ni kweli si mdini na si mkabila na hiyo ni nzuri lakini si mchama pia ni kweli maana haeleweki na hana mtizamo wa kichama na mkiwa na kiongozi ambaye amechaguliwa kwa sera za chama lakini hawezi kufuata ya sera,mtizamo na imani ya chama basi hafai kabisa.mbaya zaidi dogo hajitambui,kuwa yeye ni kijana,kiongozi mkubwa wa chama kinachotoa matumaini makubwa kwa watz.wewe matola pia una utusi ndani yako,alichosema mkamia nini,alichosema zitto ni nini?,na raisi kasema nini,wewe na mkamia wote sawa tu,hoja ya zitto ndio jibu la Ikulu,wewe na pm na spika wote hamkujua