Zitto Kabwe akataa kufuta kauli Bungeni kwamba Waziri katoa majibu ya Ovyoovyo

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Leo katika History:

Zitto Kabwe akataa kufuta kauli yake kwamba Jeremia Sumari Naibu Waziri wa Fedha ametoa majibu ya "ovyoovyo".....June 24, 2009.
 
Nini sasa hii ?? Habari ya zamani hata mtu mwenyewe kasharudisha namba !!!! Mijitu mingine bana, masaburi tupu .....!!
 
Unge andika kwenye kichwa cha habari, sio unaamka na kiroba chako kuja kutapika jf, aibu kwako mleta mada hii, ningekuwa na AK47 Ningekutingua usiku huu.
 
Heading ingekuwa " Leo ktk historia" sio kuandika kama thread ni mpya. Kalale kwanza.
 
kweli watu usiku hamlali kuipigania nchi,asante kwa historia!ila umenikwaza maana nimefungua fasta,nikajua kuna jipya la zito kabwe!
 
Leo katika History:

Zitto Kabwe akataa kufuta kauli yake kwamba Jeremia Sumari Naibu Waziri wa Fedha ametoa majibu ya "ovyoovyo".....June 24, 2009.

Kuna maeneo mtu ukikaa lazima ukiamka akili zako zinakuwa kama mwana CCM hata kama siyo .Sasa huyu akili zake madhara ni eneo hilo ninalosema wala si kiroba .
 
Back
Top Bottom