Zitto Kable Live - Jenerali on Monday

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
150
Wana Bodi,

Sikiliza moja kwa moja kipindi cha Generali on Monday kupitia Arusha Mambo FM ambapo sasa hivi Mh, Zito Kable, Filikunjombe na Peter Selukamba wanajadili kilichojiri katika kikao cha Nane cha Bunge lililopita.

ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." page ya tune in ikifunguka tutafurahi uki like radio yetu,

Source: Arusha Mambo.
 
Lazima utakuwa mnyaewanda wewe hatuna Zitto Kable hapa
 
halafu hiyo radio kila siku nahangaika kufungua hapa haifunguki leo nafungua kwa mara ya mwisho isipofunguka nakugonga dislike na usilete tena mipasho Ziito Kable weeeee
 
ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ZITTO KABLE, Harafu na serukamba???????????? ccm damu rafiki wa Lowasa hapo kigoma mjini walichemka kwa serukamba hana mpya huyo.
 
Zitto Kable ni nani?

Nilidhani alikosea tu kwenye heading, kumbe hata nyama yenyewe kachemka!

Zitto Kable Live - Jenerali on Monday

Wana Bodi,

Sikiliza moja kwa moja kipindi cha Generali on Monday kupitia Arusha Mambo FM ambapo sasa hivi Mh, Zito Kable, Filikunjombe na Peter Selukamba wanajadili kilichojiri katika kikao cha Nane cha Bunge lililopita.

ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." page ya tune in ikifunguka tutafurahi uki like radio yetu,

Source: Arusha Mambo.​
 
Ulivyonikera hapo chini!!! Wewe hapo ni Msomaliiiii nini????????

Wana Bodi,

Sikiliza moja kwa moja kipindi cha Generali on Monday kupitia Arusha Mambo FM ambapo sasa hivi Mh, Zito Kable, Filikunjombe na Peter Selukamba wanajadili kilichojiri katika kikao cha Nane cha Bunge lililopita.

ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com kisha click "Sikiliza Arusha Mambo FM...." page ya tune in ikifunguka tutafurahi uki like radio yetu,

Source: Arusha Mambo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom