Zitto bungeni

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Kwa mtu anayejua Wazili kivuli atawasilisha bajeti ya upinzani lini na saa ngapi plz naomba aniambie, Japokuwa nipo busy siwezi kufuatilia bunge ila kwake nataka nijitahidi hadi nione, Kama haujui usipost kitu coz hawatakosa watu wenye viherehere vya kujibu utombo.
 
Ndio upi huo? Mbona unawapangia watu?where we dare to talk openly.
 
Kwa mtu anayejua Wazili kivuli atawasilisha bajeti ya upinzani lini na saa ngapi plz naomba aniambie, Japokuwa nipo busy siwezi kufuatilia bunge ila kwake nataka nijitahidi hadi nione, Kama haujui usipost kitu coz hawatakosa watu wenye viherehere vya kujibu utombo.
Hv wewe ni raia wa Nchi hii kweli? Kila leo vipengele hivyo haviachwi humu ndani ya Jf halafu leo unauliza majibu. NI J5 SAA TA3 ASUBUHI BILA YA KUKOSA,Mmmmmhh kazi ipo!
 
Back
Top Bottom