Zitto hayuko tayari kuwa kiongozi!

Zzk ulimuelezea siku nyingi na sasa uliyoyaeleza ndo yanatamalaki. Hataki kwenda kufundisha na sasa anafanyia siasa fb huyu jamaa ni zaidi ya Ebola hafai
 
Kamundu una maono ya mbali sana!Tungo zako kama za Mfalme Suleiman!Igwe sana.

*team ukawa*
 
Last edited by a moderator:
Kweli mleta mada anamfahamu uzuri Zitto. Hayo aliyowafanyia diaspora ndio anaowafanyia wana jimbo lake, wafanyakazi vijana wa halmashauri yake na hata wageni, HATIMIZI AHADI KABISA, na PROMISE KWAKE YEYE INA MAANA TOFAUTI.
Aliwadanganya wajerumani waje wafanye field mwamgongo na kwamba TANAPA watawasupport matokeo yake akawatelekeza huku TANAPA hawana hata moja wanalolijua.
Kipindi cha pili cha ubunge wake amekipata kwa heshima ya diwani wa Mwandiga aliyezunguka jimbo lote kumuombea msamaha, lkn kama kawa alivyoahidi hajatimiza hata nusu ya robo.
Na ndio maana alianza kujisemesha kuliacha jimbo na kufikiria kugombea kigoma mjini (wabadilishane na serukamba) coz anajua hawezi kuchagulia kamwe kaskazini, jimboni mwake kawa MSALITI hata kabla hajawa msaliti wa watanzania na CHADEMA
Na kasema mara nyingi ataachana na siasa! Kuna wakati aliwaza kugombea jimbo moja Dar na Geita! Ni tatizo kwa vijana wanaotoka shule na kuingia kwenye siasa na kuifanaya kama ajira.
 
Huyu zitto laana ya usaliti itamuaandama daima la sivo akafanye toba msikitini, awaombe radhi cdm akumbuke mficha maradhi kifo humuumbua!
 
Nimependa uchambuzi wako hii itasaidi wasiojua...siasa inamambo mengi sana.Kipaji cha kuongea sio uwezo...big up sana
 
CDM mwendo mdundo tu na wenye chuki na cdm watakufa kwa vihoro! Mtarukaruka lakini muda ulishawatupa,endeleeni kufaidi mabaki ya mafisadi tu!
 
Nilitokea kumjua zitto kutokana na marafiki zangu waliosoma naye kule Galanos. Vilevile mimi nilisoma Galonos form five mwaka 1994-1995 miaka miwili kabla ya zitto. Vilevile zitto nimempita mwaka moja kwani yeye kazaliwa 1976 na mimi 1975. Kwa ujumla mimi nilijiona nafanana sana na huyu kijana mpya ambaye ameingia kwenye siasa na hivyo alivyotembelea USA nilihakikisha ninaongea naye kwani niliona ni watu wa rika moja na tutaelewana zaidi kuliko wazee wengi wanakuja huku.

Zitto alivyokuja aliniambia mimi na vijana wengine anataka kupumzika siasa na kwenda kusoma PHD. Vilevile tulimuuliza kama anataka msaada wowote atwambie akasema kapata shule nyingi ikiwa pamoja na Preston University amboyo ni chuo kizuri sana kiko State ya New Jersey. Alisema alitaka kusoma mambo ya economics contracts ili aweze kufundisha kwenye chuo kimoja nafikiri Dodoma kuhusu mikataba kama ya madini na n.k kwani alisema nchi yetu inahitaji wataalamu wa mikataba. Vilevile tuliongea mambo mengi na kibinafsi ambayo sitataka kuyasema. Kwa ujumla Zitto alituambia na kuonekani waziwazi hapendi siasa na hana furaha na kitu anachofanya.

Vilevile alionyesha waziwazi anapenda kuwa Professor wa chuo kikuu chochote. Zitto alitoa ahadi nyingi ikiwa ni pamoja ya kujibu email zetu na kutusaidia kuelezea mambo fulani muhimu ambayo watu wengi wa diaspora tulikuwa tunaona kama yanahitaji mwangeaji.

