni mtu anayependa kujua Historia, kujua tumetoka wapi na nini yalikuwa malengo yetu hata iwe Mapinduzi ya zanzibar au Uhuru wa Tanzania na Afrika. From that anajenga hoja ya njia zipi tufuate ili tufike kule tulikokusudia..Zitto is aware of that. Zitto anaonekana tishio kwa wengi kwa sababu vijana wetu leo hii wanasukumwa tu na ushabiki baada ya nchi yetu kupoteza Dira yake, wengine njaa zinawasumbua. sema binadamu hatukosi mapungufu lakini - He is much much better than mlolongo wa vijana wengi waliovamia siasa.

Mkuu Mkandara,

Ngoja waje vijana waliolishwa sumu hapa uone watakavyokutukana. Kijana anapokuwa kibaraka wa mtu yeyote iwe ndani ya chama au ofisi yoyote anayofanya kazi hawezi kujizuia in future kuwa kibaraka wa mabeberu.Vijana wengi wanafanya siasa za kuganga njaa,hawataki kufika kijijini wala hawataki kujifunza.Na viongozi tulio nao wengi katika cycle both in the ruling party & Opposition wnapenda vijana wenye fikra za aina hii

Hata mabeberu nao wanafurahia jinsi tunavyojenga kizazi ambacho ni bogus,kwao hawataki tuwe na future itakayohoji na kukosoa.Tutafika tu,wengine hatusalimu amri na tunaendelea kupanua wigo wa mrengo usioburuzwa

Changamoto kubwa iliyopo sasa ni kushindwa kufanya siasa za utafiti.Tunafanya siasa za upepo na matukio.Kuingia kwenye mfumo wa demokrasia ya magharibi bila kufanya marekebisho in order to suit our environment ni tatizo.Ndiyo unaona comments kama hizi unazoziona hapa na baada ya hapa.
 
Sasa nyie wenzetu mnapoona mtu anatafuta kujua zaidi, kuelewa zaidi basi huyo ni hatari kumbe hamjui kwamba Demokrasia ni pamoja na kujua Principals, ethics na values ambazo nyie hamtaki kusikia ila Marekani na UK wanafanya hivi au vile mnataka sana tuwe kama wao ati wazee waachie nchi wakati vijana wenyewe hawana dira wala vision. Mtatupeleka wapi nyie vijana wa leo?..

Na sadly mnawatukuza sana watu waliojengwa kuwa ma puppets wa mtandao to accumulate power, resources and everything they could put their hand on just to please their unlimited ego-maniacal desires!.Yeyote anayeona nchi inakwenda vibaya au kujaribu kutu inspire in the most effective way basi huyo tayari ni opportunist. Nani Bongo hii utasema sio opportunist ikiwa mnatumia vigezo kama hivi? Kasemwa Mbowe weee! halafu ikahamia kwa Dr.Slaa dhidi ya JK japokuwa wanajua fika kwamba Opportunist alikuwa JK lakini wapi fitana lazima kukiua Chadema na mijinga kibao inaingia mkenge - Leaders are not merely born they are groomed (develop) to be...
 
Back
Top Bottom