Zitto Kablwe ndani ya Clouds FM

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
:A S 465:Zitto anasikika kupitia Clouds FM, wenye access walmsikilize.
 
anaongelea ajira kwa vijana,na swala zima la uelekeo wa uchumi wa nchi ye2 na maisha ya watz kwa ujumla!

Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.
 
Jamaa ni Jembe la chuma cha reli! Anaongea kwa data za uhakika, Zitto for presidency 2015
 
Samahani ndugu,kulitokea nini jimboni kwake?
 
Vijana karibu 400 (approximately) walimfuata na kumuomba awatafutie ajira. Nafikiri hicho ndicho ambacho kimemfanya atafute hoja binafsi ili aweze kuangalia namna ya kuokoa jahazi.
 
Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.

Yes, baada ya ule mpango uliosukwa kupitia kwa Kafulila kuelekea kugonga mwamba, inabidi wigo upanuliwe. Ni vijana gani hao bungeni wenye uchungu na vijana wa vijiweni? Mungu bariki, siku zinavyosonga mbele ndivyo wanavyozidi kujiumbua.
 
Anasema yy mwenyewe anapata shida juu ya national ID,Coz nchi imekosa misimamamo juu ya mambo mbalimbali tofauti na zamani.
 
Vijana karibu 400 (approximately) walimfuata na kumuomba awatafutie ajira. Nafikiri hicho ndicho ambacho kimemfanya atafute hoja binafsi ili aweze kuangalia namna ya kuokoa jahazi.

Hizo ajira zitakuwa kwaajiri ya jimbo lake tu?
 
Anasema yy mwenyewe anapata shida juu ya national ID,Coz nchi imekosa misimamamo juu ya mambo mbalimbali tofauti na zamani.

Hapo kwenye national ID ni kweli ule ni mradi wa wakubwa, ukija kumalizika watu weshakuwa mabilionea
 
Kuanzia hiyo radio na huyu mnafiki unadhani kuna mtu wa maana atamsikiliza. May be kafulila
 
Zitto huwezi kutuambia kulalamika ndo kuwajibishana, huwezi kumwajibisha mtu kama hujatambua mazuri kwanza ambayo ameyafanya maana kama kila ki2 hakiposawa na haiwezekani mtu akafanya mabaya kwa asilimia 100. Na kama cvyo basi lazima kuna mazuri, hvy lazima utambue 1, 2, 3, umefanya vzr lakini pia 4, 5 umekosea hunabudi kukaa pembeni. huo ndo utamaduni wa kuwajibishana. Jifunze maneno haya zitto yatakusaidia.
 
Jamaa ni Jembe la chuma cha reli! Anaongea kwa data za uhakika, Zitto for presidency 2015

Toa data anazo ongea sio kusifia kama wanamagamba. halafu huo urais atagombea akiwa nccr, tlp, cuf, ccw au chama atakacho anzisha HR
 
Back
Top Bottom