Zitto alishangaza wengi kwani hajafanya hata kitu kimoja alishokuwa anasema ikiwa ni pamoja na kwenda chuo, kujibu email na kuwasiliana na kuongea mambo muhimu ya diaspora ambayo tulikubaliana naye kutusaidia ku lobby. Vilevile Zitto alionekana hana experience ya maisha kama kufanya kazi ya kawaida au kufanya biashara!.

Kwa mawazo yangu Zitto ni mapepe ni kijana mwenye akini lakini anatakiwa kutulia na kujua anataka kufanya nini hasa kwenye maisha. Vilevile Zitto haelewi kwa undani ni kwanini Chadema iko imara kuliko nyama vingine.

Chadema iko imara kwasababu
(1)Viongozi na waanzilishi wa Chadema wamejitosheleza kiuchumi na hawana tamaa. Uhodari wa kuongea na ushabiki hautoshi kukuza chama kikubwa kama Chadema. Mrema alikuwa ni hodari na mwenye kipaji cha mvuto kwa wananchi lakini kwasababu ya umasikini wake alikuwa nategemea sana serikali kuanzia ruzuku hadi nyumba aliyokuwa anakaa. Hii ilimfanya Mrema kutangatanga bila mafanikia na kuhama vyama bila mafanikio makubwa kwasababu Mrema alikuwa hajajitosheleza na maisha aliyokuwa nayo na alitegemea sana serikali. Zitto ni kama Mrema ingawa Tatizo lake hajui anachotaka bado!

(2)Mboe, Slaa, Ndesamburo na Mtei. Dr Slaa alikuwa padre ambaye alishazoea kuishi maisha marahisi na ya wito hivyo hawezi kutapatapa. Mboe, Ndesamburo na Mtei ni wafanya biashara wakubwa wenye akili ya biashara na wanafanya biashara ambazo hazitegemei serikali hivyo serikali haiwezi kuwatisha. Mtei ana biashara ya kupeleka maua nje, Ndesamburo ana viwanda na hoteli na Mboe ana hoteli hivyo hawa watu hawawezi kudanganya na watu wa serikalini. Ndesamburo kununua Helikopta mbili kwa chama ni mfano kwani ameonyesha anafanya vitu kwa wito na sio shida.

(3)Viongozi wa Chadema wana ongoza chama kibiashara hii inawezekana isionekane waziwazi lakini Mboe ni mtu muhimu kuliko Zitto kwasababu anajua kuongoza. Zitto anafikiri kidemokrasia lakini kwenye kampuni hakuna demokrasia bali productivity. Mboe ana results na Zitto hana, Mboe ana experience za utawala Zitto hana, Mboe anajua anachokitaka na Zitto hajui. Hivyo Zitto anaweza akawa ni mtu mwenye kipaji cha akili zaidi ya Zitto na Mvuto zaidi ya Mboe lakini hana uwezo wa kuongoza kwasasa zaidi ya Mboe!.

Mboe vilevile anavitu kama magazeti n.k ambavyo ni muhimu kutoa habari na Zitto hata email hajibu!. Chadema ingekuwa haina watu matajiri kwenye chama na wenye wito chama kingeshakufa sikunyingi sana. Huwezi kupambana na CCM kwa sera pekee! Zitto.

Zitto ni lazima uelewe kwamba mafanikio ya Chadema ni ya wito na utajiri wa waanzilishi na viongozi na si uhodari wa kuongea pekee. Kuna watu watakudanganya uhame chama kwa kuweka udini na kukupa kichwa kwamba wewe una kipaji utafanikiwa popote lakini kuwa mwanasiasa hodari si sawa na kuwa kiongozi hodari!. Mboe ni muhimu kwa Chadema kuliko wewe. Je ni mfanya biashara gani mkubwa ni muha wa kigoma!!.

Ni lazima uwaheshimu watu waliokutoa kigoma mpaka hapo ulipo kwani hawa wanaokushauri uhame ndiyo wa kwanza watakao kuita Muha wa kigoma anayetangatanga na hutakuwa na watu wenye nia nzuri kwako bali kukutumia tu. Hivyo Zitto tukia na jenga imani na jifunze kutoka kwa kina ndesamburo, Slaa na Mboe jinsi ya kufanikiwa kimaisha bila siasa!.Muda wako utakuja hapo utakapojua ni kitu gani unataka kufanya, vilevile acha uongo!.

