Vica
Member
- May 27, 2008
- 84
- 12
--------------------------------------------------------------------------------
Hi Team,Hivi karibuni 'Crew' nzima ya Dedio Clousd walijitolea kupima 'Virusi',offcourse matokeo ni Siri ya kila mtu.Ila kuna kitu kimenishangaza a week after wameletewa wataalamu wa ushauri nasaha kuhusu VVU na jinsi ya kuishi VVU na kujitunza, na mpaka wakaletewa na mgonjwa wa virusi atoe darasa jinsi ya kuishi na ngoma!Swali ni kwanini imekuwa haraka kiasi hiki na kwao tu?
naitaji maelezo!
katika semina hiyo,pia kulikuwepo na mgeni mualikwa, dada ambaye ni muathirika wa virusi vya Ukimwi,mkazi wa Tabata Kimanga (pichani) Bi. Dhamiri Mustafa (22) ambaye pia alitoa historia ya maisha yake namna alivyoambukizwa na hadi kujitambua kuwa na virusi vya Ukimwi, na ni jinsi gani anajilinda, na kwa namna gani anavyo pambana na suala la unyanyapaa kutoka kwa jamii inayomzunguka,yeye mwenyewe amekiri kuwa tangu ajitambue kuwa na virusi vya ukimwi yapata miaka kumi amekuwa akiishi navyo mpaka sasa,amekuwa akikumbana na suala unyanyapaa kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo familia yake.
Mtoa mada mkuu wa Semina Bi. Monica Tarimo akitoa maelezo ya kutosha kwa washiriki wa semina hiyo iliyofanyika leo mjengoni Clouds Media Group,Mikocheni jijini Dar.
Washiriki wa semina hiyo wakiwa makini kusikiliza mafunzo kutoka kwa mkufunzi wa semina hiyo.
Baadhi ya vijana wa mjengoni/Clouds Media Group wakiwa ndani ya chumba cha semina leo iliyokuwa ikihusu masuala mazima ya maambukizi UKIMWI/VVU na unyanyapaa kwa wenye virusi vya Ukimwi.
Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Tuesday, June 30, 2009 | | Permalink | Maoni 3