Zitto kwasasa hauko tajari kuwa mwenyekiti wa Chadema.

huu ulikuwa ni ujumbe makini kwa mtu makini ambaye yuko tayari kuutumia! but not Zitto!
 
Last edited by a moderator:
kamundu chama cha siasa sio kampuni. hao wamangi wanaendesha cdm kufuatana na hisa zao ndio maama cdm haiwezi kushika dola. cdm itabakia tu kama kampuni. watamweka slaa pale. wakipenda wanamtoa na kuajiri meneja mwingine. watanzania wako makini hawawezi kutoa ridhaa kwa kampuni kuendesha nchi badala ya chama cha siasa.
 
Nimeona busara za mwandishi kuhusu kijana ZZK. Akiwa na akili atatulia na kujiuliza kwa upya. Kinachosumbua Vijana wengi wanaotoka vyuo na kuingia kwenye utendaji ni zile hisia kwamba wanaweza from the sky...wakati mwingi sana wanataka kudhania kuwa kuona na kuwa mzungumzaji sana mambo yatajiseti. Nadharia na vitendo ni vitu viwili tofauti kabisa. ZZK angekubali kukaa chini ya hawa wazee angepata faida kubwa sana lakini kwa kuwa ameamua kusikiliza watu kama Pasco mwenye eh kuwa kuchambua Nadharia bila ya vitendo...tunamsubiri huyo mwenye kijana chake tumuone! Kuishi kwingi kuona mengi
 
Huyu sio Pasco ninayemfahamu, kuna mtu ameiba I.D. Yako?

kama ZZK anaskiliza ushauri kutoka kwa Pasco basi hicho ndicho kinachompa kiburi,lakini akumbuke umaarufu una mwisho wake,hawezi kupambana na akina Dr.Slaa kwa hoja,Dr slaa haogopi,Dr slaa hajawahi kula pesa ya mafisadi,lakini Zitto kabwe pesa za mafisadi zinamfunga mdomo hawezi kusema lolote zaidi ya kuuita Umoja wa Kutetea katiba ya wananchi (UKAWA) KAMA WASAKA TONGE
 
Kamundu

Yaani umekichana chadema live kabisa bila wewe kujua, umefikiri unajenga kumbe unamaliza kabisa

Chama chenye sera nzuri kinaongozwa na watu na michango ya watu, ni sawa na harusi hata kama una fedha nyingi bila watu kuchanga haifurahishi, maana haishirikikiki!! umenena live chadema ni cha wachache wafanyabiashara!!! wafanya bishara hawako tayari kwenda jela kwa ajili ya manufaa ya wananchi wako tayari kulinda fedha na status zao!

Hivi umefikiria ulichoandika maan naona umeeleza ukweli wa moyoni kitu ambacho chadema wengi huwa wanabisha na wewe live umeeleza ni wafanyabiashara, believe me, Ndesamburo na hao wengine lazima wanapata faida!!!how?? au wanajitolea tu lwa sababu wanakupenda sana!!!

Huyo slaa ni mroho wa hela na alihaidiwa mshahara fulani akikosa urais, unalijua hilo

Kuhusu Zito well, kuna mawali mengi BEING PROFESSOR AU ACADEMICIAN AS NOTHING TO DO WITH POLITICS!!! POLITICS IS NOT PROFESSIONAL FOR PARTICIPANTS; IS OPTION ONLY FOR POLITICAL SCIENTIST!!
Ndiyo maana kuna mainjinia akina Mwandosya, chemist Dr.Magufuli, n.k you can be politician still you can excell to your professional , hapa inahitaji akili kidogo tu, na siamini kabisa kuwa una umri huo. Dr.Magufuli amepata masters na PhD akiwa kiongozi/mwanasiasa (record this)

Umeweka vijembe eti hakuna mfanyabiashara mkubwa Mha!!! yaani umeleta ukabila live ule tunaopigana nao humu!!! ar you sure

FYI Zito ameingia chadema akiwa na miaka 16!!! na amepokelewa na hao unaowasema na leo hii wamempa unabibu katibu mkuu!! japo unafikiri unawasemea akina Slaa ila wengi wanakushangaa lengo la hii post ni nini?? wapi umemkamata amefanya kosa gani (with evidence) na maoni yako ya kutokuwa na imani naye yanapingana na maoni ya kamati kuu ya chadema akiwamo meti na ndesamburo!!

By the way unasoma chuo gani huko marekani? maan paragraph hamna I mean post yako haivutii kabisa

Sijaelewa hasa ulikuwa wagusia au point yako ni nini hasa, maana umetapatapa, jamaa siwezi kukiri kamaumbo au la, Ila amepanga mada yake vyema what's yours??? Na walio mshauri slaa asigombee urais waliona mbali na huo mshahara unao usema ameukubali ni baada ya wao kumuomba asigombee ubunge ili akitumikie chama.
 
Last edited by a moderator:
Nilitokea kumjua zitto kutokana na marafiki zangu waliosoma naye kule Galanos. Vilevile mimi nilisoma Galonos form five mwaka 1994-1995 miaka miwili kabla ya zitto. Vilevile zitto nimempita mwaka moja kwani yeye kazaliwa 1976 na mimi 1975. Kwa ujumla mimi nilijiona nafanana sana na huyu kijana mpya ambaye ameingia kwenye siasa na hivyo alivyotembelea USA nilihakikisha ninaongea naye kwani niliona ni watu wa rika moja na tutaelewana zaidi kuliko wazee wengi wanakuja huku.

Zitto alivyokuja aliniambia mimi na vijana wengine anataka kupumzika siasa na kwenda kusoma PHD. Vilevile tulimuuliza kama anataka msaada wowote atwambie akasema kapata shule nyingi ikiwa pamoja na Preston University amboyo ni chuo kizuri sana kiko State ya New Jersey. Alisema alitaka kusoma mambo ya economics contracts ili aweze kufundisha kwenye chuo kimoja nafikiri Dodoma kuhusu mikataba kama ya madini na n.k kwani alisema nchi yetu inahitaji wataalamu wa mikataba. Vilevile tuliongea mambo mengi na kibinafsi ambayo sitataka kuyasema. Kwa ujumla Zitto alituambia na kuonekani waziwazi hapendi siasa na hana furaha na kitu anachofanya.

Vilevile alionyesha waziwazi anapenda kuwa Professor wa chuo kikuu chochote. Zitto alitoa ahadi nyingi ikiwa ni pamoja ya kujibu email zetu na kutusaidia kuelezea mambo fulani muhimu ambayo watu wengi wa diaspora tulikuwa tunaona kama yanahitaji mwangeaji.

Zitto alishangaza wengi kwani hajafanya hata kitu kimoja alishokuwa anasema ikiwa ni pamoja na kwenda chuo, kujibu email na kuwasiliana na kuongea mambo muhimu ya diaspora ambayo tulikubaliana naye kutusaidia ku lobby. Vilevile Zitto alionekana hana experience ya maisha kama kufanya kazi ya kawaida au kufanya biashara!.

Kwa mawazo yangu Zitto ni mapepe ni kijana mwenye akini lakini anatakiwa kutulia na kujua anataka kufanya nini hasa kwenye maisha. Vilevile Zitto haelewi kwa undani ni kwanini Chadema iko imara kuliko nyama vingine.

Chadema iko imara kwasababu
(1)Viongozi na waanzilishi wa Chadema wamejitosheleza kiuchumi na hawana tamaa. Uhodari wa kuongea na ushabiki hautoshi kukuza chama kikubwa kama Chadema. Mrema alikuwa ni hodari na mwenye kipaji cha mvuto kwa wananchi lakini kwasababu ya umasikini wake alikuwa nategemea sana serikali kuanzia ruzuku hadi nyumba aliyokuwa anakaa. Hii ilimfanya Mrema kutangatanga bila mafanikia na kuhama vyama bila mafanikio makubwa kwasababu Mrema alikuwa hajajitosheleza na maisha aliyokuwa nayo na alitegemea sana serikali. Zitto ni kama Mrema ingawa Tatizo lake hajui anachotaka bado!

(2)Mboe, Slaa, Ndesamburo na Mtei. Dr Slaa alikuwa padre ambaye alishazoea kuishi maisha marahisi na ya wito hivyo hawezi kutapatapa. Mboe, Ndesamburo na Mtei ni wafanya biashara wakubwa wenye akili ya biashara na wanafanya biashara ambazo hazitegemei serikali hivyo serikali haiwezi kuwatisha. Mtei ana biashara ya kupeleka maua nje, Ndesamburo ana viwanda na hoteli na Mboe ana hoteli hivyo hawa watu hawawezi kudanganya na watu wa serikalini. Ndesamburo kununua Helikopta mbili kwa chama ni mfano kwani ameonyesha anafanya vitu kwa wito na sio shida.

(3)Viongozi wa Chadema wana ongoza chama kibiashara hii inawezekana isionekane waziwazi lakini Mboe ni mtu muhimu kuliko Zitto kwasababu anajua kuongoza. Zitto anafikiri kidemokrasia lakini kwenye kampuni hakuna demokrasia bali productivity. Mboe ana results na Zitto hana, Mboe ana experience za utawala Zitto hana, Mboe anajua anachokitaka na Zitto hajui. Hivyo Zitto anaweza akawa ni mtu mwenye kipaji cha akili zaidi ya Zitto na Mvuto zaidi ya Mboe lakini hana uwezo wa kuongoza kwasasa zaidi ya Mboe!.

Mboe vilevile anavitu kama magazeti n.k ambavyo ni muhimu kutoa habari na Zitto hata email hajibu!. Chadema ingekuwa haina watu matajiri kwenye chama na wenye wito chama kingeshakufa sikunyingi sana. Huwezi kupambana na CCM kwa sera pekee! Zitto.

Zitto ni lazima uelewe kwamba mafanikio ya Chadema ni ya wito na utajiri wa waanzilishi na viongozi na si uhodari wa kuongea pekee. Kuna watu watakudanganya uhame chama kwa kuweka udini na kukupa kichwa kwamba wewe una kipaji utafanikiwa popote lakini kuwa mwanasiasa hodari si sawa na kuwa kiongozi hodari!. Mboe ni muhimu kwa Chadema kuliko wewe. Je ni mfanya biashara gani mkubwa ni muha wa kigoma!!.

Ni lazima uwaheshimu watu waliokutoa kigoma mpaka hapo ulipo kwani hawa wanaokushauri uhame ndiyo wa kwanza watakao kuita Muha wa kigoma anayetangatanga na hutakuwa na watu wenye nia nzuri kwako bali kukutumia tu. Hivyo Zitto tukia na jenga imani na jifunze kutoka kwa kina ndesamburo, Slaa na Mboe jinsi ya kufanikiwa kimaisha bila siasa!.Muda wako utakuja hapo utakapojua ni kitu gani unataka kufanya, vilevile acha uongo!.

Zitto kwasasa hauko tajari kuwa mwenyekiti wa Chadema.

Kwa Kauli na Mtiririko ulioutoa hapo juu ni kwamba kuna UDIKTETA na UKABILA full. So kwa sisi tunaoangalia kwa mbali tutawalaumu tu wale waliopaswa kuuzuia Udikteta na Ukabila usitufike. Tulishauona, na kwa vile umeutanabaisha mwenyewe, We will be Watching you to the End.
 
hiki ni kinyesi cha aina yake. da!
siamini kama CUF kuna matajiri lakini mpaka leo bado kiko imara.
hayo mengine ni hulka yenu. na hamuwezi badilika hata siku moja.

Bado mnamshauri Zitto hadi leo? Mbowe alimlea sana kisiasa na kielimu hadi akajulikana! alimtoa kibohehe akiwa O level... Lakini kama ilivyo ada Kunguru hafugiki ! Zitto aliishia kuwa Msaliti wa Mapinduzi yaliyoasisiwa na CDM iliyomlea!!! Msiba wa kujitakia hauna majuto hata siku moja ...
 
Nilimshauri kwa kujua ukweli lakini hakufuata badala yake alisikiliza washabiki wiki zinazokuja nitamwambia afanye nini lakini asisubiri tena miaka minne kuelewa Watanzania hata wasomi ni wazito sana kuona mbali ni ushabiki tu. Tunafikiria kijazba sana na kukwepesha ukweli.
 
Back
Top Bottom